Kwanini January Makamba unakataa kutambua nguvu na juhudi za hayati Magufuli kwenye JNPP?

Ukweli lazima usemwe, kuna tatizo gani kutambua juhudi za hayati Magufuli kwenye mradi huu wa umeme (JNHP), hasa kwenye hotuba zenu?

Wazo lilikuwa la Mwalimu Nyerere akashindwa, awamu zilizofuata kuanzia ya pili mpaka ya NNE, hawakuwa na habari na mradi huo, waliupa kisogo.

Hayati Magufuli kwa nguvu kubwa na ujasiri usio na shaka akaamua kutekeleza wazo hilo.

Miongoni mwa waliohujumu juhudi hizi ni waziri wa sasa wa nishati, January Makamba kwa kisingizio cha uharibifu wa mazingira, ikapelekea kuondolewa baraza la mawaziri.

Leo hotuba ya mkurugenzi mkuu Maharage Chande na waziri wake wamejificha kwenye kichaka cha mipasho hasa waziri Makamba.

Nijielekeze kwenye usanii wa waziri Makamba kutambua juhudi za watangulizi kwenye ujenzi wa bwawa hilo, katengeneza zawadi za kutambua michango ya mzee Mwinyi ,na Jakaya, wana mchango gani ikiwa mradi waliupa kisogo?

Makamba junior kawapa medali za kinafiki sana, hata wao wamejisikia aibu sana kupewa medali za ushiriki wao kwa mradi wakati hawajashiriki hata kidogo.,dhambi kubwa sana ikiambatana na unafiki wa hali ya juu.

Huyu kijana ndio anawaza kuwa rais wa hii nchi. Tuna hasara kubwa kama taifa.

Nimpongeze rais Samia kwa kujaribu kuusema ukweli kuhusu kazi kubwa ya hayati Magufuli katika kufanikisha mradi huu.

Kumekuwa na syndicate kupoteza Juhudi za hayati Magufuli kwa kuzimeza kijumla jumla na wasiostahili. Mojawapo ni hilo tukio la kinafiki la kutambua mchango wa hao watanguli kuhusu bwawa hili, wakati si washiriki.

Namalizia kwa kumwambia waziri Makamba na walio nyuma yake kwamba watanzania hawadanganyiki tena, Magufuli aliwafumbua macho.

Huu mchezo wa kujaza vijana mitandaoni kumdhihaki, mmeona leo jinsi likitajwa jina lake makofi na shangwe kama lote.

Nikiashiria kwamba kimwili hatuko naye ila kifikra tukonae, acheni majungu dhidi ya marehemu.
Huu uzi ni sehemu ya kampeni dhidi ya Makamba na nia zake za baadae. Inatumika nguvu kubwa kujaribu kumpaka madoa aonekane hafai kwa cheo kikubwa kuliko uwaziri.
 
Aliyewaibia kura chadema 2015 akampa JPM kwenye mfumo wa NEC ni nani kama sio huyo Makamba
Na ndio mana walipogombana jamaa aligoma kuomba msamaha
Makamba sio nappe Mzee uchaguzi ujao anawaibia tena kura na kumpa Samia hahaha
Kinana , Nape na January walishiriki kikamilifu kupitia ile ofisi ya Masaki
 
Mbona na huyo dhalim wenu alikuwa na kipara vilevile? Sukuma Gang mna ushamba mwingi sana lakini ndiyo tumeshawajua ushetani wenu hamtakaa mpate nafasi tena ya kuongoza nchi hii.
Shetani anamjua shetani mwenzake. Ugay pekee ndio unaouweza mengi makubwa kwako.
 
Hivi kweli uzinduzi wa hili bwawa waziri wa wakati huo kabla yako ndugu Bernad Kalemani hana mchango kweli kwenye hii kazi?

Umeishia kutengeneza tu ngao twa kinafiki kutambua wazee wa kiswahili tu,mbona Baba yako umemsahau kumpa medani?

