Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

Kwa hiyo kwa kuwa biblia hai mention watoto wengine wa Adam hivyo unaamìni kuwa alikuwa na watoto wawili tu? Surely alikuwa na watoto wengi tu na walioana wao kwa wao.
Hai mention kivip Wakati hiyo ni historia ya vizazi mpaka Kwa Yesu.jaman tuwe tunasoma Bibilia ni Ufunuo kwetu wenyewe hakuna mbingu bila maarifa Kama ambavyo hakuna form four bila cheti.

Mwanzo 4:25 Adamu akamjua mke wake tena; akazaa mwana mwanamume, akamwita jina lake Sethi; maana alisema, Mungu ameniwekea uzao mwingine mahali pa Habili; kwa sababu Kaini alimwua.

Na hii ya kusema walioana wao Kwa wao ni tatizo
 
Kama ni historia ya vizazi wafilisti walitoka wapi? Kuoana wao kwa wao haikuwa tatizo wakati ule.
 
There are a lot of discrepancies in the Bible; for example consider the first part of Genesis: God said, “Let there be firmaments,” and a second God obeyed and made the firmaments. The first God said, “Let there be light,” and the second God made some light. From which it is clear that God commands some other God who must have been a lesser God because he did the bidding of the first. ‘Let there be light.’ That does not mean daylight, sunlight, or artificial light, it means instead spiritual light, it means lift the soul of Man out of darkness that he may perceive the greatness of God. Again, Adam was not the first man created. The Bible tells us that because in Genesis 4. 16, 17 it is said that Cain went into the land of Moab with the intention of buying a wife. Now if Adam was the first man created, what was the point of Cain going into Moab in search of a wife, because there just wouldn't be any! Actually, Adam is a composite of ten Sephiroth, and of course the Father, Son, and Holy Ghost is the three of the upper triad of the archetype world, while the second Adam is an esoteric composition who represents the seven groups of men--the seven groups of mankind, and which thus formed the first human race.

There were the Atlanteans who made a lot of researches, and if you will read the Bible properly, esoterically,that is, you will find that the seven keys which open the mysteries of the seven great root races can be traced back to Atlantean times. So the Egyptians obtained information from the Atlanteans, the Jews obtained it from the Egyptians and altered it,a bit, and the Christians came along and they took all that information and distorted it quite considerably, and then the translators who put it it into Latin SOFTENED ALL SORTS OF COMMENTS AND MADE THEM FIT IN WITH THE NEW CHRISTIAN IDEALS,JUST AS POLITICIANS NOWADAYS WANT CITIZENS TO BE PERFECT AND NOT DEMONSTRATE.
 
Ngoja Niongeze Uchochezi..
20240924_111106.jpg
 
Anza kwa kujibu hivi ...huyo mke alitoka......Bibilia hataji taking za wanawake. Adam na Hawa walizaa Kaini na Habili ni kiume wa kike hajatajwa.ila pia uje uje kuna watu na binadamu ni tofauti. Kuna watu walikuwepo kabla kabla Mungu wa Adam kuumba. Wana wa Adam ni wanaitwa Binadamu
 
