Kwanini dhehebu la SDA huwa wanalishambiulia zaidi Kanisa Katoliki na siyo madhehebu mengine?

Ukitulia na kuisoma Bible ukiwa neutral, utangundua kuwa hao wote ni ndugu na wako na mbinu tofauti za kumpinga shetani
 
Kumbe ni dhehebu ambalo alilianzisha Mwanamke.
Mbona wao wanasema ndio dhehebu halisi toka wakati wa Yesu Kristo.
Ellen Gould White (née Harmon; November 26, 1827 – July 16, 1915) was an American author and co-founder of the Seventh-day Adventist Church. Along with other Adventist leaders such as Joseph Bates and her husband James White, she was instrumental within a small group of early Adventists who formed what became known as the Seventh-day Adventist Church. White is considered a leading figure in American vegetarian history.[2]
 
Kwenye kupanua kwako ufahamu mtu akija akakuambia chagua Kati ya bibkia na Quran utaangua wapi..??
 
[9/23, 10:22] You: 1 Timotheo 3:2 yasema hivi
Basi imempasa askofu awe mtu asiyelaumika, mume wa mke mmoja, mwenye kiasi na busara, mtu wa utaratibu, mkaribishaji, ajuaye kufundisha

Ni wapi pameandika ni lazima askofu kuoa? Nioneshe ilo neno lazima


Hayo ni mawazo yako tu ndugu, Yesu hakuoa japo najua utasema kwa vile yeye alikuwa Mungu. Lakini hata mitume wa Yesu biblia haijasema kuwa walioa. Kama mitume walioa basi henda baadaye walitelekeza familia zao kwasababu ya Injili. Biblia imeweka wazi sana juu ya heri ya yule aliyejifanya towashi kwa ajili ya ufalme wa Mungu. Hakuna sheria inayomtaka mkristo kuoa au kuolewa bali kuishi maisha matakatifu.

[9/23, 10:25] You: Kwanza umeelewa hapa.Mathayo 19:12
Maana wako matowashi waliozaliwa hali hiyo toka matumboni mwa mama zao; tena wako matowashi waliofanywa na watu kuwa matowashi; tena wako matowashi waliojifanya kuwa matowashi kwa ajili ya ufalme wa mbinguni. Awezaye kulipokea neno hili, na alipokee

Usikulupuke kujibu kabla ya kuelewa.
 

Barikiwa sana hapo kutokua naona ni point kubwa uwez kusimamia familia yako na watu wengine
 
Acha uchawi mdogo wangu
 
Tatizo hao wasabato hawajui impact ya kushambulia ukatoliki. Ukatoliki ukitikisika duniani na ukristu utakufa jumla, including usabato. Ni ukweli mchungu kuwa msabato au mlokole hawawezi kwenda kueneza ukristo kwenye maeneo magumu kama yale ya waislam wenye siasa kali aka wakata vichwa, ni wakatoliki pekee wanaweza hizo suluba. Wasabato na walokole wanasubiri ukristu uenezwe na katoliki half wao wanakuja kuharibu kilichowekwa kwa kuleta confusion na wakati mwingine mauaji e.g. kibwetere etc
 
Inasemekana.🤣
 
Umemaliza kila kitu
 
Wote wangetambua ni dugu moja ‘‘Kuleta Amani Utulivu na Upendo duniani’ wasingelaumiana.
Zaidi ya hapo ni biashara kama biashara zingine..
 
Yesu ameshamnyanganya shetani funguo za mauti na kuzimu; inakuaje tena shetan anakuja kutawala huu ni uongo

Ili shetan atawale anatakiwa apewe tena ufunguo za mauti na kuzimu inamaana mpaka hapa hata yesu kufa pale msalabani ilikua ni kazi bure
 
Katoliki hawana miaka 2023 sio sahii
Roman empire wameadopt ukristo mwaka 380 baada ya kuzaliwa kristo

Yesu ndo anamiaka 2023 tokea azaliwe
 
Katoliki hawana miaka 2023 sio sahii
Roman empire wameadopt ukristo mwaka 380 baada ya kuzaliwa kristo

Yesu ndo anamiaka 2023 tokea azaliwe
Wakristo wa kwanza pale Antokia uturuki ndio inaaminiwa ndipo chimbuko la kanisa la kwanza la Kikristo kabla ya kuhamia Roma
 
Wakristo wa kwanza ndio walioingiza desturi za wapagani wa kale ili kuwavutia wapagani kuingia Kanisa kwa sababu waliogopa kuuwawa kama wangeupokea Ukristo na kuacha dini zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…