Kwanini January Makamba unakataa kutambua nguvu na juhudi za hayati Magufuli kwenye JNPP?

Leo wananchi wamewaonesha JPM ni nani mioyoni mwao, mwanasiasa unayetaka anguko lako kisiasa simama jukwaana umponde JPM mbele ya wananchi, huku mitandaoni wamejaza vijana na mimultiple accounts kila uchao kumdhihaki, 2025 sio mbali.

2025 sio mbali wakati yeye mwenyewe akiwa hai alipora uchaguzi ili atangazwe mshindi?! Acheni kulazimisha akubalike wakati hakuna mwenye mpango huo.
 
Sishangai na sikutegemea hata amtaje! Kikubwa Mama Samia anaweka legacy yake pia, hawa wengine wapitaji tu.
SSH haweka "legacy" yoyote hadi sasa zaidi ya kuendeleza miradi aliyoifanyia maamuzi ya utekelezaji na kuyasimamia km elimu bila malipo, kuboresha huduma za afya na elimu, ujenzi wa miundo mbinu ya usafishaji nchi kavu, majini na angani, nishati, maji na hata kuhamisha makao makuu ya nchi.

Tusubiri "diplomasia ya uchumi" kama itakuwa ndio "legacy" ya SSH
 
Nenda kazikwe naye mkenuliane meno kaburini, limekufa, halitarudi ....Mungu amelitwanga
 
Usishangae,

Hizi ni baadhi ya sifa za mchawi!

1. Ukifanikiwa atachukia.

2. Ukijenga nyumba au kula vizuri atachukia.

3. Ikipata mtoto attamlaani Ili mabaya yamfike.

4. Ukiamka salama utafurahi ila ye atachukia.

5,6,7,8……………........usiwashangae wachawi ndo Sheria zao zilivyo.
 
Hivi hebu tujiulize,

Kama Makamba angetambua hizo Juhudi za Magufuli..ingesaidia nini....

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…