Kwanini huyu Msanii aliruhusiwa kuingia Ubalozini?

Mashoga mnatakaga wote tuwe mashoga kama nyinyi… hebu reply huo uzi niuone na mimi

Umeenda kutengeneza page na ku-screenshot ulete hapa ukidhani mimi ni Zwazwa kama wewe

Wewe kijana utanitafutia Ban 🌚
Tulia we mshangazi...
 
JF imekuwa sehemu ya kupiga jaramba anavyowazungumzia mbalozi Kama vile watu Fulani special

Ni mabalozi wangapi ambao tunawajua baada ya ubalozi wamekuwa bankrupt na wengine huacha ubalozi na kufata ubunge
Sio Mabalozi tu hata Maafisa wa taasisi nyeti wakiondoka maofisini wakija uraiani, miaka mitatu tu tayari wamesha firisika hata buku la kununua mkate analitafuta kwa tochi.

Na ndio maana huwa nawapa kongole wajasiriamali wanaoanzia from the scratch na Kuja kumiliki ofisi/Biashara hapa Jijini
 
Au sio? 😊

Jibu PM mbona unakimbilia kutaka kuonekana unayaweza huku ?!

sasa unamnyoosha nani?! We unajiona mjaaanja hapo kwenda ku-edit nyuzi za watu na kupachika majina ya watu kwa kusudi la kuwachafua ukudhani utaonekana mjanja

Mimi nafkiri huyu diamond wewe ni miongoni mwa mademu zake, au wew ndo yule designer?


Mimi au wewe ndiye utajikuta usipo tegemea...
Ngoja nikunyooshe ili kusudi siku zijazo uw unaheshimu watu na uache matusi..
 
DR HAYA LAND ile post huyu mshangazi aliandika akidai amechoka kuonjwa ndio hii hapa..
 
Nikujibu PM nimekua mmeo..?
Siwezi kuchat na mjinga kama wewe, hapa jf nita chat na pisi kali, sio jishangazi kila mdau analifumua....
Hopefully wahuni hata rinda moja hawajabakiza..

Halafu ukome kunitumia message PM, la sivyo utajuta unachokifanya... we hunifahamu naona.. ngoja nikuonyeshe..
 
Hizo zimekuwa edited wapi wakati ni posts zako ukitafuta mme..?
 
Kuna vile vizee vipumbavu huwa vina masharubu na vinyweleo ndani ya pua na masikioni ndio huwa vina huu unoko wa kijinga kufatilia mtu kavaa nguo gani akiwa wapi?
 
Tukiendelea hivi tutakuwa na Taifa la watu wajinga Sana
[/QUOTE]Tutakuwa wajinga mara ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…