La Princesa
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 1,049
- 1,160
Nani mkuu???Bac wasitusumbue...πwabaki nayo
Nimeshamjibu kwa hilo.Jibu ni SIMPLE tu mpenzi, biblia haijaandikwa kwenye chronological order,ukienda mbele kidogo utaona Adam alizaa wana wake kwa waume, it is obvious mwanzoni walikuwa wakioana ndugu mpaka pale alipokuja kuwazuia kwenye mambo ya walawi
2.Wana wa kike walikuwa hawahesabiwi ndio maana unaona sehemu nyingi zinazungumzia wana wa kiume tu....Shalom
Hujaelewa, kumuona Mungu owa namna gani hujajua? Kumuona Physically na sio spiritually. Mbona Mungu kwenye Biblia kujifunua kwa watu wake spiritually kuanzia Isaya hadi Mikaya.Biblia nimeisoma kuliko hata wewe unaye jifanya kuijua sana Biblia.
Biblia imejaa Contradiction nyingi sana na logical fallacies.
Biblia inaji Contradict yenyewe kwa yenyewe...
Na kuwekea uthibitisho wa mojawapo ya Contradiction zilizopo kwenye Biblia..[emoji116]
Kutoka 33:20 inasema, "Hakuna MTU yeyote anayeweza kumuona Mungu akaishi"
Hapohapo
Kutoka 33:11 inasema, "Musa alimuona Mungu na akaendelea kuishi"
Tayari Exodus 33:11, ina pingana na Exodus 33:20.
Tukisema kwamba Biblia ni andiko la kutungwa sawa na Hekaya za Abunuwasi muwe mnaelewa.[emoji116]View attachment 2793728View attachment 2793734
natumai eva nae alikuwa mwanaume ndyo maana kaandikwa kweny bible na huyo mwengn hajaandkwEnzi hizo wanawake walikuwa hawahesabiwi, hata mtu akiwa na watoto kumi tisa wanawake alikuwa anahesabiwa ana mtoto mmoja. Hivyo watoto wa kike walikuwepo.
Kama hakuna kitu kisicho na mwanzo, Basi eleza Mwanzo wa Mungu ni nini?Haya maswali ndo yale ya kuku na yai.Mimi najua Mungu yupo kwasababu hakuna kitu kisicho na chanzo cha kuwepo na sababu ya kuwepo.Kwahiyo hakuna kitu kilichotoka from no where.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa wanaleta ujuaji tu. Tumewaeleza pia nini maana na msingi wa Neno la mungu kwenye Biblia. Biblia sio kitabu cha hadithi ni kitabu kinachotufundisha sisi wanadamu tujue asili yetu na namna gani tuishi maisha ya kumpemdeza Mungu ili tuurithi uzima wa Milele. Mbona hawahoji kuhusu mke wa Abel na Seth au wao walioana wanaume kwa wanaume?Nimeshamjibu kwa hilo.
Mkuu mbona haujajibu sasa lile Swali la aliyemuumba Mungu ni nani ikiwa kila kitu kina muumbaji wakeMwenyezi Mungu
Mtafute Mungu afu muulize aliyekuumba ni naniMkuu mbona haujajibu sasa lile Swali la aliyemuumba Mungu ni nani ikiwa kila kitu kina muumbaji wake
π€£π€£π€£ adroko na simba , sinderela, siku ya gulio, fuata nyuki ule asali , ukitaka mali utaipata shambani, asiye sikia la mkuu huvunjika guu, penina na kipini , chopeko na mnofu, akili na adiliπ€£π€£Safari ya Bulicheka kwenye nchi ya Wagagagigikoko, Alfu Lela Ulela, Machaku na Njiwa, Adili na Nduguze, nk
Si unaona sasa majibu yenuMtafute Mungu afu muulize aliyekuumba ni nani
Maswali mengine ya kitoto sana. Ila wake za Seth, Abel, Lutu, Kanaani, Shem, Hamu, Yafeti, Yohana mbatizaji, Petro, Paulo, Sila, yuda n.k nao wameandikwa? Mke wa Pilato naye kaandikwa? Acheni ujuaji nyie. Sasa kungekuwa na maana gani kama Biblia ingeandika wake za watu wote. Kuanzia Adam hadi Mtume Yohana.natumai eva nae alikuwa mwanaume ndyo maana kaandikwa kweny bible na huyo mwengn hajaandkw
Nini hasa hoja yako naona unajitekenya na kujicheka.π€£π€£π€£ adroko na simba , sinderela, siku ya gulio, fuata nyuki ule asali , ukitaka mali utaipata shambani, asiye sikia la mkuu huvunjika guu, penina na kipini , chopeko na mnofu, akili na adiliπ€£π€£
Kwani una swali gani ujibiwe?Si unaona sasa majibu yenu
Sasa kwa nini Exodus 33:20 iseme kwamba " No man shall see me and live"Hujaelewa, kumuona Mungu owa namna gani hujajua? Kumuona Physically na sio spiritually. Mbona Mungu kwenye Biblia kujifunua kwa watu wake spiritually kuanzia Isaya hadi Mikaya.
Issue ya Musa kabla hajamuona kwa kulingana na hilo ulichoandika kulikiwa na convo kati yao na Mungu alimwambia Mungu hakuna ambaye atamuona yeye na akaishi. Ila kwa kuwa Musa alimuomba Mungu amuone, ndiyo akajifunua kwake tena haikuwa dhahiri kwani Mungu alimwambia ajifiche kwenye mwamba ili amuone kwa nyuma.asije akafa. Sasa hapo contradiction ipo wapi mkuu?
Kwahiyo hapo mwanzo tu kaini si alienda kuoa baada ya kumuua Habili kwo ilipita miaka 800 tyr mwanzo tuπππJibu ni kwamba Kaini alioa dada yake kwa sababu Adam alizaa watoto wa kiume na wa kike, Watoto wa kike hawakuwa wakitajwa sana kwa majina yao lakini walikuwepo.
"Siku za Adamu baada ya kumzaa Sethi zilikuwa miaka mia nane, akazaa wana, waume na wake."
Wakati huo hakukuwa na amri ya kukataza mtu kuoana na dada yake, amri ilikuja baadae kipindi cha Musa.
Mungu huyo hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.Mtafute Mungu afu muulize aliyekuumba ni nani
Biblia ni andiko moja la kipumbavu sana lililo tungwa na wahuni wachache kuwahadaa wajinga wasio jielewa.Jamaa wanaleta ujuaji tu. Tumewaeleza pia nini maana na msingi wa Neno la mungu kwenye Biblia. Biblia sio kitabu cha hadithi ni kitabu kinachotufundisha sisi wanadamu tujue asili yetu na namna gani tuishi maisha ya kumpemdeza Mungu ili tuurithi uzima wa Milele. Mbona hawahoji kuhusu mke wa Abel na Seth au wao walioana wanaume kwa wanaume?
Kuna mdau pale juu aliuliza Swali kwamba ikiwa kila kitu lazima kiwe na muumbaji wake je muumbaji wa Mungu ni naniKwani una swali gani ujibiwe?