SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
Mungu mkuu ni brahma acha kujikosha...na yeye ndo kaumba mbingu na nchi...πmuabudu yeye bacUhindu una miungu wengi,mmoja wapo ng'ombe,asubuhi wahindi hunywa mkojo wa ng'ombe na mavi yake kidogo,Wala hawaamini juu ya Mungu mmoja Wala siku ya mwisho,so watoke kwenye equation,siwezi kuwa mhindu,hata wazazi wangu wangekua wakiristo,ningesilimi tu,sababu huwa sifati mkumbo,hata hivyo hili haliwezi kuwa dalili kuwa Mungu hayupo Bali yupo ndiyo maana makundi tofauti wanamgombea huyo Mungu..hivyo tofauti haiwezi kuwa hoja ya kutokuwepo Mungu
Tumewaeleza jamaa wanakaza fuvu na kuongeza ubishi tu. Mbona ipo wazi, jamaa Adamu na uzao wake qaliishi miaka 900's na walizaa wana wa kike na kiume. Biblia isingetisha kutaja uzao wote wa Adam au wanadamu wote waliozaliwa au kuishi duniani. Eti nimeona mwingine anasema mbona hakuna sehemu kwenye Biblia wamemtaja Dinosaur π¦ mnyama mkubwa kuumbwa? Tukamjibu, mbona hawajataja Sisimizi mnyama mdogo? Eti kutotajwa kwa Dinosaur kwenye Biblia basi biblia ni uongo.Walikuwa mapacha, soma lost books from Bible, utajua mengi
πYaani hii ni cartoon kabisa afu Kuna mtu anajua ni historyWeka humo black mamba, wale vyura wenye sumu wa amazon usisahau kifaru na mamba
Kwa jinsi ulivoandika sitapoteza muda kukujibu maswali yako japokuwa majibu yapo, unaonekana tayar ushajiamulia kichwani mwako kwamba mungu hayupo.ππππSo ajifanye zuzu ili aelewe biblia. Skia we tulia, ukishatulia niambie watu gani walienda kwenye kaburi la Yesu na waliona nani na nani? Ukitoka hapa soma kwa kutulia sijui kiroho uniambie baba yake Joseph mzaa Yesu ni nani? Halafu uniambie safina ilikaa kwa miezi mingapi na wanyama waliingia wawili wawili au Saba Saba? ππKuna contradictions nyingi anza na hizo. Afu uniambie mtu mmoja anakuaje watatu afu anajiongelesha
Ndio tukuulize ww mkuuImetoka kwa Mungu ikiwa imeandikwa kwa lugha gani
Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
ππππππππππππMiaka 900 so Adam ni zombie...hivi wewe...mzungu kakuletea tu kitabu kakutishia tu moto ndo akili zimeruka hiviTumewaeleza jamaa wanakaza fuvu na kuongeza ubishi tu. Mbona ipo wazi, jamaa Adamu na uzao wake qaliishi miaka 900's na walizaa wana wa kike na kiume. Biblia isingetisha kutaja uzao wote wa Adam au wanadamu wote waliozaliwa au kuishi duniani. Eti nimeona mwingine anasema mbona hakuna sehemu kwenye Biblia wamemtaja Dinosaur π¦ mnyama mkubwa kuumbwa? Tukamjibu, mbona hawajataja Sisimizi mnyama mdogo? Eti kutotajwa kwa Dinosaur kwenye Biblia basi biblia ni uongo.
Suala la mke wa kaini Mbona lipo wazi. Biblia inasema Adam alizaa "wana wa kike na kiume" katika hao wana wa kike na kiume wametajwa watatu tu. Kaini, Abel na Seth. Kwanini hawahoji kuhusu hao wengine. Biblia katika mwanzo 6 inasema Wana wa Mungu walikuja duniani kuoa wana wa Wanadamu baada ya kuzaa mabinti na kuongezeka. Inamaana gani, wanawake waliozaliwa na Adam na uzao wake walikuwa wengi.
Baadhi ya vitabu nje ya Biblia vinataja baadhi ya watoto wawili wa Kike wa Adam akiwemo AWAN aliekuwa mke wa Kaini.
Kwa kuwa nimesoma kwemye vitabu. Sasa kama umesoma kwenye Biblia wasiwasi wako ni nini?We unajuaje mkwawa alipigana vita na wajerumani?
