Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Wapi sahihi mkuuKama unaenda kushangaa maghorofa dubai sio sehem sahihi labda kibiashara starehe za kujificha ficha sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi sahihi mkuuKama unaenda kushangaa maghorofa dubai sio sehem sahihi labda kibiashara starehe za kujificha ficha sana
Ambayo ni sh ngapi mkuu?visa yaoHayo uliyoyasema ni sawa ila kwa malazi, umetia chumvi. Dubai malazi ni ghali sana. Kuhusu vıza ni hela yako tu. Kwa mtanzania unapata hata baada ya masaa 2.
Nimeandika kitu nilichokifanya mwenyewe sio kuhadithiwa. Deira kuna hotel za bei rahisi.Hayo uliyoyasema ni sawa ila kwa malazi, umetia chumvi. Dubai malazi ni ghali sana. Kuhusu vıza ni hela yako tu. Kwa mtanzania unapata hata baada ya masaa 2.
Lengo lako nini kwanza? Starehe au biashara?Wapi sahihi mkuu
Angalia hapa:Ambayo ni sh ngapi mkuu?visa yao
emiratesvisa.com
Sio biashara,tunataka kutembea tuLengo lako nini kwanza? Starehe au biashara?
Via mtiti babaKwa sie Africa sawa. Lakini kuna Viwanja kama JFK au Heathrow etc
Anza na dubai visa sio kesi mapema tu online sijajua kama visa on arrival ipo.Sio biashara,tunataka kutembea tu
Kwa mtanganyika hakuna visa on arrivalAnza na dubai visa sio kesi mapema tu online sijajua kama visa on arrival ipo.
KumbeKwa mtanganyika hakuna visa on arrival
Shukrani kwa tips hizi mdau. Kuhusu Na. 3, nawezaje kupataje hizo apprtmemts? Na vipi kuhusu usalama wa mahali zilipo? Siko mahala naweza pata chakula kizuri pamoja na usafiri wa kwenda mahala?Sababu ni hizi;
1. Unafuu wa nauli.
2. Urahisi wa kupata visa.
3. Unafuu wa malazi. Dubai kuna wabongo wana apartments wamezifanya kama hostel unalipa kama Tsh 100 - 150k kwa wiki kulala. Hata hotel upande wa Deira zipo za bei rahisi.
4. Usafiri wa ndani ya Dubai pia rahisi.
Kimsingi Dubai kunaendeka kirahisi sana kuliko China na kwingineko.
Kwan hapa panalinganishwa mungu mbona hata shule hujapita try to discuss a issue at right time utaonekana at least umetembetembea lakin kwa kurukia mada iliyopo na mapenz yako ungebakia tu kwenu simiyuacha inferiority complex, kama dini yenu ina mungu kwanini mnapenda kulalamika namna hiyo si mshitaki kwa mungu wenu, au hana nguvu.
Mbali na hiyo unaona ni kawaida tu kweli mrudi shule unajua neno economic hub ambao hata us lazima are pale huko unakopita nahisi unabeba mkoba wa paroko huko freeNikipita dubai huuona mji wa kawaida tu, labda kwa vile nimeshapitia miji mingi mikubwa. Ninachoona ni kuwa una majumba yaliyojengwa miaka ya hivi karibuni hivyo architecture yake ni mpya na barabara zake ni pana za kutosha kama ilivyo kwamiji ya China na ya nchi za South East Asia iliyojengwa miaka 30 iliyopita
Walewale walioifanya Zanzibar maarufu kabla ya mapinguzi ndiyo waliohamia Dubai na kuipaisha.Huu mji wa Dubai umaarufu wake umetokana na nini kiasi cha kujizolea umaarufu mkubwa sana kwa celebereties wa dunia, sehemu kubwa ya Afrika, kwa wabongo matajiri na hata wale wa kipato cha kawaida wanaodunduliza fedha za hapa na pale au kupata ufadhili wakiwa kama chawa kutembelea mji huu??
Hapo bongo naona karibia kila mtu maarufu Dar es Salaam aliyejipatia pesa kidogo hakosi picha za Dubai katika mitandao yake ya kijamii.
True miji ya ulaya ya kawaida na ya kizamani. Dubai naiona kwenye picha ni shida. Nimefika miji minne ya ulaya ipo kibwege sana.Kwa KUJENGEKA HAKUNA MJI WOWOTW WESTERN unaofikia Dubai.
Dubai ina skyscraper ndefu DUNIANI.
Ina barabara bora top 3 duniani ikizidiwa na JAPAN tu.
Dubai ina majengo mengi ya ajabu yenye architecture nzuri kuliko kokote Ulaya.
Mimi nimesoma sana kuliko wewe na ninaweza kukufundisha. Kama kwako Dubai ni mji wa ajabu, basi itakuwa ni sababu ya ufinyu wako wa kujua dunia; yaani hujatembea bali sehemu unayojua itakuwa ni Dubai tu (kipofu kaona mwezi andahani Unaposikia neno economic hub basi unatetemeka Hujui kuwa kuna minji mingi sana yenye archetcture ya zamani kama Zurich, London, New York, Tokyo, Sydney, Mexico city na mingineyo mingi nayo ni economic hubs na bado ni miji ya kawaida tu.Mbali na hiyo unaona ni kawaida tu kweli mrudi shule unajua neno economic hub ambao hata us lazima are pale huko unakopita nahisi unabeba mkoba wa paroko huko free
kwa hiyo icho umeandika hapo ni kiingereza au kindengereko? una maanisha nini unaposema "try to discuss a issue at right time", icho ni kimombo cha wapi ndugu. si uongee kiswahili tu.Kwan hapa panalinganishwa mungu mbona hata shule hujapita try to discuss a issue at right time utaonekana at least umetembetembea lakin kwa kurukia mada iliyopo na mapenz yako ungebakia tu kwenu simiyu
Punket.swali zuri sana. Maana sidhani kama Dubai inauzidi miji ya USA na Western World!
Niulize swali: Kwani starehe za umalaya zipo wazi? Maana watu wengi wanapenda vitu kama hivyo....refer Pataya Beach in Thailand! Red streets usiombe!