Kwa nilivyo andika hapo ni kipi unakitilia mashaka? Huo ni ukweli 100% ingia hata kwa google utaona. Mashule yao ya umma ndio best school, yaani mtu akisoma shule ya serikali ndio anaonekana amepiga bingo kama ilivyokuwa kwetu miaka ya 1990 kurudi nyuma. Na hii imefanya watu wao walio wengi wapate Elimu nzuri sana kwani wengi wanasoma shule za serikali (za umma).Unaongelea Kenya ama Ulaya? Kama ni Kenya basi sio kweli
Ndio ukweli huo mkuu, sasa sijui hawa watangaza vivutio wana mabifuKuna mgeni mmoja kaenda mara tatu Zanzibar baadae nikamwabia njoo na crater moja trip hii karudi tena crater kaenda Nyerere kamaliza na Zanzibar anashangaa huko Crater harafu tupo kimya kama vile hatuna kitu alitoka Valencia,Spain.
Hili la viwanda ni kweli kabisa,bidhaa nyingi tunazotumia made in kenya kumbe limetokana na kutowafukuza makaburuKwa nilivyo andika hapo ni kipi unakitilia mashaka? Huo ni ukweli 100% ingia hata kwa google utaona
Tunajidanya ila kenya wapo mbali sana
Unajua hata kihistoria baada ya uhuru wao hawajawafukuza wazungu kwa hiyo kama viwanda vyetu tuli viua vyote; vya kwao vyote vipo; KRA inakusanya kodi nyingi sana kutoka kwa hivyo viwanda
Usidanganyike na watu ambao hawana takwimu!!!
Siyo tofauti sana japo havifanani. Nimeishi huko na nimejionea.Nchi za Scandinavia wanafuata mfumo wa social democracy, ni tofauti kabisa na alichokuwa anakifanyq Nyerere Tanzania.
Tatizo ni nini hapo mkuu, fafanua hapo kwenye bold kodi kuyanunua au kodi kufanya nini?Mkenya anakuja kuchukua kitunguu Manyara anaweka kwenye box huko kwao anaenda kuuza nje sisi vitu vingine vinaozea shambani kwa kukosa usafiri hayo magari ya kusafirisha bidhaa kodi zake bora ufanye shughuli ingine tu angalia hata usafiri bus bora lenye body ya Iriza kodi yake ni kubwa mno tupo tunajificha na mchina gari ikipata ajali kidogo tu lazima watu wafe haina Kinga kwa abiria wake viti vipo karibu karibu balaa..
Zanzibar sasa hivi inajulikana sana. Hata mimi nilikuwa nchi ambayo watu wake hawatalii sana Bongo, lakini wengi wasema wana hamu ya kutalii Zanzibar.Nipo Johannesburg bara bara kubwa ya kuelekea Oliver Tambo International Airport(Albertina Sesulu) maeneo ya Isando lipo Bango la Visit Zanzibar na wana ndege ambayo inapeleka wageni moja kwa moja Zanzibar airlink hapa kaburu wengi na wazungu wanaisimulia sana Zanzibar hii niliwahi kuona Water front kule Cape Town pamoja na Durban matangazo makubwa ya Zanzibar hata Spain pia ninachoshangaa upande wa Bara tumedumaa sana aisee ila safari za wakubwa ni nyingi hakuna kitu wanafanya kwenye Utalii..
Scania ya 2012 box tu hapa ynaweza kupata kwa 60m huko kodi wanataka 55m harafu wanataka kukuza uchumi uchumi upi baada ya kuweka kodi rafiki kwa vitendea kazi ili kurahisisha usafirishaji wao ndio wanaweka kodi kubwa Scania G 460 ya 2017 kodi inasoma 55m horse tu hiyo imebaki watu wanakwepa kodi na wengine kutumia magari chakavu na kumbuka tuna Bandari harafu tunabania watu wetu wasifanye shughuli ya usafirishaji wanabaki kufanya Watanzania wenye asili ya Asia baada ya kupata upenyo wa exemption za kodi kwenye magari yao..Tatizo ni nini hapo mkuu, fafanua hapo kwenye bold kodi kuyanunua au kodi kufanya nini?
Sera zao, katiba yao na wana wana taasisi imara,Ukimuuliza mzungu what is your favourite country in East Africa anakujibu Kenya wakati ukiangalia sifa nzuri tumewazidi.tukiacha hali za kisiasa ila kuanzia vivutio na historia yetu ni ya kuvutia halafu wakenya makauzu makauzu Sana yaani hata wanavyoongea kwa Ku shout tofauti na Sisi tuko calm kwenye negotiations.. What's the extra about Kenya?
Tatizo ni CCM hakuna kingineUkimuuliza mzungu what is your favourite country in East Africa anakujibu Kenya wakati ukiangalia sifa nzuri tumewazidi.tukiacha hali za kisiasa ila kuanzia vivutio na historia yetu ni ya kuvutia halafu wakenya makauzu makauzu Sana yaani hata wanavyoongea kwa Ku shout tofauti na Sisi tuko calm kwenye negotiations.. What's the extra about Kenya?
