Kwanini hakukuwa na Manabii/Mitume Waafrika (watu weusi)?

Heshima kwako
 
Vitabu vingi sana vinatupumbaza na sisi tunavikumbatia..
 
Wapo wengi tu, Nabii Mwingiraz Mtume na Nabii Mwamposa, Nabii Goe Devie, Nabii yule wa Mafuta., Nabii TB Joshua, Nabii Kakobe nk.

Mitume na manabii wa kiafrika ni wengi sana

M/Mungu ameona atuletee hawa kama kutuliwaza na sisi tunaolalamika hatukuletewaga mitume cha hajabu hata hatuwataki.. daah sijui tukoje
 
Kama ujui Yesu sio Mzungu ni mwafrika ndio maana alienda kufichwa Egypt kwa waafrika.kwakuongezea Israel ilikuwa na ataa Leo hiko bara la Africa .umeona wapi bara likatenganishwa na mpaka .Misri ni afrika inaiachaje Israel jirani yake !?

Nzuri pia.. Mkuu
 
Waafrika ni shithole utume watauwezea wapi?
 
Kanisa linadumaza Sana uwezo wa kufikili.
 
Okay, kama ni hivyo umekubali kuwa manabii wote ni Wazungu. Kwa nini sasa uendleze mjadala huu?
Huyo nae ni nabii... hawa unakuta wanakufa kumbe waliandika barua wayayushwe.. yaani ujanja ujanja tu
 
Inaonekana afrika kulikuwa hakuna dhambi. Sasa wenda wao ndio walikuwa na dhambi sana ndio maana Mungu akaweka msisitizo huko.
Mwenye afya haitaji tabibu bali aliye mgonjwa ndio uhitaji tabibu
Kanisa linafifisha Sana uwezo wa kufikili.
 
Okay, kama ni hivyo umekubali kuwa manabii wote ni Wazungu. Kwa nini sasa uendleze mjadala huu?

Nilikuwa na mawazo tangu jana;; kuwa hapa atakuja PROFESSOR mmoja ambaye akili zake hazipo timamu atakuja kufunga huu mjadala.. na sidhani kama ndio wewe.. kama sio wewe ngoja tuendelee kusubiri
 
Kwa kuwa wametuzidi katika upeo wa kufikiria, walijiundia tu manabii na mitume wa kiana nasi tukakubali bila kuhoji.
 
Kuna maswali flani ukiuliza watu, wanatoka nje ya mada although hakuna jibu lolote kuhusu swali husika.

Mfano; Imani, Dini ya waafrika ilikuwa ipi kabla ya hizi za kuletewa?.
 
Umejuaje kuwa ni Palamagamba? Utakuwa nabii wewe!!
Nilikuwa na mawazo tangu jana;; kuwa hapa atakuja PROFESSOR mmoja ambaye akili zake hazipo timamu atakuja kufunga huu mjadala.. na sidhani kama ndio wewe.. kama sio wewe ngoja tuendelee kusubiri
 
Kwa kuwa wametuzidi katika upeo wa kufikiria, walijiundia tu manabii na mitume wa kiana nasi tukakubali bila kuhoji.

Asante sana .. na karibu kama utapenda... shukrani
 
Kuna maswali flani ukiuliza watu, wanatoka nje ya mada although hakuna jibu lolote kuhusu swali husika.

Mfano; Imani, Dini ya waafrika ilikuwa ipi kabla ya hizi za kuletewa?.

Unakuta kijana ana miaka 35-40 hajui ukoo wake anamjua babu yake mmoja tu na baba yake.. wakati alitakiwa ajue mababu zake KUMI au na zaidi waliopita huko nyuma ambayo ingemsaidia kujua DINI yake au nini afanye katika swala zima la kuabudu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…