Aizna
JF-Expert Member
- Jan 3, 2022
- 1,348
- 1,652
- Thread starter
- #101
Zingatia pia hakuna nabi Wala mtume Mzungu .Muarabu Wala Muasia .mitume karibu wote wanatokea uajemi na Africa na bila kubabaishwa Israel ilikuwa na ataa Leo hipo bara la Africa .na kama hujui mtume Ibrahim mke wake wa tatu na ambaye amezaa nae watoto wengi 6 ni Ketura mwafrika na ataa Yule mjakazi Suria ni mwafrika wa Egypt .Mtume Musa mke wake pia ni sipora bint ya kuhani wa midiani .Jetro mwafrika .Mtume Musa mwenyewe ni Muafrika .alikuwa Pharao mtarajiwa wa Egypt .kwa maelezo zaidi search YouTube : history of kemet au Cushite kingdoms
Heshima kwako