Kwanini January Makamba unakataa kutambua nguvu na juhudi za hayati Magufuli kwenye JNPP?

Ukweli lazima usemwe, kuna tatizo gani kutambua juhudi za hayati Magufuli kwenye mradi huu wa umeme (JNHP), hasa kwenye hotuba zenu?

Wazo lilikuwa la Mwalimu Nyerere akashindwa, awamu zilizofuata kuanzia ya pili mpaka ya NNE, hawakuwa na habari na mradi huo, waliupa kisogo.

Hayati Magufuli kwa nguvu kubwa na ujasiri usio na shaka akaamua kutekeleza wazo hilo.

Miongoni mwa waliohujumu juhudi hizi ni waziri wa sasa wa nishati, January Makamba kwa kisingizio cha uharibifu wa mazingira, ikapelekea kuondolewa baraza la mawaziri.

Leo hotuba ya mkurugenzi mkuu Maharage Chande na waziri wake wamejificha kwenye kichaka cha mipasho hasa waziri Makamba.

Nijielekeze kwenye usanii wa waziri Makamba kutambua juhudi za watangulizi kwenye ujenzi wa bwawa hilo, katengeneza zawadi za kutambua michango ya mzee Mwinyi ,na Jakaya, wana mchango gani ikiwa mradi waliupa kisogo?

Makamba junior kawapa medali za kinafiki sana, hata wao wamejisikia aibu sana kupewa medali za ushiriki wao kwa mradi wakati hawajashiriki hata kidogo.,dhambi kubwa sana ikiambatana na unafiki wa hali ya juu.

Huyu kijana ndio anawaza kuwa rais wa hii nchi. Tuna hasara kubwa kama taifa.

Nimpongeze rais Samia kwa kujaribu kuusema ukweli kuhusu kazi kubwa ya hayati Magufuli katika kufanikisha mradi huu.

Kumekuwa na syndicate kupoteza Juhudi za hayati Magufuli kwa kuzimeza kijumla jumla na wasiostahili. Mojawapo ni hilo tukio la kinafiki la kutambua mchango wa hao watanguli kuhusu bwawa hili, wakati si washiriki.

Namalizia kwa kumwambia waziri Makamba na walio nyuma yake kwamba watanzania hawadanganyiki tena, Magufuli aliwafumbua macho.

Huu mchezo wa kujaza vijana mitandaoni kumdhihaki, mmeona leo jinsi likitajwa jina lake makofi na shangwe kama lote.

Nikiashiria kwamba kimwili hatuko naye ila kifikra tukonae, acheni majungu dhidi ya marehemu.
Screenshot_20221213-213346.jpg

Jembe hilo Da RIP Mwamba tutakukumbuka Daima
 
hamuwezi kumfufua huyo choko wenu???
 
Hata siku moja utamsikia Warioba akikemea Rushwa ya waziwazi kwenye chaguzi za ccm,"you just can't bote the hand that feeds you"he knows
Labda kina Mizengo Pinda na Salim Ahmed Salim na Msuya na wengine lakini sio Joseph Sinde.

Sinde anaelewa pensheni yake haitoki CCM na CCM hawawezi kuikata na hivyo hajawahi kuwalamba miguu CCM. Na yule ni mweledi na msomi wa hali ya juu, akiwa na la kusema huwa anasema.

Na katika wastaafu wote toka Nyerere afe arguably Sinde is the only statesman retiree worth our tax shillings kwa saab yeye huwa anachangia mawazo ya kuwakema viongozi.
 
Ndani ya CCM hakuna mwema, wote ni wanyonya damu ya mama Tanzania, kuanzia Warioba,na huyo JPM ndio alikuwa shetani kabisa, sasa unataka mashetani wa sasa hivi wamsifu shetani aliyekufa.

Siku wabongo,wakielewa kwamba ccm ni mfumo wa wizi, wapo pale kijinufsisha wao na vizazi vyao tu,umaskini wetu unatengenezwa makusudi,hawataki kuifungua Dunia yetu,hawataki wabongo wapate mwanga wa kutosha,na kuwa na uchumi huru,wanahofia wabongo wakijitambua,ulaji wao na vizazi vyao,vitapata tabu sana,wajukuu wa Warioba,Mwinyi,Kikwete,wamejaa kila kona,wanakula mema ya nchi.

