Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

😂😂😂Tumesoma na tumeona ni upuuzi ndo maana tunakuambia...na biblia kutoeleweka sio shida yangu...unaandika ujumbe unaoeleweka sio unacheza kombolela na watu
 
Uhindu una miungu wengi,mmoja wapo ng'ombe,asubuhi wahindi hunywa mkojo wa ng'ombe na mavi yake kidogo,Wala hawaamini juu ya Mungu mmoja Wala siku ya mwisho,so watoke kwenye equation,siwezi kuwa mhindu,hata wazazi wangu wangekua wakiristo,ningesilimi tu,sababu huwa sifati mkumbo,hata hivyo hili haliwezi kuwa dalili kuwa Mungu hayupo Bali yupo ndiyo maana makundi tofauti wanamgombea huyo Mungu..hivyo tofauti haiwezi kuwa hoja ya kutokuwepo Mungu
 
Basi, imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni uhakika wa mambo tusiyoyaona.
Now faith is confidence in what we hope for and assurance about what we do not see
Na pasipo imani haiwezekani kumpendeza Mungu kwa maana kila mtu anayemjia ni lazima aamini kuwa yupo na kwamba yeye huwapa tuzo wale wanaomtafuta kwa bidii.
And without faith it’s impossible to please God; for those who come to worship God must believe that he really does exist, and that he rewards those who seek Him. (Heb 11:1,6)
 
Enzi hizo wanawake walikuwa hawahesabiwi, hata mtu akiwa na watoto kumi tisa wanawake alikuwa anahesabiwa ana mtoto mmoja. Hivyo watoto wa kike walikuwepo.
Habari hiyo umeitoa wapi, ilhali kwenye bible haikuandikwa?
Tukubali tu hichi kitabu kinamakosa ndani yake.
Ni bora umsome shigongo kuliko hicho kitabu.
 
Walikua hawatembei msafara moja kwa moja kama unavyofikiri.Ungekua una nia yakuelewa ungepata majibu ila kwavike nia yako nikuonyesha makosa inakua haina haja yakukuelimisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ile story ya kutungwa acha ubishi...watu wameenda kuchimbua hamna hata kikombe pale Wala mifupa ya watu na watu walipita miaka 40 kweli upo serious ...😂😂😂Hizi katuni bro
 
😂😂😂So anacheza kombolela.... afu anapiga chupa.. tunaanza upya
 
No,siyo tufanye,ni kwamba huna hoja,na ni kweli huwezi sema wewe na ng'ombe unayemla supu mmetokea wapi,au unaweza!?
😂Kutojua doesn't mean god did it...ukishaelewa hivi bac...watu walisema mvua ni maji kutoka mbinguni yanamwagwa na Mungu mbona Leo Hadi watoto wa primary wanajua how rain is formed hili Chaka la kumficha Mungu linazidi kupungua day by day tu
 
Sio kweli kuhusu suala la vitisho mimi ninachoona uislamu ni imani iliyo na misingi imara kiasi kwamba misingi iliyojiwekea inazidi kila kukicha kuvuna waumini kutoka dini tofauti
 
Acha waziamni tu ukiona wana vichwa vigumu zisome kwa undani fungua kanisa piga pesa kondooo ni wengi.
Labda nilikuwa mbali na simu. Hoja yako ni ipi bro? Mbona mambo yapo wazu na yanaeleweka tu, mbona unakaza Fuvu humu bila sababu? Nini hasa shida yako nikujibu?
 
Why Mungu aruhusu ubaguzi wa kijinsia katika kitabu chake takatifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…