Kwa taarifa yako kazi aliyoifanya Dr Kalemani husogei hata kidogo, japo umepotezea mchango wake, watanzania tunajua hilo.

Iko siku yako wewe mnafiki, mlimpoteza mwamba ili mje kupongezana kwenye kazi alizoziacha? hata aibu hamna?
Pole mkuu , tangu ulivyozimia na mfuko wa Sangara mkononi nilikuhurumia sana !

Katika_Historia%3A%0APamoja_na_kwamba_ALIZIMIA_baada_ya_kuuona_mwili_wa_mpendwa_wetu_MFUKO_hak...jpg
 
Tusidanganyane huu mradi Ni haribifu na haukustahiki wakati huu, ambapo tuna gesi ya kutosha miaka 50 ijayo, LAKINI KAMA KUNA MTU ANAYESTAHIKI YA UJENZI WA HILI BWAWA WA KWANZA NI HAYATI MAGUFULI AKIFUATIWA NA MAMA SAMIA ALIYEUSIMAMIA KUUMALIZIA PERIOD
 
Ukweli lazima usemwe, kuna tatizo gani kutambua juhudi za hayati Magufuli kwenye mradi huu wa umeme (JNHP), hasa kwenye hotuba zenu?

Wazo lilikuwa la Mwalimu Nyerere akashindwa, awamu zilizofuata kuanzia ya pili mpaka ya NNE, hawakuwa na habari na mradi huo, waliupa kisogo.

Hayati Magufuli kwa nguvu kubwa na ujasiri usio na shaka akaamua kutekeleza wazo hilo.

Miongoni mwa waliohujumu juhudi hizi ni waziri wa sasa wa nishati, January Makamba kwa kisingizio cha uharibifu wa mazingira, ikapelekea kuondolewa baraza la mawaziri.

Leo hotuba ya mkurugenzi mkuu Maharage Chande na waziri wake wamejificha kwenye kichaka cha mipasho hasa waziri Makamba.

Nijielekeze kwenye usanii wa waziri Makamba kutambua juhudi za watangulizi kwenye ujenzi wa bwawa hilo, katengeneza zawadi za kutambua michango ya mzee Mwinyi ,na Jakaya, wana mchango gani ikiwa mradi waliupa kisogo?

Makamba junior kawapa medali za kinafiki sana, hata wao wamejisikia aibu sana kupewa medali za ushiriki wao kwa mradi wakati hawajashiriki hata kidogo.,dhambi kubwa sana ikiambatana na unafiki wa hali ya juu.

Huyu kijana ndio anawaza kuwa rais wa hii nchi. Tuna hasara kubwa kama taifa.

Nimpongeze rais Samia kwa kujaribu kuusema ukweli kuhusu kazi kubwa ya hayati Magufuli katika kufanikisha mradi huu.

Kumekuwa na syndicate kupoteza Juhudi za hayati Magufuli kwa kuzimeza kijumla jumla na wasiostahili. Mojawapo ni hilo tukio la kinafiki la kutambua mchango wa hao watanguli kuhusu bwawa hili, wakati si washiriki.

Namalizia kwa kumwambia waziri Makamba na walio nyuma yake kwamba watanzania hawadanganyiki tena, Magufuli aliwafumbua macho.

Huu mchezo wa kujaza vijana mitandaoni kumdhihaki, mmeona leo jinsi likitajwa jina lake makofi na shangwe kama lote.

Nikiashiria kwamba kimwili hatuko naye ila kifikra tukonae, acheni majungu dhidi ya marehemu.
Kama Mungu aishivyo ntaomba huyu WAZIRI TAPELI, MWIZI & MSHIRIKIN asiwe raisi
 
Kuanzia Tuzo, Et anapewa JK, anapewa Mwinyi, walifanya nn? Sibora mngechomekea na JN mwanzilishi wa wazo?

Et wanashindwa kutaja Awamu ya JPM, badala yake wanamuingizia kwenye awamu kiujumla jumla!

Mkamba JR, una utoto na uswahili , wewe hufai hata kua Balozi wa nyumba kumi.

