Kwanini huyu Msanii aliruhusiwa kuingia Ubalozini?

Tuteleeni ujinga wenu wa kuvaa masuruali ya vitambaa na mashati ya vitenge... ujinga ujinga tu..
Upo sahihi.Ninyi "watoto wa kiume"(ninyi siyo wanaume,elewa hilo)kuvaa hereni,suruali zimewabana makalio kama mmejifunga vibwebwe,kupaka rangi kucha na nywele,kulelewa na vibibi vizee,kutohama kwa wazazi wenu,hamtaki kujishughulisha,kupenda maisha ya juu kwa dezodezo na uchawa wa wenye hela na wanasiasa ndiyo ujanja wenu?Mapooza ninyi!
 
ubalozi umejali kichwani juu ya sanaa ya mziko ,mwanamdogo akoje.....pia hakuzaliwa na nguo angeenda uchi sijui mkuu ,ungesemaje simkubali diamond ila kimziki kimasomaso kavusha sana nchi ,hasa sie tunaotembea nje yamipaka
 
Huyo hapo kavaa hereni na kachora tattoo, wewe unamzidi kipi?
Acheni chuki za kijinga na uchawi , acheni kuchukia maendeleo ya vijana...
Ukiona mwenzako amefika sehemu mpongeze, sio kuangalia tu madhaifu..
Kumbuka pia huyo ni msanii sio mwenyekiti wa mtaa, hereni , cheni, tattoo ni mambo yao ya kisanii..
 
Kwa sababu umenisoma leo JF tayari umeshanifahamu.Watoto mapooza mna shida sana.
 
Msaani akiwa na Balozi Kairuki ofisini kwake Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza

Kama ningekuwa balozi huyu nisingeruhusu aingie na hivi ofisini. Inakuwaje management yake haijamfundisha kuhusu dress codes

We "mwasibu", ubalozi ni mahali ambapo ni kimbilio la mwananchi yeyote aliyepo ughaibuni...
 
Hujashurutishwa umeulizwa swali..
Nilichotaka kufahamu ni uniepe elimu nguo za kihuni ni zipi na zipi ni za kistaarabu... na je hizo alizovaa huyo msanii ni za kihuni na kama ni za kihuni, uhuni wake upo wapi?
Basi sawa. Sabasaba njema
 
Di Diamond na Kairuki nani mwenye impact?? Leta criterion kwanza ili watu wakujibu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…