ππππMungu kuwepo ni swala moja....biblia kuwa neno la Mungu ni swala lingine...,πusilinganishe hivi vitu sawaKwa jinsi ulivoandika sitapoteza muda kukujibu maswali yako japokuwa majibu yapo, unaonekana tayar ushajiamulia kichwani mwako kwamba mungu hayupo.
Bac mungu hayupo, endelea kuamini hio bing bang theory.
Haya maswali ndo yale ya kuku na yai.Mimi najua Mungu yupo kwasababu hakuna kitu kisicho na chanzo cha kuwepo na sababu ya kuwepo.Kwahiyo hakuna kitu kilichotoka from no where.Wewe unaye jua Mungu huyo yupo,
Thibitisha na eleza ulifahamu vipi Mungu huyo yupo?
Kama tuna ukomo wa kufikiri, Aliye sema Mungu yupo yeye aliwezaje kufahamu hilo?
Kwani kabla ya kuzaliwa kwako ulikuwa wapi?
Na ilikuwaje huko ulipokuwa kabla hujazaliwa?
Human beings created God through assumptions Based on things beyond their imaginations.
Man created God.
Mungu ni dhana ya kufikirika isiyo kuwepo, Imagination just an illusion.
ππSi kama palestina na waarabu saa hivi... wanasubiria Allah afanye maajabuSina shida nao mkuu tatizo kila mada Mungu, Vita na umwagaiji wa damu kila mtu anataka Mungu wake apiganie watu wa dini yake washinde , watu wapo tayari kuona jamii nyingne isiyo ya dini yao inakufa
Chanzo na sababu ya Mungu ni nani?Haya maswali ndo yale ya kuku na yai.Mimi najua Mungu yupo kwasababu hakuna kitu kisicho na chanzo cha kuwepo na sababu ya kuwepo.Kwahiyo hakuna kitu kilichotoka from no where.
Sent using Jamii Forums mobile app
Biblia ilikuwa haihesabu wanawake.Idadai ya Waisrael wakati wanatoka utumwani Misri kwenda Nchi ya Kaanani, walikuwa watu laki 6, bila kuhesabu wanawake na watoto
Yesu aliwalisha kwa samaki mmoja na mikate mitano watu elfu tano, bila kujali wanawake na watoto
Sijui kama nitakuwa nimejibu swali lako
Akuna cha Allah wala yehova apo mwenye nguvu atamtawala mwenzake.ππSi kama palestina na waarabu saa hivi... wanasubiria Allah afanye maajabu
Kwani shida nini kuishi miaka 900 mkuu? Mzungu gani kaniletea kitabu? Nikufundishe leo.ππππππππππππMiaka 900 so Adam ni zombie...hivi wewe...mzungu kakuletea tu kitabu kakutishia tu moto ndo akili zimeruka hivi
Na wewe huamini vyote sio??ππππMungu kuwepo ni swala moja....biblia kuwa neno la Mungu ni swala lingine...,πusilinganishe hivi vitu sawa
Biblia nimeisoma kuliko hata wewe unaye jifanya kuijua sana Biblia.Ungeisoma kwanza biblia ndio ukaja na maswali.Kama hujaisoma ata ukiambiwa utazalisha tu maswali ambayo hayatafikia muafaka.Biblia sio sawa na moja jumlisha moja kwasababu imeandikwa na waandishi wengi kwa nyakato tofauti tofauti japo lengo ni lile lile.Siko kwenye mazingira mazuri yakukujibu ila kama unataka kujua majibu tafuta biblia uisome.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hakuna kisicho na chanzo chanzo cha Mungu ni nin?Haya maswali ndo yale ya kuku na yai.Mimi najua Mungu yupo kwasababu hakuna kitu kisicho na chanzo cha kuwepo na sababu ya kuwepo.Kwahiyo hakuna kitu kilichotoka from no where.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bro hoja yako ni nini? Chanzo cha uwepo na sababu ya wewe kuwepo ni nani?Chanzo na sababu ya Mungu ni nani?
Safari ya Bulicheka kwenye nchi ya Wagagagigikoko, Alfu Lela Ulela, Machaku na Njiwa, Adili na Nduguze, nkMzee sariboko, sadiki na chitemo, lindu ampiga kampilima , hawafu mwenye nguvu na mutegeki na nyembo.