nyanyantole
JF-Expert Member
- Jun 22, 2015
- 664
- 1,050
Hai mention kivip Wakati hiyo ni historia ya vizazi mpaka Kwa Yesu.jaman tuwe tunasoma Bibilia ni Ufunuo kwetu wenyewe hakuna mbingu bila maarifa Kama ambavyo hakuna form four bila cheti.Kwa hiyo kwa kuwa biblia hai mention watoto wengine wa Adam hivyo unaamìni kuwa alikuwa na watoto wawili tu? Surely alikuwa na watoto wengi tu na walioana wao kwa wao.
Kama ni historia ya vizazi wafilisti walitoka wapi? Kuoana wao kwa wao haikuwa tatizo wakati ule.Hai mention kivip Wakati hiyo ni historia ya vizazi mpaka Kwa Yesu.jaman tuwe tunasoma Bibilia ni Ufunuo kwetu wenyewe hakuna mbingu bila maarifa Kama ambavyo hakuna form four bila cheti.
Mwanzo 4:25 Adamu akamjua mke wake tena; akazaa mwana mwanamume, akamwita jina lake Sethi; maana alisema, Mungu ameniwekea uzao mwingine mahali pa Habili; kwa sababu Kaini alimwua.
Na hii ya kusema walioana wao Kwa wao ni tatizo
Wanawake wamejaa ukaoe dada yako?Kwahiyo watoto wa Adamu wa kike walizaa na Kaini?? Kama hivyo kwann hairusiwi kuzaa na ndugu yako
Anza kwa kujibu hivi ...huyo mke alitoka......Bibilia hataji taking za wanawake. Adam na Hawa walizaa Kaini na Habili ni kiume wa kike hajatajwa.ila pia uje uje kuna watu na binadamu ni tofauti. Kuna watu walikuwepo kabla kabla Mungu wa Adam kuumba. Wana wa Adam ni wanaitwa Binadamu
Sheria ya kuzuia kuoana ndugu ilikuja kipindi cha Musa, sheria ilianza kutumika wakati Waisrael wanatoka Misri kwenda Kaanani, yaani hapo wanapoishi leoKwahiyo watoto wa Adamu wa kike walizaa na Kaini?? Kama hivyo kwann hairusiwi kuzaa na ndugu yako
Kama hawakutajwa,wewe umejuaje kuwa walizaa watoto wa kike?Adam na Eva waliiwahi kuzaa watoto wa kike pia, ila hawakutajwa kwenye Biblia na mmoja wao ndiyo huyu aliyekuja kuolewa na Kaini. Walikuwa wanaruhusiwa kuoana mtu na dada yake
Alimuowa lilithHabari zenu,
Naombeni majibu ya haya maswali kwenye maneno ya Biblia:
"Ukisoma mwanzo unaambiwa Adam na Hawa walimzaa Kaini na Habili, baadaye Kaini alimuua nduguye Habili. Baada ya hiyo hali Mungu akamfukuza Kaini (Kaini akatoka mbele za uso wa Bwana akakaa katika nchi ya Nodi mbele ya Edeni). Kaini akamjua mkewe naye akapata mimba akamzaa Henoko."
Swali liko hapo; Huyo mke wa Kaini alitoka wapi wakati Mungu alikuwa ameumba watu wawili tu na walizaa watoto wawili na kati ya hao mmoja alikuwa amefariki? Huyo mke alitoka wapi, embu tupeni majibu?
Mimi uwa najiuliza Mungu wetu being "the Author" of the bible kupitia waandishi binadamu kama tunavyoambiwa kuwa wakati wanaandika vitabu vinavyounda biblia walikuwa wakiongozwa na Mungu mwenyewe, iliwezekana vipi kwenye biblia kuwe na gaps na mistari yenye mkanganyiko kiasi hicho? Gaps and contradictory verses or chapters hizo kwenye biblia ndizo zimesababisha kila mtu au dhehebu kujitafsiria kivyao watakavyo na kupelekea kupotosha na kupoteza watu na hata kupelekea watu kutilia mashaka ukweli wake. Mbona vitabu vingine vingi tu visivyohusiana na neno la Mungu ukivisoma vimenyooka vizuri tu mwanzo hadi mwisho?Sina hakika kama Biblia huaga unasoma mwenyewe au hua unasoma vipande vipande.
