sekindunda
JF-Expert Member
- Jul 23, 2017
- 335
- 232
Kwa kinachoendelea kwa sasa HAMAS wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuionesha Dunia kwamba, haki hata ukiibana kiasi gani itafika wakati itashinda.Inawezekana Hamas akawa na sababu za msingi za kufanya shambulizi kwa
Israel.. ila nachowalaumu aidha hawakuwa na strategy au walifanya attack kwa kimihemuko..
Kwangu mimi kama mko chini ya watesi wenu na kila siku mnajipanga na kushambuliana nae toka... enzi na enzi.. mnashindwa
Ilitakiwa wawe wamejipanga kwa pigo takatifu ambalo linge level the play ground..
Yaan walitakiwa wawe wamehakikisha kuwa Isrel awe offguard kwa maana anajua palestina mwembe wa uan anajichumia
Akitaka.. na kweli Israel akawa offguard so walipaswa kuwa ikiwa wameivamia Israel kijeshi basi Kipigo chake kiweze kudhoofisha nguvu walau 60% kama Sio 80% ya nguvu ya kijeshi ya israel
Hii ingepelekea hata washirika wakubwa wa Israel ambao ni western kujua kuwa sasa hii ni vita kamili na wangegwaya kwanza.. na maana yake nguvu ya msaada ambao wamgetoa ingekuwa easly matched na kina iran na kina korea/ urusi.. yaan kama madogo wapigane ma bro waambiwe wasiingilie
Lakini kuivamia israel na pickups na pikipiki.. matokea yake Mji/Nchi yenu inakuwja kuwa bombed na kugeuzwa magofu huku 50% ya nguvu kazi na kizaz kijacho imepukutika au haina future huu sio ushindi.. vita sio swala
Ya kurusha maroket bila mpango tu
Nachokiona Kwa upande wa Hamas washirika zake wamewatumia kwa Maslah yao.. coz Hamas they had one oporturnity ya kumkuta Israel amerelax na yuko off guards na wakashindwa kutumia kudeliver a killer punch.. belive me that will never ever ever happen.
Rejea vita ya siku sita ya Israel na Waarab waliomzunguka.. Myahud alijua there is no way angeshinda kwa maana Waraab walikuwa wamejipanga kushambulia na walikuwa wako
Very equiped from all angle na so alijua kuwa anatakiwa atafute nguvu ya adui iko wapi na ahakikishe adui yuko offguard.. na sio awasubiri waanze wao maana hakuwa na uwezo wa kudefend and attack na waarab walikuwa wanagain ground mdogo mdogo.. so akaja na war plan ya kudeliver pigo moja takatifu ambalo lingewa criple maadui zake na kumpa Nafasi ya kujipanga zaid.. na walijua wana nafasi moja tu so yeye na masponsor wake wa Western wakafanya hilo kwa kulipua Ndege karibu zote za kivita maana walijua nguvu ya adui iko hapo.. na sio kulipua kwa maroket waliingiza mamluki wakasabotage the airforce.. maana yake israel akawa ndo mwenye uwezo wa kupigana kutoka juu.. ..and the rest is history..
Sasa hamas kapata chance moja anakwenda na bodaboda na pick up..
Israel inaungwa mkono na Nchi zote zenye nguvu Duniani, wanazo silaha zote nzito na za kisasa na rasilimali nyingine muhimu kama watu fedha na teknolojia lakini wameshindwa kutekeleza kile wanachokiita kuutokomeza Ugaidi wa HAMAS.
Hii maana yake ni kwamba pamoja na nguvu ndogo walo nayo hao wanaoitwa Magaidi nyuma yake kuna nguvu isiyoonekana ya Mungu.
Mmi naunga mkono mazungumzo ya amani yazingatie haki na maslahi ya kweli ya watu wa Palestina na Israel bila kuweka mbele hila ya aina yoyote. Bila hivyo mgogoro huu utaendelea kuitafuna Mashariki ya Kati na Dunia kwa ujumla.