Kwanini Kikwete hakumshauri Samia amteue Prof. Mwandosya kuwa Makamu wake wa Rais?

Hakuwa mdini
 
We chawa tu
 
Hii nchi haitatoka kwenye umaskini.
 
Afu watu wanafoka ohh mbona wanateuliwa wazee
Mna uzoefu wa wazee jmn?
Mengine acheni yawapite
Katafteni ubunge labda
 
Ukijua sababu za kwa nini Magufuli alimteua Maza....... Ndiyo hizo hizo xilizoyumika kumteua huyo Daktari wa Uchumi.
 
Maswali mazuri sana aisee maana watu wanakurupuka sana kila mtu mjuaji lakini Rais Samia Suluhu anachagua wale anaowaona watasaidia kuleta maendeleo tuache makasiliko jamani
Whether alishauliwa na Kikwete or not hapa Kwa Mpango alikosea..... Tuseme amechemsha sana. Bora hata angemteua Mwigulu au Nape.
 
Naomba kufahamu alokuwa katibu mkuu chini ya Mwabdosya 2000-2005, samahani swali langu liko nje ya mada
 
Kiufupi Prof. Mwandosya sio Propesa wa MAJALALANI kama hao wengine!
 
Watu dizaini ya mwandosya ni baadhi ya turufu tulizonazo nchi hii,

Hawa huwezi kuwaona frontline wanaplay in between, existence yao kuifahamu itakuchukua muda

Hawa huletwa frontline pale mambo yapoonekana kwenda ndivyo sivyo mahala fulani ndipo huletwa watu dizaini ya mwandosya kurekebisha hali.
 
JK alimpa ile nafasi ili amdhoofishe Mwandosya kisiasa alifanikiwa 100% na kumsaidia JK kumaliza miaka 10 kumbuka JK alikuwa hakubaliki Mbeya
 
alivyo anza kuandika na kumtaja Kikwete Kama Msahuri mkuu wa Rais Samia nimeshangaa kidogo nikataka kuhoji lini Kikwete aliteuliwa kuwa mshauri wa Rais?
lakini andiko lake ni lizuri amemwelezea Umahiri wa Profesa ambao umahiri huo wengi hawahujui
 
JK alimpa ile nafasi ili amdhoofishe Mwandosya kisiasa alifanikiwa 100% na kumsaidia JK kumaliza miaka 10 kumbuka JK alikuwa hakubaliki Mbeya
Alikuwa anamhakikishia kwamba angem-support kuwa the next president, akamwamini akawa anamsaidia kwa moyo wote 100%, kumbe ana jina lake mfukoni!
 
Mkuu,wakati haya yanatokea,wewe ulikua umejibanza wapi unasikilizia?
Sikuhitaji kujibanza Mkuu. Unajua unapokaa na wakuu wakawa wanapiga story unasikia mengi. Inabidi ujifunze technique za kuwa mahali bila kuonekana. Ndio maana kuna kazi tunafanya lazima tuwe vetted.

Kuna mambo katika thread yangu hata Prof Mwandosya mwenyewe akisoma atajiuliza niliyapataje☺️
 
alivyo anza kuandika na kumtaja Kikwete Kama Msahuri mkuu wa Rais Samia nimeshangaa kidogo nikataka kuhoji lini Kikwete aliteuliwa kuwa mshauri wa Rais?
lakini andiko lake ni lizuri amemwelezea Umahiri wa Profesa ambao umahiri huo wengi hawahujui
Sawa Mkuu. Ila Samia hahitaji kuutangazia umma nani wanaomshauri. Na kuna washauri walio rasmi na wasio rasmi.
 
Whether alishauliwa na Kikwete or not hapa Kwa Mpango alikosea..... Tuseme amechemsha sana. Bora hata angemteua Mwigulu au Nape.
Mkuu, mimi ninamwambia wazi Mama Samia, kuwa siku alipotangaza nani atakuwa Makamu wake wa Raisi, nilitamani niwe nakesha nikimuombea uzima na afya njema .... na sio kwa kuwa nampenda sana Samia kama Raisi wangu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…