Kwanini HAMAS sasa anapigana vita alivyoshindwa?

Kwanini HAMAS sasa anapigana vita alivyoshindwa?

Inawezekana Hamas akawa na sababu za msingi za kufanya shambulizi kwa
Israel.. ila nachowalaumu aidha hawakuwa na strategy au walifanya attack kwa kimihemuko..

Kwangu mimi kama mko chini ya watesi wenu na kila siku mnajipanga na kushambuliana nae toka... enzi na enzi.. mnashindwa

Ilitakiwa wawe wamejipanga kwa pigo takatifu ambalo linge level the play ground..

Yaan walitakiwa wawe wamehakikisha kuwa Isrel awe offguard kwa maana anajua palestina mwembe wa uan anajichumia
Akitaka.. na kweli Israel akawa offguard so walipaswa kuwa ikiwa wameivamia Israel kijeshi basi Kipigo chake kiweze kudhoofisha nguvu walau 60% kama Sio 80% ya nguvu ya kijeshi ya israel

Hii ingepelekea hata washirika wakubwa wa Israel ambao ni western kujua kuwa sasa hii ni vita kamili na wangegwaya kwanza.. na maana yake nguvu ya msaada ambao wamgetoa ingekuwa easly matched na kina iran na kina korea/ urusi.. yaan kama madogo wapigane ma bro waambiwe wasiingilie

Lakini kuivamia israel na pickups na pikipiki.. matokea yake Mji/Nchi yenu inakuwja kuwa bombed na kugeuzwa magofu huku 50% ya nguvu kazi na kizaz kijacho imepukutika au haina future huu sio ushindi.. vita sio swala
Ya kurusha maroket bila mpango tu

Nachokiona Kwa upande wa Hamas washirika zake wamewatumia kwa Maslah yao.. coz Hamas they had one oporturnity ya kumkuta Israel amerelax na yuko off guards na wakashindwa kutumia kudeliver a killer punch.. belive me that will never ever ever happen.

Rejea vita ya siku sita ya Israel na Waarab waliomzunguka.. Myahud alijua there is no way angeshinda kwa maana Waraab walikuwa wamejipanga kushambulia na walikuwa wako
Very equiped from all angle na so alijua kuwa anatakiwa atafute nguvu ya adui iko wapi na ahakikishe adui yuko offguard.. na sio awasubiri waanze wao maana hakuwa na uwezo wa kudefend and attack na waarab walikuwa wanagain ground mdogo mdogo.. so akaja na war plan ya kudeliver pigo moja takatifu ambalo lingewa criple maadui zake na kumpa Nafasi ya kujipanga zaid.. na walijua wana nafasi moja tu so yeye na masponsor wake wa Western wakafanya hilo kwa kulipua Ndege karibu zote za kivita maana walijua nguvu ya adui iko hapo.. na sio kulipua kwa maroket waliingiza mamluki wakasabotage the airforce.. maana yake israel akawa ndo mwenye uwezo wa kupigana kutoka juu.. ..and the rest is history..

Sasa hamas kapata chance moja anakwenda na bodaboda na pick up..
Kwa kinachoendelea kwa sasa HAMAS wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuionesha Dunia kwamba, haki hata ukiibana kiasi gani itafika wakati itashinda.

Israel inaungwa mkono na Nchi zote zenye nguvu Duniani, wanazo silaha zote nzito na za kisasa na rasilimali nyingine muhimu kama watu fedha na teknolojia lakini wameshindwa kutekeleza kile wanachokiita kuutokomeza Ugaidi wa HAMAS.

Hii maana yake ni kwamba pamoja na nguvu ndogo walo nayo hao wanaoitwa Magaidi nyuma yake kuna nguvu isiyoonekana ya Mungu.

Mmi naunga mkono mazungumzo ya amani yazingatie haki na maslahi ya kweli ya watu wa Palestina na Israel bila kuweka mbele hila ya aina yoyote. Bila hivyo mgogoro huu utaendelea kuitafuna Mashariki ya Kati na Dunia kwa ujumla.
 