Huwezi Kumtenganisha JPM na JNHEPP , huwezi na ni mjinga pekeake tu ndo anaweza kumtenganisha, tena ni mjinga, asokua na haya, na mnafiki, mwenye kiburi anayejiambia 'Hamna wakunigusa'.

NEC walichokuonyesha, hakijakufunza?

Watanzania wanajua, nani ni nani kwao, hizi porojo zako, ni kutojielewa na kuendelea kunishushia Heshima ndogo ulobakiwa.

Wewe sindo ulikua kimbelembele kupiga vita Huu mradi Kwa JPM? Sasa yule yule ulokua unampiga vita, unajifanya kujisahaulisha ?

Makamba Jr. acha Utoto!
Look at how he was very disorganized, uratibu ulikuwa hovyo, too poor he is too much of himself, he should have delegated the entire exercise. He knew nothing of what he was doing. Pure disjointed docket CS hovyo.
 
Ukweli lazima usemwe, kuna tatizo gani kutambua juhudi za hayati Magufuli kwenye mradi huu wa umeme (JNHP), hasa kwenye hotuba zenu?

Wazo lilikuwa la Mwalimu Nyerere akashindwa, awamu zilizofuata kuanzia ya pili mpaka ya NNE, hawakuwa na habari na mradi huo, waliupa kisogo.

Hayati Magufuli kwa nguvu kubwa na ujasiri usio na shaka akaamua kutekeleza wazo hilo.

Miongoni mwa waliohujumu juhudi hizi ni waziri wa sasa wa nishati, January Makamba kwa kisingizio cha uharibifu wa mazingira, ikapelekea kuondolewa baraza la mawaziri.

Leo hotuba ya mkurugenzi mkuu Maharage Chande na waziri wake wamejificha kwenye kichaka cha mipasho hasa waziri Makamba.

Nijielekeze kwenye usanii wa waziri Makamba kutambua juhudi za watangulizi kwenye ujenzi wa bwawa hilo, katengeneza zawadi za kutambua michango ya mzee Mwinyi ,na Jakaya, wana mchango gani ikiwa mradi waliupa kisogo?

Makamba junior kawapa medali za kinafiki sana, hata wao wamejisikia aibu sana kupewa medali za ushiriki wao kwa mradi wakati hawajashiriki hata kidogo.,dhambi kubwa sana ikiambatana na unafiki wa hali ya juu.

Huyu kijana ndio anawaza kuwa rais wa hii nchi. Tuna hasara kubwa kama taifa.

Nimpongeze rais Samia kwa kujaribu kuusema ukweli kuhusu kazi kubwa ya hayati Magufuli katika kufanikisha mradi huu.

Kumekuwa na syndicate kupoteza Juhudi za hayati Magufuli kwa kuzimeza kijumla jumla na wasiostahili. Mojawapo ni hilo tukio la kinafiki la kutambua mchango wa hao watanguli kuhusu bwawa hili, wakati si washiriki.

Namalizia kwa kumwambia waziri Makamba na walio nyuma yake kwamba watanzania hawadanganyiki tena, Magufuli aliwafumbua macho.

Huu mchezo wa kujaza vijana mitandaoni kumdhihaki, mmeona leo jinsi likitajwa jina lake makofi na shangwe kama lote.

Nikiashiria kwamba kimwili hatuko naye ila kifikra tukonae, acheni majungu dhidi ya marehemu.
Mkuu chuki waliyonayo ukoo wa mlamba asali dhidi ya mwendazake ni chuki ya kishetani, mtu hayupo duniani lakini bado wanazidi kumnanga kila wapatapo nafasi, kama alivyo baba mlamba asali ndivyo alivyo na mwanae mlamba asali.
 
Mwigulu nchemba
January makamba
Na nape wanatakiwa wasirudi bungeni uchaguzi ujao sema majimbo wanayoongoza watu wake ni bendera fuata upepo hawana mbele wala nyuma.
 
Back
Top Bottom