Mcqueenen
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 6,843
- 11,702
Kikwete saivi amekuwa Mungu...hivi nyie msoga akili zenu mnazipelekaga wapi?Nenda kazikwe naye mkenuliane meno kaburini, limekufa, halitarudi ....Mungu amelitwanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikwete saivi amekuwa Mungu...hivi nyie msoga akili zenu mnazipelekaga wapi?Nenda kazikwe naye mkenuliane meno kaburini, limekufa, halitarudi ....Mungu amelitwanga
Huu uzi ni sehemu ya kampeni dhidi ya Makamba na nia zake za baadae. Inatumika nguvu kubwa kujaribu kumpaka madoa aonekane hafai kwa cheo kikubwa kuliko uwaziri.Ukweli lazima usemwe, kuna tatizo gani kutambua juhudi za hayati Magufuli kwenye mradi huu wa umeme (JNHP), hasa kwenye hotuba zenu?
Wazo lilikuwa la Mwalimu Nyerere akashindwa, awamu zilizofuata kuanzia ya pili mpaka ya NNE, hawakuwa na habari na mradi huo, waliupa kisogo.
Hayati Magufuli kwa nguvu kubwa na ujasiri usio na shaka akaamua kutekeleza wazo hilo.
Miongoni mwa waliohujumu juhudi hizi ni waziri wa sasa wa nishati, January Makamba kwa kisingizio cha uharibifu wa mazingira, ikapelekea kuondolewa baraza la mawaziri.
Leo hotuba ya mkurugenzi mkuu Maharage Chande na waziri wake wamejificha kwenye kichaka cha mipasho hasa waziri Makamba.
Nijielekeze kwenye usanii wa waziri Makamba kutambua juhudi za watangulizi kwenye ujenzi wa bwawa hilo, katengeneza zawadi za kutambua michango ya mzee Mwinyi ,na Jakaya, wana mchango gani ikiwa mradi waliupa kisogo?
Makamba junior kawapa medali za kinafiki sana, hata wao wamejisikia aibu sana kupewa medali za ushiriki wao kwa mradi wakati hawajashiriki hata kidogo.,dhambi kubwa sana ikiambatana na unafiki wa hali ya juu.
Huyu kijana ndio anawaza kuwa rais wa hii nchi. Tuna hasara kubwa kama taifa.
Nimpongeze rais Samia kwa kujaribu kuusema ukweli kuhusu kazi kubwa ya hayati Magufuli katika kufanikisha mradi huu.
Kumekuwa na syndicate kupoteza Juhudi za hayati Magufuli kwa kuzimeza kijumla jumla na wasiostahili. Mojawapo ni hilo tukio la kinafiki la kutambua mchango wa hao watanguli kuhusu bwawa hili, wakati si washiriki.
Namalizia kwa kumwambia waziri Makamba na walio nyuma yake kwamba watanzania hawadanganyiki tena, Magufuli aliwafumbua macho.
Huu mchezo wa kujaza vijana mitandaoni kumdhihaki, mmeona leo jinsi likitajwa jina lake makofi na shangwe kama lote.
Nikiashiria kwamba kimwili hatuko naye ila kifikra tukonae, acheni majungu dhidi ya marehemu.
Mijinga kama ww ipo mingi mara nyingi mnakuwaga zombieUnafiki gani kamkataa shetani wewe ulitakje?
Leta ushahidi la sivyo huu utabki uzandiki
Mbona na huyo dhalim wenu alikuwa na kipara vilevile? Sukuma Gang mna ushamba mwingi sana lakini ndiyo tumeshawajua ushetani wenu hamtakaa mpate nafasi tena ya kuongoza nchi hii.Unamuamini vipi mtu mwenye kipara aisee.
Kinana , Nape na January walishiriki kikamilifu kupitia ile ofisi ya MasakiAliyewaibia kura chadema 2015 akampa JPM kwenye mfumo wa NEC ni nani kama sio huyo Makamba
Na ndio mana walipogombana jamaa aligoma kuomba msamaha
Makamba sio nappe Mzee uchaguzi ujao anawaibia tena kura na kumpa Samia hahaha
Shetani anamjua shetani mwenzake. Ugay pekee ndio unaouweza mengi makubwa kwako.Mbona na huyo dhalim wenu alikuwa na kipara vilevile? Sukuma Gang mna ushamba mwingi sana lakini ndiyo tumeshawajua ushetani wenu hamtakaa mpate nafasi tena ya kuongoza nchi hii.
Wewe mwenyewe hapo ni uchafu takataka kabisaLimojawapo hili hapa likijana linalolipwa mtandaoni kuchafua
Pole mkuu , tangu ulivyozimia na mfuko wa Sangara mkononi nilikuhurumia sana !Hivi kweli uzinduzi wa hili bwawa waziri wa wakati huo kabla yako ndugu Bernad Kalemani hana mchango kweli kwenye hii kazi?
Umeishia kutengeneza tu ngao twa kinafiki kutambua wazee wa kiswahili tu,mbona Baba yako umemsahau kumpa medani?
Kwa taarifa yako kazi aliyoifanya Dr Kalemani husogei hata kidogo, japo umepotezea mchango wake, watanzania tunajua hilo.
