Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Umeshaanza kuonesha dalili zako za kuwashwa puru ili umng'ang'anie mwanaume akupige miti kama kawaida yako auntie!Sishangai hadi sasa hujachumbiwa.. kumbe kila anyekuja kukuposa unataka awe amevaa suruali ya kitambaa na shati la kitenge?
Kanye West mbali, akiingia maasai hapo amevaa shuka na katoboa masikio halafu amesuka watakuambia ni tamaduni yake...Kanye West angeingia hapo
Kavaa magunia na maguo ya ovyo msinge complain 😄
Ova
Na uchoko unaenezwa kwa sera hizo hizoSanaa hiyo
Nje ya mada.Heri wenye moyo safi, sio heri wavaa “formal” hao washenzi na suti zao usiku kazi kula malaya tu na kuiba hela za walala hoi. Hii nchi ipo hapa ilipo kwa sababu ya hayo masuti kila mtu avae nguo zake . Alafu huyo mmoja anavaa sio kwamba anapenda kuna miongozo ina mlazimisha avae hivyo huyu mwengine ni mpambanaji anakula kwa jasho na damu ana haki ya kuvaa hivyo ndio kazi yake hiyo.
Diamond ni baloziDi
Diamond na Kairuki nani mwenye impact?? Leta criterion kwanza ili watu wakujibu!!
Hayo mavazi yana tatizo gani mkuu?...tena afadhali hata hayo yamemtambulisha kama msanii aluyekuja huko UK kwa kazi hiyo.Na uchoko unaenezwa kwa sera hizo hizo
Akivaa vimodo shida akivaa bwanga shida hivi mnashida ganiiView attachment 3397154
View attachment 3397155
Msaani akiwa na Balozi Kairuki ofisini kwake Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza
Kama ningekuwa balozi huyu nisingeruhusu aingie na hivi ofisini. Inakuwaje management yake haijamfundisha kuhusu dress codes
KabisaKanye West mbali, akiingia maasai hapo amevaa shuka na katoboa masikio halafu amesuka watakuambia ni tamaduni yake...
Haya masuala ya mavazi ni very complicated, cha muhimu ni mtu avae asivunje sheria..
Impact gani diamond ambayo anayo?? Kwa muziki Gani?? Huyu ni drug dealer na CHAWA overDiamond ni balozi
Kairuki ni balozi
Diamond anafanya ubalozi kwa kuitangaza nchi kupitia sanaa
Kairuki ni diplomatic anaitangaza nchi officially.
Tutaangalia impact za kairuki kama diplomatic na impacts za diamond Kama msanii Ila balozi wa nchi kupitia sanaa.
Ntarudi kuendelea ......na utaona impact ya diamond kwa upana..
Sasa umekosa hoja Mkuu hapo and this is too personal.I
Impact gani diamond ambayo anayo?? Kwa muziki Gani?? Huyu ni drug dealer na CHAWA over
Akivaa vimodo shida akivaa bwanga shida hivi mnashida ganii
Huyu ni mhuni sio msanii. Au tukubaliane mziki ni uhuni.Mkuu huyo ni msanii, sio mchungaji.
Hiyo ni dress code ya kisanii ambayo inasaidia kulipa kodi kubwa sana serikakini most probably kuliko wewe.View attachment 3397154
View attachment 3397155
Msaani akiwa na Balozi Kairuki ofisini kwake Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza
Kama ningekuwa balozi huyu nisingeruhusu aingie na hivi ofisini. Inakuwaje management yake haijamfundisha kuhusu dress codes
Mbona ni kama baloz ndio katimiza ndoto yake ya tangu utotoni kukutana na uyo msanii ?View attachment 3397154
View attachment 3397155
Msaani akiwa na Balozi Kairuki ofisini kwake Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza
Kama ningekuwa balozi huyu nisingeruhusu aingie na hivi ofisini. Inakuwaje management yake haijamfundisha kuhusu dress codes
Karne ya 21 hii ficha upumbavu wako. Kingine huo ubalozi upo First world ambako kuvaa sio issue kabisa. Mavazi na muonekano wa mtu ni tatizo huko Afrika tu shauri ya umaskini kwenye nchi za First world sio tatizo kabisa.View attachment 3397154
View attachment 3397155
Msaani akiwa na Balozi Kairuki ofisini kwake Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza
Kama ningekuwa balozi huyu nisingeruhusu aingie na hivi ofisini. Inakuwaje management yake haijamfundisha kuhusu dress codes
Nadhani ikulu kuna dressing codes, why wengine wafuate haalf wengine hawafuatiKuwa msanii haihalalishi kuweka usanii kila sehemu uwapo au uingiapo...Wakati mwingine tuwe tunakubali ukweli.
Naunga mkono hoja.Ndio maana haujawa balozi mkuu, endelea kuscratch balls zako muda uende, siku ipite..
Kwa hiyo hapo afumue nywele , avue mikufu(minyororo), avue bracelets, avue mapete hayo yaani avae 'Kisabato' ndiyo utakavyo? Vipi na tattoo awe anazifuta kabla ya kuingia ofisi za kibalozi? To be an artist ni mpaka dress code pia.Kuwa msanii haihalalishi kuweka usanii kila sehemu uwapo au uingiapo...Wakati mwingine tuwe tunakubali ukweli.