Nitajaribu kukujibu hili swali lako kwa reference za Biblia hiyo hiyo, kwa ufupi hilo swali wala halijawahi kunitatiza au hata kunifanya nipate mashaka na historia ya uumbaji. Iko hivi, katika Biblia kuanzia mwanzo hadi mwisho, hakuna sehemu utapata historia ya mtoto wa kike kwa familia yoyote mule kwamba alizaliwa lini na alifatana na nani, again hata katika sensa kadhaa zilizofanywa (Kitabu cha Hesabu ni full sensa) walikua hawahesabu watoto na wanawake regardless their age. Kuna mtu anaitwa Yakobo or Israeli, huyu mwamba kazaa watoto 12 wa kiume na wanatajwa walizaliwa lini na kwa mama yupi, hakuna mtoto wa kike hata mmoja anaetajwa, baadae sana huko wakati hao watoto wote 12 wamezaliwa, anatokea binti yake mmoja kubakwa na watu wa taifa fulani na kumuondolea BIKIRA yake, ndio sasa tunakuja kumjua mama wa huyo binti na ndugu zake ni kina Lawi na Gadi...., you see? Means kama lisingetokea tukio hilo la ubakaji wala tusingejua kwamba kuna mtoto wake mmoja anaitwa Dina. Ipo kwenye Biblia. Again, huyu Yakobo baada ya kufika Misri, Biblia inasema mwamba alipiga copy 64, unajua tafsiri yake? Wa kiume ni 12 then 64-12 wanao baki ni wa KIKE. So sio ajabu kwamba Adamu alikua na watoto wengine wengi wa kike. Hata huyo Habili baada ya kifo chake, inaonekana kabla hajauawa alikua tayari ana mtoto/watoto. Means alikua kaoa. Fatilia uzao wa Yesu from Yesu mwenyewe rudi hadi kwa Adam, anaonekana anatokea uzao wa Habili na sio Kaini, so the question is, nae alioa nani?
Hizi ni stori kama stori za Abunuwasi
Sehemu gani nyingine inakupa utata? Hivi umejiuliza pia, wana wa Yakobo/Israel walipokwenda Misri uhamishoni wakaishi huko miaka 430, walikua wanazaliana kwa wanawake wepi? Maanake amri ya kuoana ndugu ilikoma baada ya miaka 430; kipi kinakusumbua katika kuelewa hayo bro? Lete andiko tusaidiane kufafanuaMimi uwa najiuliza Mungu wetu being "the Author" of the bible kupitia waandishi binadamu kama tunavyoambiwa kuwa wakati wanaandika vitabu vinavyounda biblia walikuwa wakiongozwa na Mungu mwenyewe, iliwezekana vipi kwenye biblia kuwe na gaps na mistari yenye mkanganyiko kiasi hicho? Gaps and contradictory verses or chapters hizo kwenye biblia ndizo zimesababisha kila mtu au dhehebu kujitafsiria kivyao watakavyo na kupelekea kupotosha na kupoteza watu na hata kupelekea watu kutilia mashaka ukweli wake. Mbona vitabu vingine vingi tu visivyohusiana na neno la Mungu ukivisoma vimenyooka vizuri tu mwanzo hadi mwisho?
Bahati nzuri mfano halisi wa contradiction nilizomaanisha umeutoa wewe mwenyewe hapa. Kwa nini amri ya kuoana ndugu ikome baada ya miaka 430? Nikimaanisha kwa nini kabla ya hapo Mungu aone kwamba kuoana ndugu haina shida (siyo dhambi) na baadae aone kuwa siyo sawa (ni dhambi)?Sehemu gani nyingine inakupa utata? Hivi umejiuliza pia, wana wa Yakobo/Israel walipokwenda Misri uhamishoni wakaishi huko miaka 430, walikua wanazaliana kwa wanawake wepi? Maanake amri ya kuoana ndugu ilikoma baada ya miaka 430; kipi kinakusumbua katika kuelewa hayo bro?