Sina hakika kama Biblia huaga unasoma mwenyewe au hua unasoma vipande vipande.
Nitajaribu kukujibu hili swali lako kwa reference za Biblia hiyo hiyo, kwa ufupi hilo swali wala halijawahi kunitatiza au hata kunifanya nipate mashaka na historia ya uumbaji. Iko hivi, katika Biblia kuanzia mwanzo hadi mwisho, hakuna sehemu utapata historia ya mtoto wa kike kwa familia yoyote mule kwamba alizaliwa lini na alifatana na nani, again hata katika sensa kadhaa zilizofanywa (Kitabu cha Hesabu ni full sensa) walikua hawahesabu watoto na wanawake regardless their age. Kuna mtu anaitwa Yakobo or Israeli, huyu mwamba kazaa watoto 12 wa kiume na wanatajwa walizaliwa lini na kwa mama yupi, hakuna mtoto wa kike hata mmoja anaetajwa, baadae sana huko wakati hao watoto wote 12 wamezaliwa, anatokea binti yake mmoja kubakwa na watu wa taifa fulani na kumuondolea BIKIRA yake, ndio sasa tunakuja kumjua mama wa huyo binti na ndugu zake ni kina Lawi na Gadi...., you see? Means kama lisingetokea tukio hilo la ubakaji wala tusingejua kwamba kuna mtoto wake mmoja anaitwa Dina. Ipo kwenye Biblia. Again, huyu Yakobo baada ya kufika Misri, Biblia inasema mwamba alipiga copy 64, unajua tafsiri yake? Wa kiume ni 12 then 64-12 wanao baki ni wa KIKE. So sio ajabu kwamba Adamu alikua na watoto wengine wengi wa kike. Hata huyo Habili baada ya kifo chake, inaonekana kabla hajauawa alikua tayari ana mtoto/watoto. Means alikua kaoa. Fatilia uzao wa Yesu from Yesu mwenyewe rudi hadi kwa Adam, anaonekana anatokea uzao wa Habili na sio Kaini, so the question is, nae alioa nani?
 
Kwahiyo watoto wa Adamu wa kike walizaa na Kaini?? Kama hivyo kwann hairusiwi kuzaa na ndugu yako
Sheria ya kuzuia kuoana ndugu ilikuja kipindi cha Musa, sheria ilianza kutumika wakati Waisrael wanatoka Misri kwenda Kaanani, yaani hapo wanapoishi leo
 
Adam na Eva waliiwahi kuzaa watoto wa kike pia, ila hawakutajwa kwenye Biblia na mmoja wao ndiyo huyu aliyekuja kuolewa na Kaini. Walikuwa wanaruhusiwa kuoana mtu na dada yake
Kama hawakutajwa,wewe umejuaje kuwa walizaa watoto wa kike?
 
Habari zenu,

Naombeni majibu ya haya maswali kwenye maneno ya Biblia:

"Ukisoma mwanzo unaambiwa Adam na Hawa walimzaa Kaini na Habili, baadaye Kaini alimuua nduguye Habili. Baada ya hiyo hali Mungu akamfukuza Kaini (Kaini akatoka mbele za uso wa Bwana akakaa katika nchi ya Nodi mbele ya Edeni). Kaini akamjua mkewe naye akapata mimba akamzaa Henoko."

Swali liko hapo; Huyo mke wa Kaini alitoka wapi wakati Mungu alikuwa ameumba watu wawili tu na walizaa watoto wawili na kati ya hao mmoja alikuwa amefariki? Huyo mke alitoka wapi, embu tupeni majibu?
Alimuowa lilith
 
Sina hakika kama Biblia huaga unasoma mwenyewe au hua unasoma vipande vipande.
Nitajaribu kukujibu hili swali lako kwa reference za Biblia hiyo hiyo, kwa ufupi hilo swali wala halijawahi kunitatiza au hata kunifanya nipate mashaka na historia ya uumbaji. Iko hivi, katika Biblia kuanzia mwanzo hadi mwisho, hakuna sehemu utapata historia ya mtoto wa kike kwa familia yoyote mule kwamba alizaliwa lini na alifatana na nani, again hata katika sensa kadhaa zilizofanywa (Kitabu cha Hesabu ni full sensa) walikua hawahesabu watoto na wanawake regardless their age. Kuna mtu anaitwa Yakobo or Israeli, huyu mwamba kazaa watoto 12 wa kiume na wanatajwa walizaliwa lini na kwa mama yupi, hakuna mtoto wa kike hata mmoja anaetajwa, baadae sana huko wakati hao watoto wote 12 wamezaliwa, anatokea binti yake mmoja kubakwa na watu wa taifa fulani na kumuondolea BIKIRA yake, ndio sasa tunakuja kumjua mama wa huyo binti na ndugu zake ni kina Lawi na Gadi...., you see? Means kama lisingetokea tukio hilo la ubakaji wala tusingejua kwamba kuna mtoto wake mmoja anaitwa Dina. Ipo kwenye Biblia. Again, huyu Yakobo baada ya kufika Misri, Biblia inasema mwamba alipiga copy 64, unajua tafsiri yake? Wa kiume ni 12 then 64-12 wanao baki ni wa KIKE. So sio ajabu kwamba Adamu alikua na watoto wengine wengi wa kike. Hata huyo Habili baada ya kifo chake, inaonekana kabla hajauawa alikua tayari ana mtoto/watoto. Means alikua kaoa. Fatilia uzao wa Yesu from Yesu mwenyewe rudi hadi kwa Adam, anaonekana anatokea uzao wa Habili na sio Kaini, so the question is, nae alioa nani?
Mimi uwa najiuliza Mungu wetu being "the Author" of the bible kupitia waandishi binadamu kama tunavyoambiwa kuwa wakati wanaandika vitabu vinavyounda biblia walikuwa wakiongozwa na Mungu mwenyewe, iliwezekana vipi kwenye biblia kuwe na gaps na mistari yenye mkanganyiko kiasi hicho? Gaps and contradictory verses or chapters hizo kwenye biblia ndizo zimesababisha kila mtu au dhehebu kujitafsiria kivyao watakavyo na kupelekea kupotosha na kupoteza watu na hata kupelekea watu kutilia mashaka ukweli wake. Mbona vitabu vingine vingi tu visivyohusiana na neno la Mungu ukivisoma vimenyooka vizuri tu mwanzo hadi mwisho?
 
