Kwanini jamii ya Wayahudi inalindwa sana duniani kuliko watu weusi?

Porojo,benguria
Hakuna peasant wa kiarabu aliyelipwa fidia,ilikua naqba,watu wameporwa na wanaendelea kuporwa Leo kwa msaada wa uingereza,mwanzilishi wa taifa la Israel benguria akiegemea turkey,alipobaini centre of gravity inaelekea west akafanya alliance na west,hakuna taifa si ulaya si marekani waliokua wanawahitaji wayahudi,ingekua Wana umuhimu huo Hitler asingewaoka
 
Ni wazungu wapi waliokuwa wanawachoma watu weusi kama mishkaki na wakawa wanakula nyama zao. Nitajia massacre moja ya watu weusi iliyofanyika kwa nia ya kuwatokomeza watu weusi wote marekani na sio tu kwenye sehemu walipouawa?

Amandla...
 
"Baadhi ya Waafrika wanalindwa na Mungu wa Israel wakati Israel yenyewe inalindwa na air defence systems kama Barak, Iron Dome, Arrow 3 " T14 Armata
ndo maana Solomoni mmojawapo wa wayahudi wa kale alipooambiwa aombe chochote hakuomba mali, utajiri au ufahari bali aliomba hekima. Waafrika wanaomba nini? Ukiwa na hekima unaweza kumudu mazingira yako. Hekima hutoka kwa Mungu. Soma Torati utawaelewa hawa watu.
 
hitler yuko wapi sasa hivi na Wayahudi wako wapi sasa hivi?. sio yeye alikufa kifo cha kioga kwa kujipiga risasi na kujioka maana ndo anachojua hiko?
 
hitler yuko wapi sasa hivi na Wayahudi wako wapi sasa hivi?. sio yeye alikufa kifo cha kioga kwa kujipiga risasi na kujioka maana ndo anachojua hiko?
We ulishawahi ona picha ya mwili wa Hitler!?..Hitler alishindwa Vita zaidi ya miaka 70 iliyopita,unauliza Yuko wapi!!
 
We ulishawahi ona picha ya mwili wa Hitler!?..Hitler alishindwa Vita zaidi ya miaka 70 iliyopita,unauliza Yuko wapi!!
Ndo ujue wapo wengi waliotaka kuwaangamiza wayahudi toka enzi za kina Babylon na wote walikufa na kuliacha taifa la wayahudi likiishi imara zaidi. Ndo maana hata huyo Hitler alijiua kwa kuogopa kupitia yale aliyowafanyia binadamu wenzake. Watu wengi hawajulikani walipofia, Osama uliona mwili wake uliokufa?? Waacheni wayahudi bana.
 
Imara!!!...wamekua wakimbizi duniani kwa Karne mpaka 1945,wameishi Iran,saudia,Yemen,turkey,ulaya wakiwa stateless zaidi ya Imani ya kiyahudi
 
Hata mimi naona hivo wayahudi ni propaganda zza wazungu kuwavuruga waarabu ili kudidimiza dini ya uislamu. Na kwa ninacho kiona kama wote chimbuko letu ni adamu na hawa basi kila mtu ni myahudi. Ila kuwepo kwa jamii moja ambayo inaitwa wayahudi ni uongo na ndicho kanye west alichokuwa anazungumzia.
 
Ninavyofahamu hii jamii ina IQ kubwa sn ...niwatu wenye uwezo mkubwa sn kiakili. ..kwasasa Mossad ndio anaeifanya USA kua nakiburi cha kwenye silaha za aina zote. .hata security application nyingi za USA basi kuna mkono wa myahudi. ..ndio mana anawalinda kwa gharama yyt ile
 
watu weusi hampendan nan atawapenda bila nyiny kupendana?
 

Muafrika amekua programmed kujidharau hence hata kudharauliwa kwake ni rahisi. Watu wanasahau kwamba hata mababu zetu walipambana.
 
Wapo waliolipwa mwanzoni kabisa, then annexation ya maeneo ikafuata na mengine kama Golan heights yakawa yanachukuliwa kila Waarabu wakishindwa vita. Sasa kumbe unakubali Jewish state ipo kiubabe, anayepigana vita Israel ikivamiwa ni nani? Tatizo la kutumia nguvu badala ya akili, watu wanafanya plans zao na tactics vizuri kabisa wengine wanakurupuka.

Ukianzisha mikutano ya vyama vya upinzani nchini kisha polisi wakakupiga kwa mtazamo wa Kiyahudi utawashutumu CCM, kwa mtazamo wa nguvu nyingi akili kidogo utawashutumu polisi. Ukiwa objective utajua tatizo sugu liko wapi, utajua umuhimu wa katiba ya haki, utajua mipaka ya uongozi, umuhimu wa kutofautisha mihimili ya nchi, mamlaka na nguvu za Rais. Ukiwa mzembe utalaumu polisi kila siku na hufanyi kitu kazi lawama tu.

Hao wote unaosema France, UK na USA ndio lobbying na influence ya Israel ilivyo. Yani unachofanya ni kuwapangia mbinu za kuishi na kusalimika, wao wamechagua vile wewe unalazimisha wacheze wenyewe. Wayahudi washapitia changamoto nyingi sana na washapigwa mara nyingi tu, huwezi wafundisha namna ya kuishi na hawana mpango wa kukuelewa unawafikiriaje. Ukiwataka unawafuata kiuchumi, kibiashara, kijeshi, kimtandao mpigane atakayeshinda yaishe.
 
Dunia haiwezi kua / kuwepo bila Myahudi. Na huo ndio ukweli.
Kiimani ndiyo jamii inayopendwa na Mungu
 
Wewe uko brainwashed..unatukuza wenye makalio meupe,endelea
 
Hao ni WAHUNi Wamewekwa kimkakati duniani ndo maana Wanalindwa sana. Wayahudi halisi aka black Americans muda wao ukifika watarudi pale israel. Sema. Muda WA mataifa haukafika kama alivyosema YESU ingawa now wanaamka
 
Achana na hiyo story ya kizungu. Wapi walisema Hao khazaris walinyanganywa Jerusalem. Hizo ni kamba za Wazungu tu. Hata bibble haisapoti hiyo story Yao.
 
Wapi hapo wameandika kwamba ni mzungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…