Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

Kuna mtoto mmoja wa kike wa Adamu na hawa ametajwa kwenye Biblia mara moja tuu ila sikumbuki ni kwenye kitabu gani ngoja ntafatilia.

Mwanzo 5:4
Baada ya kumzaa Sethi, Adamu aliishi miaka 800, na kupata watoto wengine wa kiume na wa kike.
Hivi kwaakili ya kawaida tukija kwenye mwili wa binadamu ulivyoumbwa kweli Moyo udunde miaka 800 bila kustop kwahiyo ujana unakuwa kwenye miaka 500 au yan. Sielew growth ya huyu mwanadamu anayeishi miaka 800 mfumo wake unakuwaje kwamba hakui au na kama anakuwa inamaana anakuwa anaukaribia uzee na kufa kwahiyo mwamba alikaa miaka 800 em imagine miaka uliyonayo ulivoishi siku zote hizo dunian alaf uongeze miaka 800😁
 
Vitendo vipi hivyo....mbona sisi hatuzioni? 😂😂😂Au ndo mvua na jua...,😂afu we mtu mzima ujue
 
Wewe kutokumjua mtengenezaji wa Mungu haimaanishi kwamba Mungu hayupo
Wewe unaye jua Mungu huyo yupo,

Thibitisha na eleza ulifahamu vipi Mungu huyo yupo?
.Inawezekana hatujui kwasababu ya ukomo wa uwezo wetu wakufikiri.Kama huwezi kujua ukisha kufa unakuaje basi jua upeo wako una kikomo.
Kama tuna ukomo wa kufikiri, Aliye sema Mungu yupo yeye aliwezaje kufahamu hilo?
Tunajua kifo kipo kwasababu tunaona vitendo vyake je baada ya kufa inakuaje
Kwani kabla ya kuzaliwa kwako ulikuwa wapi?

Na ilikuwaje huko ulipokuwa kabla hujazaliwa?
ilo hatujui,hali kadhalika kwa Mungu ni hivyo tunaamini yupo kwasababu ya vitendo ila zaidi ya hapo kuhusu yeye tuko gizani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Human beings created God through assumptions Based on things beyond their imaginations.

Man created God.

Mungu ni dhana ya kufikirika isiyo kuwepo, Imagination just an illusion.
 
Inaman...hujajibu swali ..kusema kwamba jua lipo sijui limeumbwa ni moja ..hujasolve chochote... nani kaliumba ..coz kila dini wanasema Mungu wake ndo muumbaji wengine wauongo...so tunajuaje Mungu wako ndo muumbaji na sio Mungu wengine wote waliopewa sifa hii na waumini wao
 
Daah mkuu mbona unauliza hilo swali jepesi sana,nitakujibu kama mtaalamu wa maandiko ya kale
Biblia ni torati iliyoandikwa na wayahudi na wayahudi wa kale walikua hawahesabu watoto wa kike kwenye kitabu cha torati,mpaka itokee sababu kama ya watoto wa yakobo na dada yao,au absalom na dadake Tamari.
Adamu wa kwenye torati alizaa na watoto wa kike na walioana na kaka zao.Soma kitabu cha Enoko mkuu ujue vizazi vya huyo adamu..
NB: SOMA KITABU CHA ENOKO KWENYE TORATI YA WAYAHUDI UMJUE ADAMU
 
Hapo mpaka ulinganishe hizo dini,ili ujue ipi ni ya kweli ipi siyo
 
Kwanini ni wakristo tu ndio wanaongoza kuitilia shaka biblia na sio waislamu kuitilia shaka Quran? Kwasababu humu jukwaani ukiona comment ya mtu kumtilia shaka Mungu mara hayupo mara ametungwa tu ujue huyo ni mkristo nadhani dini ya kikristo imetiwa mikono na watu kwa ajili maslahi yao
 
😂😂😂😂Sio mfano mzuri ..ukitaka kuwapata waliotajwa unaweza enda archives ukapata mpaka document zao...Leo hii niletee evidence yoyote ya story yoyote ya genesis...
 
Hapo mpaka ulinganishe hizo dini,ili ujue ipi ni ya kweli ipi siyo
😂😂😂😂We unasema dini yako ya kweli coz umezaliwa kwenye hii dini ya wazazi wako ..that's not logical.. ungezaliwa kwa wahindu ungekuwa Mhindu..so unajuaje dini ya wazazi wako ni dini sahihi na ya muumba na sio zingine...coz dini zote duniani zinampachika Mungu wao hizi kazi
 
Unaambiwa amelaaniwa anayeuona uchi wa mama yake pia unaambiwa mwanaume ukimtaman mwanamke kwa kumuangalia umekwisha kuzini naye kiroho ... Fafanua hayo maandiko ya biblia
 
Adam na Eva waliiwahi kuzaa watoto wa kike pia, ila hawakutajwa kwenye Biblia na mmoja wao ndiyo huyu aliyekuja kuolewa na Kaini. Walikuwa wanaruhusiwa kuoana mtu na dada yake
Kilitokeani mpaka ionekane ni makosa kwa sasa mtu na dada yake kuona?
 
Eti wanyama wote Waliingia wawili wawili kwenywe safina , hii story na ya uwanja wa ngoma ya ngozi ya ng'ombe ya juma na uledi inatofauti gani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
😂😂😂Waislamu vitisho vingi....Mara ukiondoka uislamu unachinjwa...Mara moto wao cjui wameuelezea Kama unapikwa...Mara adhabu kaburini...Mara cjui malaika atakuuliza kiarabu...Mara cjui majini...😂imewekwa in a way ni vigumu Sana kutoka coz of uwoga...
 
Ungeisoma kwanza biblia ndio ukaja na maswali.Kama hujaisoma ata ukiambiwa utazalisha tu maswali ambayo hayatafikia muafaka.Biblia sio sawa na moja jumlisha moja kwasababu imeandikwa na waandishi wengi kwa nyakato tofauti tofauti japo lengo ni lile lile.Siko kwenye mazingira mazuri yakukujibu ila kama unataka kujua majibu tafuta biblia uisome.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila kuisahau hadithi yangu pendwa "Laaa la laaa"
Kiufupi Bible ni kitabu cha kutungwa tu, nawauni flani pale Vatican.
Ata sisi tungekua na utaratibu wa kutunza vya kwetu katika maandishi tulikua tuna hadithi zetu kama za vita vya maji maji ,mwanamalundi , na hadithi mbalimbali za kiasili zenye maajabu yake na hadithi za mashujaa mbalimbali wa kale wakutungwa na wakwel.
 
Ina maana hata wewe hujui mkeo alitoka wapi?

Biblia ipo wazi sana "zaeni mkaongezeke...."

Baada ya ndoa ya Adam na Eva wanadamu walizaliwa na wakazaliana, hadi leo hii wanazaliana na ndio maana na wewe ulizaliwa.
Uwongo scientific genetics haiwezekani watu wawili tu wakapropagate a species...hata wanyama wakiwa rare hawawachukui wawili tu afu ndo wazaliane wajaze zoo au park... aliyotunga hii story hajui biology
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…