Kwanini Iran na Yemen wamekuwa na mipango ya miaka mingi kulipua Mecca na Medina?

Propaganda za Marekani kuwagombanisha Ili auze silaha zake
 
Kama hajaelewa basi ana lake jambo huyo na of course ukiangalia post yake hapo alivyomjibu Vita boy utagundua kuwa ana lake jambo
 
Yesu yupo hai na kila siku tunafanya kazi pamoja. Kaburi lake li wazi lakini lile la kule saudia bado lina mifupa.
Mimi ni mkristo ila nakushauri achana na kukashifu imani za watu. Acha kutoa hoja za kudhoofisha imani za watu, scha mada za uchochezi. Kumbuka hilo na Mungu atakubariki.
 
Mimi ni mkristo ila nakushauri achana na kukashifu imani za watu. Acha kutoa hoja za kudhoofisha imani za watu, scha mada za uchochezi. Kumbuka hilo na Mungu atakubariki.
Wapi kakashifu unajua mana ya kukashifu.?ifike mahali watu wafahamu hizi dini ni tamaduni tu kama tamaduni zingine nothing new..mambo yaliyotokea miaka 2000 iliyopita hawawezi kuwa na effects kwa miaka hii..hizo ni historia kama historia zingine.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hii dini bana, halafu utakuta wanaotokwa povu sana ni waafrika kuliko hata wenye dini yao waarabu ambao wao huchukia sana Waafrika.


Dhehebu hili la Wahabi ni tofauti na mengine.

Itikadi zao kuhusu ulimwengu na juu ya umma mkubwa wa waIslamu wenye mchaganyiko kimataifa, zina ubaguzi wa aina fulani badala ya umoja unaotakiwa.
 
JE ITIKADI YA MAWAHABI & AHLUSUNNAH NI MOJA?


Maulana Sheikh Hemed Jalala ameelezea itikadi ya Ahlusunnah ambayo kwa masalafi hukmu yake ni kuwa kafiri na murtadi, kisha akaacha swali ikiwa hawa ndio wanaitakidi hivi kwa Ahlusunnah wanapata wapi kigezo cha kuwaeleza Ahlusunnah kuwa Mashia sii wenzao ilihali itikadi yao na ya Ahlusunnah ni baina ya mbingu na ardhi?

Maulana Sheikh Hemed Jalala akaeleza msingi wa sababu ya kuzungumza mada hii ni kuulinda umoja baina ya Waislamu ambao haukuwahi kushuhudia vurugu baina yao kabla ya kuingia gurupu hili ndani yao, Kabla ya kuingia kundi hili jamii ya Waislamu wa Tanzania hawakuwahi kusikia eti msikiti unatekwa au watu wanafunga msikiti wanachapana bakora.

UISLAMU NI DINI MOJA -MADHEHEBU MNAYATENGENEZA WENYEWE:
Maulana Sheikh Hemed Jalala msomi wa elimu (ilm) ya dini ya Islam anatuongoza katika darsa linaloangazia somo la historia ya uislamu.

Uislamu asili wa mtume hauna mifarakano na matabaka, majina ya madhebu mnayaita wenyewe wala Allah hakuyateremsha. Tunapaswa kuusoma Uislamu Asili wa mtume na kushikamana na mafundisho yake yanayofunza umoja katika kila nyanja na ibada.

Source : asadiqmedia
 
Mhh sasa mbona huwa mnasema watu wote wamezaliwa waisilamu?
Inakuwaje SHIA ambao wanamuamini Muhamad wasiwe waisilamu?
 

Ndugu umewashika pabaya wafuga midevu!!Watakuparula sana we subiri watokee!!
 
Kuna watu hawana kazi za kufanya kutwa kufatilia maisha ya watu na kuupiga vita uislamu.

Mada za kuupiga vita uislamu nowadays zimekua nyingi sana, mara waarabu wabaguliwe, wakashifiwe, wazushiwe uongo n.k
 
Mhh sasa mbona huwa mnasema watu wote wamezaliwa waisilamu?
Inakuwaje SHIA ambao wanamuamini Muhamad wasiwe waisilamu?
Shia HAWAMWAMINI MTUME MUHAMMAD REHEMA NA AMANI ZIWE JUU YAKE, wamemkhalifu na kwenda kinyume na ujumbe aliokuja nao!!
 
Mimi ni mkristo ila nakushauri achana na kukashifu imani za watu. Acha kutoa hoja za kudhoofisha imani za watu, scha mada za uchochezi. Kumbuka hilo na Mungu atakubariki.
Kijana onyesha ipi ni kashfa hapo. Wewe ni muislamu na hapa unaongea uongo kwa kutumia tekiya.
 
Na wewe unamsifia sana Yesu na yule mzugu aliyetundikwa msalabani inawezekana kuwa mmeo..
Onyesha sehemu nimemtaja huyo jamaa wa kwenye movie. Yesu Kristo ni Mungu aliyehai, yeye ninamsifu na nitamsifu milele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…