Unajua biblia imeandikwa kifupi sana. Kuna matukio kama lilivyo la cain , ambayo yalitendeka baada ya muda mrefu kupita.

Kumbuka watu wa enzi za cain walikuwa wanaishi miaka mingi sana tofauti na Sasa.

Hivyo kwa biblia kusema cain aliondoka akaenda kuishi nchi ya Nodi, haiwezi kutupa hakika kwamba alimkuta mwanamke akiwa kule nodi maana biblia haisemi kwamba alioa nodi.

Ukweli ni kwamba atakuwa alioa muda mrefu baada ya kuwa wanadamu wameongeza Duniani.

Tatizo ninaloliona kwa baadhi yetu hapa ni kutafsiri biblia kisisisi ( literally) pasipo kujua kwamba Kuna factors nyingi zinazopaswa kufikiriwa kabla ya kufika hitimisho.

Ingawa Sasa ukweli unaonaki hapo ni kwamba, Adam atakuwa alioa mwanamke kutoka kwenye familia au ukipenda ukoo wake.

Miaka kama 1500 hivi kabla ya gharika ya Nuhu watu walikuwa wanaoana maana hakukuwa na watu wengine nje ya hiyo bloodline.
Kwa hiyo SI ajabu Cain atakuwa alioa mpwa, au mwanamke mwingine yoyote wa jamii yao.

Hata hivyo ukweli wa kibiblia unabaki kwamba sisi wote ni ndugu kama tunaamini kwamba tumetokana na Adam na hawa.

Tofauti yetu na wao ni kwamba vizazi vimeshaongezeka sana, mpaka hatuoni Tena ujaribu, but biblically speaking sisi ni ndugu.
 
Mimi uwa najiuliza Mungu wetu being "the Author" of the bible kupitia waandishi binadamu kama tunavyoambiwa kuwa wakati wanaandika vitabu vinavyounda biblia walikuwa wakiongozwa na Mungu mwenyewe, iliwezekana vipi kwenye biblia kuwe na gaps na mistari yenye mkanganyiko kiasi hicho? Gaps and contradictory verses or chapters hizo kwenye biblia ndizo zimesababisha kila mtu au dhehebu kujitafsiria kivyao watakavyo na kupelekea kupotosha na kupoteza watu na hata kupelekea watu kutilia mashaka ukweli wake. Mbona vitabu vingine vingi tu visivyohusiana na neno la Mungu ukivisoma vimenyooka vizuri tu mwanzo hadi mwisho?
Sehemu gani nyingine inakupa utata? Hivi umejiuliza pia, wana wa Yakobo/Israel walipokwenda Misri uhamishoni wakaishi huko miaka 430, walikua wanazaliana kwa wanawake wepi? Maanake amri ya kuoana ndugu ilikoma baada ya miaka 430; kipi kinakusumbua katika kuelewa hayo bro? Lete andiko tusaidiane kufafanua
 
