Kwanini Dubai ni maarufu sana? Kipi cha kuvutia zaidi katika huo mji?

Kwanini Dubai ni maarufu sana? Kipi cha kuvutia zaidi katika huo mji?

Kuna watu msipoandika matusi Bado naona hamja comment,acheni hizo!
Wengine hapa wenye vihela vya ngama tuko serious kujifunza Ili twende jmn!😀
Walioenda watusaidie
 
Walioifanya Dubai kuwa na mvuto kama ilivyo hivi sasa ni walewale walioifanya Zanzibar kuwa na mvuto kabla ya mapinduzi haramu.

Ilipopinduliwa Zanzibar, wenye akili zao wakawapokea Dubai na kuwapa Uraia, wakaanza kuibadili Dubai, kama ilivyo sasa.

Ni vichwa vyema visivyo na hiyana. Wajomba zake mama Samia Suluhu Hassan.
 
Sababu ni hizi;
1. Unafuu wa nauli.
2. Urahisi wa kupata visa.
3. Unafuu wa malazi. Dubai kuna wabongo wana apartments wamezifanya kama hostel unalipa kama Tsh 100 - 150k kwa wiki kulala. Hata hotel upande wa Deira zipo za bei rahisi.
4. Usafiri wa ndani ya Dubai pia rahisi.

Kimsingi Dubai kunaendeka kirahisi sana kuliko China na kwingineko.
Shukrani kwa tips hizi mdau. Kuhusu Na. 3, nawezaje kupataje hizo apprtmemts? Na vipi kuhusu usalama wa mahali zilipo? Siko mahala naweza pata chakula kizuri pamoja na usafiri wa kwenda mahala?
 
acha inferiority complex, kama dini yenu ina mungu kwanini mnapenda kulalamika namna hiyo si mshitaki kwa mungu wenu, au hana nguvu.
Kwan hapa panalinganishwa mungu mbona hata shule hujapita try to discuss a issue at right time utaonekana at least umetembetembea lakin kwa kurukia mada iliyopo na mapenz yako ungebakia tu kwenu simiyu
 
Nikipita dubai huuona mji wa kawaida tu, labda kwa vile nimeshapitia miji mingi mikubwa. Ninachoona ni kuwa una majumba yaliyojengwa miaka ya hivi karibuni hivyo architecture yake ni mpya na barabara zake ni pana za kutosha kama ilivyo kwamiji ya China na ya nchi za South East Asia iliyojengwa miaka 30 iliyopita
Mbali na hiyo unaona ni kawaida tu kweli mrudi shule unajua neno economic hub ambao hata us lazima are pale huko unakopita nahisi unabeba mkoba wa paroko huko free
 
Huu mji wa Dubai umaarufu wake umetokana na nini kiasi cha kujizolea umaarufu mkubwa sana kwa celebereties wa dunia, sehemu kubwa ya Afrika, kwa wabongo matajiri na hata wale wa kipato cha kawaida wanaodunduliza fedha za hapa na pale au kupata ufadhili wakiwa kama chawa kutembelea mji huu??

Hapo bongo naona karibia kila mtu maarufu Dar es Salaam aliyejipatia pesa kidogo hakosi picha za Dubai katika mitandao yake ya kijamii.
Walewale walioifanya Zanzibar maarufu kabla ya mapinguzi ndiyo waliohamia Dubai na kuipaisha.

Umaarufu wa Dubai ulianza kushamiri baada ya Wazanzibari kukaribishwa huko walipopinduliwa Zanzibar.
Niliwahi kuandika hivi:

 
Kwa KUJENGEKA HAKUNA MJI WOWOTW WESTERN unaofikia Dubai.
Dubai ina skyscraper ndefu DUNIANI.
Ina barabara bora top 3 duniani ikizidiwa na JAPAN tu.
Dubai ina majengo mengi ya ajabu yenye architecture nzuri kuliko kokote Ulaya.
True miji ya ulaya ya kawaida na ya kizamani. Dubai naiona kwenye picha ni shida. Nimefika miji minne ya ulaya ipo kibwege sana.
 
Mbali na hiyo unaona ni kawaida tu kweli mrudi shule unajua neno economic hub ambao hata us lazima are pale huko unakopita nahisi unabeba mkoba wa paroko huko free
Mimi nimesoma sana kuliko wewe na ninaweza kukufundisha. Kama kwako Dubai ni mji wa ajabu, basi itakuwa ni sababu ya ufinyu wako wa kujua dunia; yaani hujatembea bali sehemu unayojua itakuwa ni Dubai tu (kipofu kaona mwezi andahani Unaposikia neno economic hub basi unatetemeka Hujui kuwa kuna minji mingi sana yenye archetcture ya zamani kama Zurich, London, New York, Tokyo, Sydney, Mexico city na mingineyo mingi nayo ni economic hubs na bado ni miji ya kawaida tu.
 
Kwan hapa panalinganishwa mungu mbona hata shule hujapita try to discuss a issue at right time utaonekana at least umetembetembea lakin kwa kurukia mada iliyopo na mapenz yako ungebakia tu kwenu simiyu
kwa hiyo icho umeandika hapo ni kiingereza au kindengereko? una maanisha nini unaposema "try to discuss a issue at right time", icho ni kimombo cha wapi ndugu. si uongee kiswahili tu.
 
swali zuri sana. Maana sidhani kama Dubai inauzidi miji ya USA na Western World!
Niulize swali: Kwani starehe za umalaya zipo wazi? Maana watu wengi wanapenda vitu kama hivyo....refer Pataya Beach in Thailand! Red streets usiombe!
Punket.
 
Back
Top Bottom