Kwanini January Makamba unakataa kutambua nguvu na juhudi za hayati Magufuli kwenye JNPP?

Kwanini January Makamba unakataa kutambua nguvu na juhudi za hayati Magufuli kwenye JNPP?

Kuanzia Tuzo , Et anapewa JK , anapewa Mwinyi .... Walifanya nn? Sibora mngechomekea na JN mwanzilishi wa Wazo?.


Et wanashindwa kutaja Awamu ya JPM, badala yake wanamuingizia kwenye awamu kiujumla jumla .!!


Mkamba JR, una utoto na uswahili , wewe hufai hata kua Balozi wa nyumba kumi.


Huwezi Kumtenganisha JPM na JNHEPP , huwezi na ni mjinga pekeake tu ndo anaweza kumtenganisha, Tena ni mjinga, asokua na haya, na mnafiki, mwenye kiburi anayejiambia 'Hamna wakunigusa'.


NEC walichokuonyesha ,hakijakufunza?

Watanzania wanajua, nani ni nani kwao, hizi porojo zako, ni kutojielewa na kuendelea kunishushia Heshima ndogo ulobakiwa.


Wewe sindo ulikua kimbelembele kupiga vita Huu mradi Kwa JPM?.

Sasa yule yule ulokua unampiga Vita, unajifanya kujisahaulisha ?.



Makamba Jr. Acha Utoto !!.
JPM ni kama maji hutaki kuyatia kinywani mda ukifika utayaoga tu
 
Jiwe kila kitu kwake kilikuwa na utata kuanzia Elimu mpaka uraia wake. Watu kama wewe ndiyo watakuwa walipiga makofi
Wewe leta education background ya huyo msambaza chai wa maofisini aliyepata ngekewa ya urais.

Leta hapa.
 
Back
Top Bottom