Sehemu gani nyingine inakupa utata? Hivi umejiuliza pia, wana wa Yakobo/Israel walipokwenda Misri uhamishoni wakaishi huko miaka 430, walikua wanazaliana kwa wanawake wepi? Maanake amri ya kuoana ndugu ilikoma baada ya miaka 430; kipi kinakusumbua katika kuelewa hayo bro?
Bahati nzuri mfano halisi wa contradiction nilizomaanisha umeutoa wewe mwenyewe hapa. Kwa nini amri ya kuoana ndugu ikome baada ya miaka 430? Nikimaanisha kwa nini kabla ya hapo Mungu aone kwamba kuoana ndugu haina shida (siyo dhambi) na baadae aone kuwa siyo sawa (ni dhambi)?
 
Habari zenu,

Naombeni majibu ya haya maswali kwenye maneno ya Biblia:

"Ukisoma mwanzo unaambiwa Adam na Hawa walimzaa Kaini na Habili, baadaye Kaini alimuua nduguye Habili. Baada ya hiyo hali Mungu akamfukuza Kaini (Kaini akatoka mbele za uso wa Bwana akakaa katika nchi ya Nodi mbele ya Edeni). Kaini akamjua mkewe naye akapata mimba akamzaa Henoko."

Swali liko hapo; Huyo mke wa Kaini alitoka wapi wakati Mungu alikuwa ameumba watu wawili tu na walizaa watoto wawili na kati ya hao mmoja alikuwa amefariki? Huyo mke alitoka wapi, embu tupeni majibu?
Hesabu za kale nyingi wanawake na watoto hawakuwa wakihesabiwa maana hawakuwa wakitambulika.
 
Bahati nzuri mfano halisi wa contradiction nilizomaanisha umeutoa wewe mwenyewe hapa. Kwa nini amri ya kuoana ndugu ikome baada ya miaka 430? Nikimaanisha kwa nini kabla ya hapo Mungu aone kwamba kuoana ndugu haina shida (siyo dhambi) na baadae aone kuwa siyo sawa (ni dhambi)?
Hebu ushughulishe kidogo ubongo wako bro. Dunia nzima ina mke na mume, mume na mke hao wamezaa watoto; hivi uzazi duniani ungeendeleaje kama sio kufanya hivo? Je baada ya kua na watu wengi na koo zimeanza kupitia uzazi, kuna kua na sababu tena ya kuendelea kuoana ndugu? Makabila mengi Tanzania, mabinamu walikua wanaoana na ndio ule msemo wa "Binamu nyama ya hamu" sidhani kama zile mila zinaendelea tena. Tanzania hapa (samahani kwa kutaja makabila ya watu humu ) hadi mwishoni mwa karne ya 20, yaani miaka ya 90 Wanyakyusa, Wahaya na Wachagga wazee walipenda vijana wao kuoana wenyewe kwa wenyewe ndani ya kabila Lao, na sio tu kabila Lao lakini pia, wewe Mhaya wa wapi? Mnyakyusa au Mchagga wa wapi? Hiyo tabia/sheria ni kama inaondoka, haina nguvu sana baada ya watu kutawanyika na kuishi sehemu tofauti na makwao. Swali lingine? Nitafurahi ukiendelea kuuliza maswali ya kujenga na sio KEJERI
 
Jingine, iweje mwenyezi Mungu asahihishe mtihani na kuweka tick kwenye jibu la swali halafu baadae aseme au aone kuwa aliweka tick kimakosa? Ufafanuzi: siku alipomuumba Adam baada ya uumbaji wa siku hiyo akaweka tick kwamba mambo yako sawa kwa kumuumba Adam tena akiwa pekee yake. Lakini pamoja na kuridhika kuwa alifanya uumbaji wa Adam (pekee yake) na kuridhika nao kwa 100% baadae akagundua kuwa siyo vema (kama alivyoona awali) Adam kukaa pekee yake. Ndipo Kaamua kumleta Eva. Naomba ufafanuzi hapo.
 
Back
Top Bottom