Wanaangushwa na kukosa kuungwa mkono na wanaowapigania: West Bank na nchi za Kiarabu zilizobakia kujikomba kwa mabeberu.
Wapo wachache sana wanaounga mkono ila kwanza hao wanaojiita Khaleej Al Arab au GCC ni takataka kabisa
Ila nao watakuja geukiana wenyewe kwa wenyewe
Umeona ndege inayotumia mafuta ya kupikia tena used na ndege imeondoka toka London kuelekea NY
Hao dawa yao inawiva
 
Yaan currency yake NI dwaifu kuliko ya tanzania kwasababu ya vikwazo vya mataifa ya njee saiv anapiga kelele waarabu hawamjali tena Kwasababu Israel NI muhimu maramia kwao kuliko huyo Iran ,Israel NI ya 34 Kwa uchumi mzuri unafaa ufahamu hekima ya maskin haisikilizwi
Karens yake dhaifu kakwambia nani IRAN ☫ ni supapawa wa eneo la mashariki ya kati nandio maana anauwezo
Anafadhili houthi walopambana na saudi arabia miaka ila mwishowe saudia kachemka kaamua kukaa kimya
Hizbullah kule Lebanon [emoji1146] yaani Iran [emoji1130] ni superior wa mashariki ya kati ukibisha uje na hoja
 
Israel Hana miaka mingi Sana atakuwa ni taifa linalotegemewa kiukanda ,yaan kiufupi shiling yetu ya Tanzania inanguvu kuliko fedha ya Irani,yaan Iran alikuwa anashawishi wenzake wasifanye biashara na Israel kuna aliyemsikiliza? Mataifa kama UAE & bharein wamepatana na Israel pasipo kulazimishwa na mtu yeyote na mataifa tajir kwenye ukanda wewe unazan wameona nin?
Hana miaka mingi ndio ulivyooteshwa sawa yahya Hussein
Yaani ushajua mpaka majambo ya mbele
 
wapalestina walioachiwa wengi ni hamas sio raia wa kawaida , angalia matukio yao mpk kushikwa utashangaa hamas inawapeleka wapi watu waliochoma watu visu

Babu ee utakonda, yani una chuki na waarabu na waislamu kwa ujumla, hao ndugu zako tumewabonda, si chini ya wanejeshi wenu wa kikafiri tumeuwa, huko walipo wanakipata cha moto
 
kwahiyo hao makafir walikuwa wanawapa huduma zote na sio allah wenu? waislam ndo jamii isiyo na fadhira dunian , jpm aliwajengea hadi misikiti ila walishangilia kifo chake

Hujui unachokiongea mkuu, eti waislamu walishangilia kifo chake, wewe unapaswa kupigwa ban kwa uchochezi wako.
 
Kwa kinachoendelea kwa sasa HAMAS wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuionesha Dunia kwamba, haki hata ukiibana kiasi gani itafika wakati itashinda.

Israel inaungwa mkono na Nchi zote zenye nguvu Duniani, wanazo silaha zote nzito na za kisasa na rasilimali nyingine muhimu kama watu fedha na teknolojia lakini wameshindwa kutekeleza kile wanachokiita kuutokomeza Ugaidi wa HAMAS.

Hii maana yake ni kwamba pamoja na nguvu ndogo walo nayo hao wanaoitwa Magaidi nyuma yake kuna nguvu isiyoonekana ya Mungu.

Mmi naunga mkono mazungumzo ya amani yazingatie haki na maslahi ya kweli ya watu wa Palestina na Israel bila kuweka mbele hila ya aina yoyote. Bila hivyo mgogoro huu utaendelea kuitafuna Mashariki ya Kati na Dunia kwa ujumla.

Tuko pamoja mkuu
 
waislam dini imewatia ukichaa , mlishangilia shambulio la kigaid la hamas , kisha mkajibiwa mkasema waje gaza wanaume wapo gaza ss h mnasema wawamalize hamas watawamaliza mtabadili story mtasema hamas hawakuwai kuwepo ni vita dhidi ya waislam bas mtaomba wawamalize waislam , NYIE KIMA HIYO DINI YENU INAEZA KUWA MNAMWABUDU SHETANI HKN MUNGU ANAFUNDISHA WAUMIN WAKE KUWA WEHU KIAS HICHO
Hivi kukumbia waje Gaza watakiona, ndio tulisema hawatafika Gaza sa we jiulize walipo fika Gaza walifanywa nini, we Huna habari Israel wanatiwa pressure huko waseme wanajeshi walio kufa wako wapi 😄

Jana wamesema 1000 wamekufa kwanza walisema 250 tu, nawengine wamejehuriwa 7000.

We subiri mtasikia number zinapanda itabidi waseme ukweli wao.

Afu we unajua hospita ya Alshifaa iko wapi? Hio ipo 2km kutokea kwenye bahari na kabla ya kufika hapo. Ndege za vita zilikuwa zikipiga ili jeshi lao lifike hapo na Hamasi aliwachia ili iwe aibu waonyeshe wapi hio central command 😆

Vita ni akili unaona Hamasi anavyo pigana anamtia adabu na anaonyesha aibu za Israel, hata Biden ananza mbembeleza Qatar awasemeshe Hamasi ili vita iishe.

