Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,758
- 7,249
Kuna watu sio wasanii na wala hawajulikani popote wanaingiza pato la serikali mara “10” ya hicho unachodhania weweUmeshasema ni msanii.msanii lazima aonekane msanii
.usipokuwa msanii huwezi elewa usanii. Kilichomuingiza hapo ubalozini ni usanii.
Nenda wewe na suti zako za hata za dola 1000 uone kama utaruhusiwa kumuona balozi.
Uliza pia huyo msanii anaingiza sh.ngapi pato lq serikali
Kama unaibiw weka sungusungu walinde.Balozi ameshafanya kazi yake,ninyi ngedere mliobaki nchini ni wajibu wenu katika ulinzi.Halafu ninaku-ignore.Siwezi kulifundisha jitu Pumbaff kama wewe.Napoteza muda.Jinga kweli kama shangazi zako.Unazungumzia wawekezaji hawa usiku wanatembea na madini yetu kwenye ndege binafsi bila kulipa kodi? Au unazungumzia hawa wa makinikia? Toa utahira hapa Diamond pia ni balozi kwenye nyanja yake na ni mtu muhimu sana kuburudisha na kusahaulisha nyani kama wewe madhila mnayopitia
Hujashurutishwa umeulizwa swali..Nimeandika fikra zangu, kwa mtazamo na uelewa wangu. Sidhani kuna pahala ninashurtishwa kujieleza kwako ama kwa mwingine.
Umehisi nguo za kistaarabu na nimekubaliana na wewe kwa mujibu wa mtazamo wako. Sasa tungeishia hapo tuangalie na nyuzi nyingine za ku comment, au unaonaje?
Nguo za heshima kama zipi? mfano?Tumeandika sana namna ya kuvaa unapoenda sehemu nyeti kama hizi ikiwemo ikulu. Huwezi kujivalia tu mitindo ya nguo unayotaka, kuna nguo za heshima kwa mazingira hayo
We matk@ unani-ignore hata kukujua sikujui , ***** nini?Kama unaibiw weka sungusungu walinde.Balozi ameshafanya kazi yake,ninyi ngedere mliobaki nchini ni wajibu wenu katika ulinzi.Halafu ninaku-ignore.Siwezi kulifundisha jitu Pumbaff kama wewe.Napoteza muda.Jinga kweli kama shangazi zako.
Tumeandika sana namna ya kuvaa unapoenda sehemu nyeti kama hizi ikiwemo ikulu. Huwezi kujivalia tu mitindo ya nguo unayotaka, kuna nguo za heshima kwa mazingira hayo
Hii mitoto ya siku hizi ni mipooza fulani Hivi.Yakikaa yanakula msuba ndivyo wanavyodanganyana.Kuna watu sio wasanii na wala hawajulikani popote wanaingiza pato la serikali mara “10” ya hicho unachodhania wewe
Msitete ujinga wa vitu msivyoelewa, na huyo balozi ni mstaarabu na nafkiri hata mapokezi kulikuwa na vijana wa intern maana dahh!
Una tatizo kubwa sana la uelewa wa mambo yalivyo.kuna watu wanaingia hadi ikulu na pensi sembuse ubalozini.Kuna watu sio wasanii na wala hawajulikani popote wanaingiza pato la serikali mara “10” ya hicho unachodhania wewe
Msitete ujinga wa vitu msivyoelewa, na huyo balozi ni mstaarabu na nafkiri hata mapokezi kulikuwa na vijana wa intern maana dahh!
Shida iko wapiView attachment 3397154
View attachment 3397155
Msaani akiwa na Balozi Kairuki ofisini kwake Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza
Kama ningekuwa balozi huyu nisingeruhusu aingie na huu uchafu ofisini. Inakuwaje management yake haijamfundisha kuhusu dress codes
Vipi wale wadada wasanii wa kucheza nusu uchi usiku au kwenye video. Nao waje na chupi na sodiria zao hapo?Umeshasema ni msanii.msanii lazima aonekane msanii
.usipokuwa msanii huwezi elewa usanii. Kilichomuingiza hapo ubalozini ni usanii.
Kwahiyo diamond ameanza kwenda katika balozi za Tanzania Leo unafikiri hajui protocol ?Nikikaa najibizana na kijana ambaye hajakomaa sawasawa kiakili ni mimi ndo nitaonekana wa hovyo… issue ni kabila na ego za kipumbavu zinakusumbua
Huna unachojua na kuelewa ila wewe unadhani unajua sana na kuelewa.
Wewe umezidiwa hoja umeanza personal attacks, huu upuuzi wa nguo za heshima na ujinga mwingine ni ushamba ambao hauna faida yeyote...Nikikaa najibizana na kijana ambaye hajakomaa sawasawa kiakili ni mimi ndo nitaonekana wa hovyo… issue ni kabila na ego za kipumbavu zinakusumbua
Huna unachojua na kuelewa ila wewe unadhani unajua sana na kuelewa.
Hayo sasa unayasema wewe.Vipi wale wadada wasanii wa kucheza nusu uchi usiku au kwenye video. Nao waje na chupi na sodiria zao hapo?
Wewe unazungumzia wadada wacheza uchi au Diamond kwenye hio picha, jikite kwenye mada, nini sababu za huyo msanii azuiliwe?Vipi wale wadada wasanii wa kucheza nusu uchi usiku au kwenye video. Nao waje na chupi na sodiria zao hapo?
Siwezagi vita na machawa wa dayamondi.Ndio maana haujawa balozi mkuu, endelea kuscratch balls zako muda uende, siku ipite..
Je Mkuu hayo mavazi aliyovaa diamond yana shida gani?Vipi wale wadada wasanii wa kucheza nusu uchi usiku au kwenye video. Nao waje na chupi na sodiria zao hapo?
Tuteleeni ujinga wenu wa kuvaa masuruali ya vitambaa na mashati ya vitenge... ujinga ujinga tu..Hii mitoto ya siku hizi ni mipooza fulani Hivi.Yakikaa yanakula msuba ndivyo wanavyodanganyana.