Ukweli usemwe, Tanzania imezidiwa akili na maarifa kwa mbali sana. Kwa wanaoishi nje ya nchi hizi mbili wanajua utofauti mkubwa wa publicity wa hizi nchi, Kenya na Nairobi zipo kimataifa sana, tourism industry ya Kenya inafanya kazi professionally na wana wabobezi katika fani hiyo ambao wengine wanaongoza taasisi za kimataifa na za nchi nyingine katika tourism industry.Ukimuuliza mzungu what is your favourite country in East Africa anakujibu Kenya wakati ukiangalia sifa nzuri tumewazidi.tukiacha hali za kisiasa ila kuanzia vivutio na historia yetu ni ya kuvutia halafu wakenya makauzu makauzu Sana yaani hata wanavyoongea kwa Ku shout tofauti na Sisi tuko calm kwenye negotiations.. What's the extra about Kenya?
Mkuu Hapo kwenye miundombinu ni too general hebu ainisha kwa uchache.Wanatuzidi Lugha, miundombinu bora, ufanisi wa huduma, professional hospitality na pia Kenya ni free and open society.
umeelewa kweli jamaa alichosema ,amesema pamoja bongo ni prime tourism usemavyo lakini wazungu wako preferred na Kenya ulichojibu siosawaWazungu gani hao unaowauliza…..
Tanzania ni prime tourism tourism destination kwa sasa.
Numbers zinasupport hili
Mimi sina taarifa sana.Mkuu ngoja tubadilishane baadhi ya vitu inawezekana kweli sijui ila mimi nachojua Tanzania tuna vivutio vingi sana kushinda Nchi nyingi tatizo hatuna vifaa bora vya usafirishaji wa hao wageni angalia kodi ya Land Cruisers hao wa Namibia na Botswana au SA wao gharama za vitu vinavyohusiana na utalii vipo chini sana hata baadhi ya mbuga zao zina bara bara ya lami na Toyota hilux mtu anaenda nayo porini tofauti na sisi kwetu zinatakiwa gari ngumu kutokana na bara bara zetu ila sio kweli kwamba Namibia watuzidi idadi ya wageni mkuu hapana ingawaje nao wanafanya vizuri kwenye hiyo sekta.
Kwenye idadi ya watu haupo sahihi mkuu angalia Switzerland, Italy Roma kama population yake inaendana na idadi ya watalii na pia Watalii wanatengenezewa mazingira ya kwao kwa ajili ya utalii tu.Mimi sina taarifa sana.
Lakini idadi ya watalii si inabidi iendane na population ya nchi inayotembelewa sio.....
Tanzania ina watu milioni 65+
Namibia ina watu milioni 2+
Sasa uliona wapi watalii wakawa wengi kuliko host country...mtakalisha wapi, kwenye mahema au.
Hivi Australia ana ubalozi wake Tanzania kweli? Kwa Kenya nina uhakika 100%Ukweli usemwe, Tanzania imezidiwa akili na maarifa kwa mbali sana. Kwa wanaoishi nje ya nchi hizi mbili wanajua utofauti mkubwa wa publicity wa hizi nchi, Kenya na Nairobi zipo kimataifa sana, tourism industry ya Kenya inafanya kazi professionally na wana wabobezi katika fani hiyo ambao wengine wanaongoza taasisi za kimataifa na za nchi nyingine katika tourism industry.
Tunaweza kuwa na vivutio lakini linapokuja suala la hospitality industry ambalo ni kichocheo muhimu kwa tourism industry tuko nyuma sana, hata bado baadhi ya maeneo mapengo yanazibwa na Wakenya.
Acha ujinga wa kujishindanisha na Wakenya, wametuacha mbali sana tena kuna factors nyingine nyingi, Nairobi ni jiji la Kimataifa lenye ofisi nyingi za UN. Baadhi ya embassies za mataifa kadhaa hawana ofisi Tanzania tunategemea ofisi zilizopo Nairobi, bado tuko kiporipori sana ila kwa uchawa tumewazidi.
The painful truth, a terribly bitter pill to swallow.
Kenya ni mashuhuri kuliko nchi nyingi Afrika. Yani inajulikana sana kuliko nchi nyingi na ndio maana watu wa nje wanaamini kiswahili kimazungumzwa zaidi na wakenyaUkimuuliza mzungu what is your favourite country in East Africa anakujibu Kenya wakati ukiangalia sifa nzuri tumewazidi.tukiacha hali za kisiasa ila kuanzia vivutio na historia yetu ni ya kuvutia halafu wakenya makauzu makauzu Sana yaani hata wanavyoongea kwa Ku shout tofauti na Sisi tuko calm kwenye negotiations.. What's the extra about Kenya?
Mkuu! Majibu uliyopewa 2022-Feb, hukuridhika nayo au unalipenda sana hili swali?Ukimuuliza mzungu what is your favourite country in East Africa anakujibu Kenya wakati ukiangalia sifa nzuri tumewazidi.tukiacha hali za kisiasa ila kuanzia vivutio na historia yetu ni ya kuvutia halafu wakenya makauzu makauzu Sana yaani hata wanavyoongea kwa Ku shout tofauti na Sisi tuko calm kwenye negotiations.. What's the extra about Kenya?