Hata siku moja utamsikia Warioba akikemea Rushwa ya waziwazi kwenye chaguzi za ccm,"you just can't bote the hand that feeds you"he knows better.Is the thief himself by association.
Wewe zungumzia hulka ya watu weusi na siyo CCM, ngoja nikusaidie.. chama kikuu cha upinzani kimechangisha raia mala Kwa mala mamilioni ya pesa, lakini hakinaga ofisi zinazoeleweka, wilaya ya Karatu ilikua ni ngome ya upinzani kuliko sehemu yoyote ile hapa nchini, Jimbo la Dr Slaa, ofisi imejengwa juzi miezi mitatu iliyo pita na ofisi yenyewe sasa, kesho nikipata muda ntaipiga picha niiweke hapa, wasanii wakubwa, elewa swala siyo chama ila ni hulka ya mTanzania ukiwemo na wewe hapo
 
Hivi kweli uzinduzi wa hili bwawa waziri wa wakati huo kabla yako ndugu Bernad Kalemani hana mchango kweli kwenye hii kazi?

Umeishia kutengeneza tu ngao twa kinafiki kutambua wazee wa kiswahili tu,mbona Baba yako umemsahau kumpa medani?

Kwa taarifa yako kazi aliyoifanya Dr Kalemani husogei hata kidogo, japo umepotezea mchango wake, watanzania tunajua hilo.

Iko siku yako wewe mnafiki, mlimpoteza mwamba ili mje kupongezana kwenye kazi alizoziacha? hata aibu hamna?
 
Hivi kweli uzinduzi wa hili bwawa waziri wa wakati huo kabla yako ndugu Bernad Kalemani hana mchango kweli kwenye hii kazi?
Umeishia kutengeneza tu ngao twa kinafiki kutambua wazee wa kiswahili tu,mbona Baba yako umemsahau kumpa medani?
Kwa taarifa yako kazi aliyoifanya Dr Kalemani husogei hata kidogo,japo umepotezea mchango wake, watanzania tunajua hilo.
Iko siku yako wewe mnafiki

Unafiki gani kamkataa shetani wewe ulitakje?
 
Hivi kweli uzinduzi wa hili bwawa waziri wa wakati huo kabla yako ndugu Bernad Kalemani hana mchango kweli kwenye hii kazi?
Umeishia kutengeneza tu ngao twa kinafiki kutambua wazee wa kiswahili tu,mbona Baba yako umemsahau kumpa medani?
Kwa taarifa yako kazi aliyoifanya Dr Kalemani husogei hata kidogo,japo umepotezea mchango wake, watanzania tunajua hilo.
Iko siku yako wewe mnafiki,mlimpoteza mwamba ili mje kupongezana kwenye kazi alizoziacha?,hata aibu hamna?
Inafikirisha sana.
.walipewa tuzo watu ambao hata hawana mchango kabisa.

Ila wabongo wapole sana.
 
Kuanzia Tuzo, Et anapewa JK, anapewa Mwinyi, walifanya nn? Sibora mngechomekea na JN mwanzilishi wa wazo?

Et wanashindwa kutaja Awamu ya JPM, badala yake wanamuingizia kwenye awamu kiujumla jumla!

Mkamba JR, una utoto na uswahili , wewe hufai hata kua Balozi wa nyumba kumi.

Huwezi Kumtenganisha JPM na JNHEPP , huwezi na ni mjinga pekeake tu ndo anaweza kumtenganisha, tena ni mjinga, asokua na haya, na mnafiki, mwenye kiburi anayejiambia 'Hamna wakunigusa'.

NEC walichokuonyesha, hakijakufunza?

Watanzania wanajua, nani ni nani kwao, hizi porojo zako, ni kutojielewa na kuendelea kunishushia Heshima ndogo ulobakiwa.

Wewe sindo ulikua kimbelembele kupiga vita Huu mradi Kwa JPM? Sasa yule yule ulokua unampiga vita, unajifanya kujisahaulisha ?

Makamba Jr. acha Utoto!
JPM alikuwa Rais na alikuwa na kila kitu watu wote walimfata kumuomba msamaha nikuulize ulimuona Makamba akienda kuomba msamaha?
 
Back
Top Bottom