Jibu jepesi sanaIli swali sijawahi pata jibu japo nimewauliza waumini wengi wa madhehebu tofauti
Mwanzo 5:4Kwanini hawakuzungumziwa na ilikuwaje wakakatazwa kuoana ? Wewe umejuaje kama Adam na hawa walikuwa na watoto wa kike Imeandikwa wapi leta jibu
Hesabu za kale nyingi wanawake na watoto hawakuwa wakihesabiwa maana hawakuwa wakitambulika.Habari zenu,
Naombeni majibu ya haya maswali kwenye maneno ya Biblia:
"Ukisoma mwanzo unaambiwa Adam na Hawa walimzaa Kaini na Habili, baadaye Kaini alimuua nduguye Habili. Baada ya hiyo hali Mungu akamfukuza Kaini (Kaini akatoka mbele za uso wa Bwana akakaa katika nchi ya Nodi mbele ya Edeni). Kaini akamjua mkewe naye akapata mimba akamzaa Henoko."
Swali liko hapo; Huyo mke wa Kaini alitoka wapi wakati Mungu alikuwa ameumba watu wawili tu na walizaa watoto wawili na kati ya hao mmoja alikuwa amefariki? Huyo mke alitoka wapi, embu tupeni majibu?
Hebu ushughulishe kidogo ubongo wako bro. Dunia nzima ina mke na mume, mume na mke hao wamezaa watoto; hivi uzazi duniani ungeendeleaje kama sio kufanya hivo? Je baada ya kua na watu wengi na koo zimeanza kupitia uzazi, kuna kua na sababu tena ya kuendelea kuoana ndugu? Makabila mengi Tanzania, mabinamu walikua wanaoana na ndio ule msemo wa "Binamu nyama ya hamu" sidhani kama zile mila zinaendelea tena. Tanzania hapa (samahani kwa kutaja makabila ya watu humu ) hadi mwishoni mwa karne ya 20, yaani miaka ya 90 Wanyakyusa, Wahaya na Wachagga wazee walipenda vijana wao kuoana wenyewe kwa wenyewe ndani ya kabila Lao, na sio tu kabila Lao lakini pia, wewe Mhaya wa wapi? Mnyakyusa au Mchagga wa wapi? Hiyo tabia/sheria ni kama inaondoka, haina nguvu sana baada ya watu kutawanyika na kuishi sehemu tofauti na makwao. Swali lingine? Nitafurahi ukiendelea kuuliza maswali ya kujenga na sio KEJERIBahati nzuri mfano halisi wa contradiction nilizomaanisha umeutoa wewe mwenyewe hapa. Kwa nini amri ya kuoana ndugu ikome baada ya miaka 430? Nikimaanisha kwa nini kabla ya hapo Mungu aone kwamba kuoana ndugu haina shida (siyo dhambi) na baadae aone kuwa siyo sawa (ni dhambi)?
Jingine, iweje mwenyezi Mungu asahihishe mtihani na kuweka tick kwenye jibu la swali halafu baadae aseme au aone kuwa aliweka tick kimakosa? Ufafanuzi: siku alipomuumba Adam baada ya uumbaji wa siku hiyo akaweka tick kwamba mambo yako sawa kwa kumuumba Adam tena akiwa pekee yake. Lakini pamoja na kuridhika kuwa alifanya uumbaji wa Adam (pekee yake) na kuridhika nao kwa 100% baadae akagundua kuwa siyo vema (kama alivyoona awali) Adam kukaa pekee yake. Ndipo Kaamua kumleta Eva. Naomba ufafanuzi hapo.Hebu ushughulishe kidogo ubongo wako bro. Dunia nzima ina mke na mume, mume na mke hao wamezaa watoto; hivi uzazi duniani ungeendeleaje kama sio kufanya hivo? Je baada ya kua na watu wengi na koo zimeanza kupitia uzazi, kuna kua na sababu tena ya kuendelea kuoana ndugu? Makabila mengi Tanzania, mabinamu walikua wanaoana na ndio ule msemo wa "Binamu nyama ya hamu" sidhani kama zile mila zinaendelea tena. Tanzania hapa (samahani kwa kutaja makabila ya watu humu ) hadi mwishoni mwa karne ya 20, yaani miaka ya 90 Wanyakyusa, Wahaya na Wachagga wazee walipenda vijana wao kuoana wenyewe kwa wenyewe ndani ya kabila Lao, na sio tu kabila Lao lakini pia, wewe Mhaya wa wapi? Mnyakyusa au Mchagga wa wapi? Hiyo tabia/sheria ni kama inaondoka, haina nguvu sana baada ya watu kutawanyika na kuishi sehemu tofauti na makwao. Swali lingine? Nitafurahi ukiendelea kuuliza maswali ya kujenga na sio KEJERI