Kwanini hii nchi inatuchukia na kututesa sana Waafrika? Tuungane tuisusie


Kitu kidogo unashindwa kuelewa

Mwarabu muislamu ni ndugu zetu katika imani, asie muislamu hana undugu na sisi,,, na kwa mzungu , mchina, mhindi hivyo hivyo

N.k n.k n.k
 
Una umri wa miaka 500 , umebahatikau kuona mambo ya utumwa
 

Ni kweli na wengine hujipeleka wenyewe kwa wazungu kufanywa watumwa na wengine kuolewa na wachungaji wa kizungu
 
Una umri wa miaka 500 , umebahatikau kuona mambo ya utumwa
we learn things throuhg education mazee,at muislam hajawai muona Muhammad wala mkristo hajawi muona YESU wewe jamaa!!,so acha kuficha kichwa kwenye mchanga kama mbuni!!
 
we learn things throuhg education mazee,at muislam hajawai muona Muhammad wala mkristo hajawi muona YESU wewe jamaa!!,so acha kuficha kichwa kwenye mchanga kama mbuni!!

Acha kufananisha historia ya Mtume wetu Muhammad S.A.W, na huo upotoshaji wenu mliokaririshwa, please naomba usifike huko.
 
Kumbe hujawahi kuona uliambiwa tu na mchungaji wako

Mimi huwa nawachana laiv tu, mtu anakuja kuwasema waarabu vibaya, kuwapakazia na hapo hapo anatumia cha mwarabu 🤣🤣🤣


Chuki mbaya sana
 
Kwa nini Waafrika mmeshindwa kuendeleza nchi zenu mmebaki mnakimbilia kudoea nchi za watu na kufanya kazi za utumwa
 
Saudi Arabia ni jangwani kabisa, hakuna kitu kingine zaidi ya Mafuta, Africa ina kila rasilimali ikiwa ni pamoja na hayo mafuta, ina ardhi yenye rutuba, hali ya hewa nzuri na mvua zinazonyesha mwaka mzima.
Ni aibu kubwa Waafrika kukimbia bara hilo kwenda jangwani.
 
Kwanini Waafrika tusiungane na kuisusia hii nchi na kufunga balozi zetu zote huko? Tutakosa nini?
Kwani munakwenda kutafuta nini kama munaonewa? Si mukae makwenu muendelee na kulima tu? Ardhi ipo tele tujitahidi kulima tufanikiwe.
 
Huwa unapata faida gani kuwachukia/sema waarabu vibaya? Hivi watoto wako watajifunza nini kutoka kwa baba mzazi kama wewe kila kukicha kuwasema waarabu, aise unakazi😅 Mungu aniepushie mbali haya

Bhujiku ng'waka
Wewe nae watu wanazungumzia ukatali umekazna na imani,wenzio kunyanyaswa ni sawa tu kisa anaowanyanyasa mko nao kiimani ,acha basi kujizima data hakuna anaependa kunyanyaswa
 
Huku wanavyouana kuna utu? Mtoto anauwa mzazi kisa mali, mke anauwa mume kisa mali, huo ndio utu!! Chuki itakupeleka pabaya.

Tutafute hela, kulialia tuache
Kwa kweli unatakiwa ukapimwe,wewe hukustahili kuishi karne hii,ulitakiwa uishi karne ya utumwa ukauzwe kwa hao waarabu wakufyatue marinda mana hujitambui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…