Iko siku yako wewe mnafiki, mlimpoteza mwamba ili mje kupongezana kwenye kazi alizoziacha? hata aibu hamna?
Kamkataa shetani wakati kazi zake anazikumbatia kama zake? PUMBAVU!!Unafiki gani kamkataa shetani wewe ulitakje?
Kama Mungu aishivyo ntaomba huyu WAZIRI TAPELI, MWIZI & MSHIRIKIN asiwe raisiUkweli lazima usemwe, kuna tatizo gani kutambua juhudi za hayati Magufuli kwenye mradi huu wa umeme (JNHP), hasa kwenye hotuba zenu?
Wazo lilikuwa la Mwalimu Nyerere akashindwa, awamu zilizofuata kuanzia ya pili mpaka ya NNE, hawakuwa na habari na mradi huo, waliupa kisogo.
Hayati Magufuli kwa nguvu kubwa na ujasiri usio na shaka akaamua kutekeleza wazo hilo.
Miongoni mwa waliohujumu juhudi hizi ni waziri wa sasa wa nishati, January Makamba kwa kisingizio cha uharibifu wa mazingira, ikapelekea kuondolewa baraza la mawaziri.
Leo hotuba ya mkurugenzi mkuu Maharage Chande na waziri wake wamejificha kwenye kichaka cha mipasho hasa waziri Makamba.
Nijielekeze kwenye usanii wa waziri Makamba kutambua juhudi za watangulizi kwenye ujenzi wa bwawa hilo, katengeneza zawadi za kutambua michango ya mzee Mwinyi ,na Jakaya, wana mchango gani ikiwa mradi waliupa kisogo?
Makamba junior kawapa medali za kinafiki sana, hata wao wamejisikia aibu sana kupewa medali za ushiriki wao kwa mradi wakati hawajashiriki hata kidogo.,dhambi kubwa sana ikiambatana na unafiki wa hali ya juu.
Huyu kijana ndio anawaza kuwa rais wa hii nchi. Tuna hasara kubwa kama taifa.
Nimpongeze rais Samia kwa kujaribu kuusema ukweli kuhusu kazi kubwa ya hayati Magufuli katika kufanikisha mradi huu.
Kumekuwa na syndicate kupoteza Juhudi za hayati Magufuli kwa kuzimeza kijumla jumla na wasiostahili. Mojawapo ni hilo tukio la kinafiki la kutambua mchango wa hao watanguli kuhusu bwawa hili, wakati si washiriki.
Namalizia kwa kumwambia waziri Makamba na walio nyuma yake kwamba watanzania hawadanganyiki tena, Magufuli aliwafumbua macho.
Huu mchezo wa kujaza vijana mitandaoni kumdhihaki, mmeona leo jinsi likitajwa jina lake makofi na shangwe kama lote.
Nikiashiria kwamba kimwili hatuko naye ila kifikra tukonae, acheni majungu dhidi ya marehemu.
Bila kumsahau Zitto kabwe.Kufanikiwa kwa mradi huu ni aibu kubwa sana kwa mawakala wa mabeberu, Lissu, Mbowe, Nape, Makamba, Lema, Heche
Una wazimu wewe,unaizungumzia Tanzania ya leo ambayo watu kibao wapo mtaani na elimu zao!?au ni level ipi ya elimu unayoizungumzia wewe?Ni raia wenye level gani ya elimu?..
Usilete mambo ya hoyahoya hapa.
Look at how he was very disorganized, uratibu ulikuwa hovyo, too poor he is too much of himself, he should have delegated the entire exercise. He knew nothing of what he was doing. Pure disjointed docket CS hovyo.Kuanzia Tuzo, Et anapewa JK, anapewa Mwinyi, walifanya nn? Sibora mngechomekea na JN mwanzilishi wa wazo?
Et wanashindwa kutaja Awamu ya JPM, badala yake wanamuingizia kwenye awamu kiujumla jumla!
Mkamba JR, una utoto na uswahili , wewe hufai hata kua Balozi wa nyumba kumi.
Huwezi Kumtenganisha JPM na JNHEPP , huwezi na ni mjinga pekeake tu ndo anaweza kumtenganisha, tena ni mjinga, asokua na haya, na mnafiki, mwenye kiburi anayejiambia 'Hamna wakunigusa'.
NEC walichokuonyesha, hakijakufunza?
Watanzania wanajua, nani ni nani kwao, hizi porojo zako, ni kutojielewa na kuendelea kunishushia Heshima ndogo ulobakiwa.
Wewe sindo ulikua kimbelembele kupiga vita Huu mradi Kwa JPM? Sasa yule yule ulokua unampiga vita, unajifanya kujisahaulisha ?
Makamba Jr. acha Utoto!
Mkuu chuki waliyonayo ukoo wa mlamba asali dhidi ya mwendazake ni chuki ya kishetani, mtu hayupo duniani lakini bado wanazidi kumnanga kila wapatapo nafasi, kama alivyo baba mlamba asali ndivyo alivyo na mwanae mlamba asali.Ukweli lazima usemwe, kuna tatizo gani kutambua juhudi za hayati Magufuli kwenye mradi huu wa umeme (JNHP), hasa kwenye hotuba zenu?