Kwanini HAMAS sasa anapigana vita alivyoshindwa?

Kwa kinachoendelea kwa sasa HAMAS wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuionesha Dunia kwamba, haki hata ukiibana kiasi gani itafika wakati itashinda.

Israel inaungwa mkono na Nchi zote zenye nguvu Duniani, wanazo silaha zote nzito na za kisasa na rasilimali nyingine muhimu kama watu fedha na teknolojia lakini wameshindwa kutekeleza kile wanachokiita kuutokomeza Ugaidi wa HAMAS.

Hii maana yake ni kwamba pamoja na nguvu ndogo walo nayo hao wanaoitwa Magaidi nyuma yake kuna nguvu isiyoonekana ya Mungu.

Mmi naunga mkono mazungumzo ya amani yazingatie haki na maslahi ya kweli ya watu wa Palestina na Israel bila kuweka mbele hila ya aina yoyote. Bila hivyo mgogoro huu utaendelea kuitafuna Mashariki ya Kati na Dunia kwa ujumla.
 
Wanaangushwa na kukosa kuungwa mkono na wanaowapigania: West Bank na nchi za Kiarabu zilizobakia kujikomba kwa mabeberu.
Wapo wachache sana wanaounga mkono ila kwanza hao wanaojiita Khaleej Al Arab au GCC ni takataka kabisa
Ila nao watakuja geukiana wenyewe kwa wenyewe
Umeona ndege inayotumia mafuta ya kupikia tena used na ndege imeondoka toka London kuelekea NY
Hao dawa yao inawiva
 
Karens yake dhaifu kakwambia nani IRAN ☫ ni supapawa wa eneo la mashariki ya kati nandio maana anauwezo
Anafadhili houthi walopambana na saudi arabia miaka ila mwishowe saudia kachemka kaamua kukaa kimya
Hizbullah kule Lebanon [emoji1146] yaani Iran [emoji1130] ni superior wa mashariki ya kati ukibisha uje na hoja
 
Hana miaka mingi ndio ulivyooteshwa sawa yahya Hussein
Yaani ushajua mpaka majambo ya mbele
 
wapalestina walioachiwa wengi ni hamas sio raia wa kawaida , angalia matukio yao mpk kushikwa utashangaa hamas inawapeleka wapi watu waliochoma watu visu

Babu ee utakonda, yani una chuki na waarabu na waislamu kwa ujumla, hao ndugu zako tumewabonda, si chini ya wanejeshi wenu wa kikafiri tumeuwa, huko walipo wanakipata cha moto
 
kwahiyo hao makafir walikuwa wanawapa huduma zote na sio allah wenu? waislam ndo jamii isiyo na fadhira dunian , jpm aliwajengea hadi misikiti ila walishangilia kifo chake

Hujui unachokiongea mkuu, eti waislamu walishangilia kifo chake, wewe unapaswa kupigwa ban kwa uchochezi wako.
 

Tuko pamoja mkuu
 
Hivi kukumbia waje Gaza watakiona, ndio tulisema hawatafika Gaza sa we jiulize walipo fika Gaza walifanywa nini, we Huna habari Israel wanatiwa pressure huko waseme wanajeshi walio kufa wako wapi πŸ˜„

Jana wamesema 1000 wamekufa kwanza walisema 250 tu, nawengine wamejehuriwa 7000.

We subiri mtasikia number zinapanda itabidi waseme ukweli wao.

Afu we unajua hospita ya Alshifaa iko wapi? Hio ipo 2km kutokea kwenye bahari na kabla ya kufika hapo. Ndege za vita zilikuwa zikipiga ili jeshi lao lifike hapo na Hamasi aliwachia ili iwe aibu waonyeshe wapi hio central command πŸ˜†

Vita ni akili unaona Hamasi anavyo pigana anamtia adabu na anaonyesha aibu za Israel, hata Biden ananza mbembeleza Qatar awasemeshe Hamasi ili vita iishe.

Sababu kisha ona Israel ni kuku tu mbele ya Hamasi πŸ˜„
 
Mkuu una elimu gani kuhusu masuala ya kiuchumi mbona una andika vichekesho?

Shiling ya kenya ina thamani kuliko hela ya Japan na S. Korea lakini ebu jaribu kulinganisha uchumi wa Kenya na hayo mataifa ni sawa na mbingu na ardhi.

Shiling ya Tz ina thamani kuliko fedha ya Iran lakini Iran anatengeneza karibia kila bidhaa hapa duniani kuanzia Magari, pikipiki, silaha za kila aina, mitambo ya umeme ,madawa ,wana miundo mbinu bora kuanzia barabara na tandao wa reli za umeme nchi nzima.
Wakati tz hata sindano tu tunategemea wachina watuletee ,kwenye miundo mbinu ndo usiseme maana ni mibovu kupitiliza, pia GDP ya Iran ni kubwa karibia mara tano ya ile ya Tz.

Pia tambua kuwa fedha ya Kuwait ina thamani zaidi ya mara tatu kuizidi $ ya kimarekama lakini jaribu kulinganisha nguvu za kiuchumi za USA na kuwait.

Mkuu kuazia leo tambua kuwa thamani ya pesa ya nchi husika hakuna mahusiano yeyote na nguvu za kiuchumi za nchi husika.
 
Russia hamsupport Hamas hata kidogo.Kama ilivyo Marekani Mrusi anamtegemea Muisrael kuliko unavyodhani
 
Hasira za Nini?Kama Israel anaomba vita iishe body language yako ingesema.Kwa namba ulivyohamaki inaonekana ndugu zako katika Imaaan wanachapika kisawasawa.Na bado
 
Israel imeua Hamas sita tu.Ama.kweli Hamas kashinda vita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…