Sababu kisha ona Israel ni kuku tu mbele ya Hamasi 😄
 
Israel Hana miaka mingi Sana atakuwa ni taifa linalotegemewa kiukanda ,yaan kiufupi shiling yetu ya Tanzania inanguvu kuliko fedha ya Irani,yaan Iran alikuwa anashawishi wenzake wasifanye biashara na Israel kuna aliyemsikiliza? Mataifa kama UAE & bharein wamepatana na Israel pasipo kulazimishwa na mtu yeyote na mataifa tajir kwenye ukanda wewe unazan wameona nin?
Mkuu una elimu gani kuhusu masuala ya kiuchumi mbona una andika vichekesho?

Shiling ya kenya ina thamani kuliko hela ya Japan na S. Korea lakini ebu jaribu kulinganisha uchumi wa Kenya na hayo mataifa ni sawa na mbingu na ardhi.

Shiling ya Tz ina thamani kuliko fedha ya Iran lakini Iran anatengeneza karibia kila bidhaa hapa duniani kuanzia Magari, pikipiki, silaha za kila aina, mitambo ya umeme ,madawa ,wana miundo mbinu bora kuanzia barabara na tandao wa reli za umeme nchi nzima.
Wakati tz hata sindano tu tunategemea wachina watuletee ,kwenye miundo mbinu ndo usiseme maana ni mibovu kupitiliza, pia GDP ya Iran ni kubwa karibia mara tano ya ile ya Tz.

Pia tambua kuwa fedha ya Kuwait ina thamani zaidi ya mara tatu kuizidi $ ya kimarekama lakini jaribu kulinganisha nguvu za kiuchumi za USA na kuwait.

Mkuu kuazia leo tambua kuwa thamani ya pesa ya nchi husika hakuna mahusiano yeyote na nguvu za kiuchumi za nchi husika.
 
Wanahitaji mazungumzo ya amani hili suala la vita litulie na liishe ni ngumu kuifuta hamas na pia ni rahisi kuitumbukiza dunia ktk vita ya tatu na pia wanahatarisha uchumi wa dunia kupata mkwamo kama vita itaendelea na kusambaa basi ile strait ya hormuz na strait ya bab al mandeb zitakuwa shida kupitika na kusababisha uhaba wa mafuta na nchi zinazoendelea tutapata shida zaidi na uchumi kuyumba. walichoshindwa kukipata ndani ya siku 50 hawataweza kukipata tena kwenye vita ya ukraine imekuwa ngumu kuisha kwa kuwa usa super power anasupport ukraine na hivyo hivyo kwa kuwa hamas anapata support ya Iran na Russia hii ni ngumu kwa hamas kumalizwa kwa kuwa iran ni regional power na russia ni super power mfano mzuri ni syria assad regime ipo hadi leo kwa kuwa kunasupport ya russia na iran la angekuwa historia kama gaddafi.
Russia hamsupport Hamas hata kidogo.Kama ilivyo Marekani Mrusi anamtegemea Muisrael kuliko unavyodhani
 
Hizi pumba zingine afu anakuja anzisha mada [emoji1]

We wambie basi Israel wawamalize Hamasi kama wao wanaume, we ka unasikiliza kelele za Natanyahu wakati jeshi Lake wengine wameisha kimbia Gaza

Israel anaomba vita visiendele we unakuja leta ujinga wa Paulo hapa.
Hasira za Nini?Kama Israel anaomba vita iishe body language yako ingesema.Kwa namba ulivyohamaki inaonekana ndugu zako katika Imaaan wanachapika kisawasawa.Na bado
 
Hivi kukumbia waje Gaza watakiona, ndio tulisema hawatafika Gaza sa we jiulize walipo fika Gaza walifanywa nini, we Huna habari Israel wanatiwa pressure huko waseme wanajeshi walio kufa wako wapi [emoji1]

Jana wamesema 1000 wamekufa kwanza walisema 250 tu, nawengine wamejehuriwa 7000.

We subiri mtasikia number zinapanda itabidi waseme ukweli wao.

Afu we unajua hospita ya Alshifaa iko wapi? Hio ipo 2km kutokea kwenye bahari na kabla ya kufika hapo. Ndege za vita zilikuwa zikipiga ili jeshi lao lifike hapo na Hamasi aliwachia ili iwe aibu waonyeshe wapi hio central command [emoji38]

Vita ni akili unaona Hamasi anavyo pigana anamtia adabu na anaonyesha aibu za Israel, hata Biden ananza mbembeleza Qatar awasemeshe Hamasi ili vita iishe.

Sababu kisha ona Israel ni kuku tu mbele ya Hamasi [emoji1]
Israel imeua Hamas sita tu.Ama.kweli Hamas kashinda vita
 
Back
Top Bottom