Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhani maana mafundisho yao yapo karibu kuliko na madhehebu mengine. Mfano wasabato hawali nguruwe kama waislamu. Mashahidi wa Yehova hawaamini kuwa Yesu ni Mungu kama tu waislamu.
Na madhehebu ya mfalme Zumaridi nayo yanastahili ku-respectiwa?Quran 17:70 says it all.
Human dignity must be respected, regardless of his/her faith, race ethnic origin, gender or social status
Also 6:109
Do not abuse whom they worship other than Allah (SW).
In short Islam does not condemn other religions.
dunia hii hakanu anae piga vita ukirisito usiwe muongo dini iayo chukiwa ni 1 tu uisilamu basiYaani Wasabato na Mashahidi wa Jehova wanachukiwa sana hapa duniani.
Mashahidi wa Jehova wanasali siku ya Jumanne na Wasabato wanasali siku ya Jumamosi.
Mashahidi wa Jehova wako tayari kufa lakini usiwaongezee damu, kwao damu ni Big issue
wanasemana tu lakini usabato ndio ukirisito wenywe sababu hili uwe mkiristo ukubali kuwa yesu ni mungu na alikufa msalabani mbona wasabato wanakubali tuBadilisha kichwa Cha Uzi wako.....Waislamu hawana chuki na watu wa dini nyingine (waliopewa kitabu). SEMA madhehebu mengine ya kikristo. Hao mashaidi wa Jehova hawajulikani kabisa labda kwa mbali wasabato
Na chanzo ni ukosoaji wa wasabato wenyewe kwa madhehebu mengine kama vile wakatoliki wanaowasema kuwa wanaabudu sanamu na freemasons.
mimi najua hili uwe mkiristo ukubali kuwa yesu ni mungu hiyo ndio imani kuu ya wakirito wote,lakini bora ya wasabato kuliko waloma na walokole nilenda mara tarime nikafikia kwa mzee wa kikuriya msabato uwezi hona kichuli pale wala nyamafu wala kiti moto pia ni wasafi sana wasabato mm kama muisilam nawakubali sana waabato wa tarime wakina mullaSidhani kama waislam wana shida na wasabato, kwanza wote hawali nguruwe, so ukimwambia muislam mimi sili nguruwe anakuona ndugu yake.
Hata hivyo, chuki za kiimani ni za nini, kwa faida ya nani?
Kwani wakatoliki wanaamini yesu ni mungu??Sidhani maana mafundisho yao yapo karibu kuliko na madhehebu mengine. Mfano wasabato hawali nguruwe kama waislamu. Mashahidi wa Yehova hawaamini kuwa Yesu ni Mungu kama tu waislamu.
Wanaamini bikra Maria Anajibu kuliko Yesu.Kwani wakatoliki wanaamini yesu ni mungu??
Nakuuliza tena,,, kwani wakatoliki wanaamini yesu ni mungu?Wanaamini bikra Maria Anajibu kuliko Yesu.
Mtu akisema hivi huwa inafikirisha sanaUislamu hauna chuki na dini yeyote inawezekana labda watu ila si uislamu
hukuona uisilamu na anakula nguluwe kunywa pombe kuzini hafungi ramadhani shoga haswali swala 5 kama ni mwanake anajiuza au kawekwa kimada hao wote ni mkafiri tu jina lisikutisheUnapotosha. Waislamu wengi tuu tunagonga nao chairfire mtaani na wakimaliza wanawahi sala ya maghrib
hao ni wakiristo wenzenu tu chunguza vizuli kuna msalabaWana makanisa yao Morocco na Mabibo kama unataka kuoa wake wengi, jiunge na lile kanisa. Kitabu chao kitakatifu kinaitwa The Book Of Mormons
Waislamu kibao wanakula kitimoto kimyakimya.. mwezi wa Ramadan mauzo ya kiti moto yanashuka dunia nzimaSidhani kama waislam wana shida na wasabato, kwanza wote hawali nguruwe, so ukimwambia muislam mimi sili nguruwe anakuona ndugu yake.
Hata hivyo, chuki za kiimani ni za nini, kwa faida ya nani?
Limeshajijibu kama wanaamini BM zaidi ya YESHUA wataamini vipi kama yeye ni Mwanzo na mwishoNakuuliza tena,,, kwani wakatoliki wanaamini yesu ni mungu?
Kumbe hata hilo hulijui! Inawezekana umekuwa unawaona wanakosea kumbe mnaongea lugha moja. By the way, mafundisho ya madhehebu karibu yote ya Kikristu yametoka katika Ukatoliki, kinachofanyika ni kutafutia kaishu ka kupigia propaganda ili dhehebu lihalalishe kujitenga.. Mchungaji anaweza akawaaminisha waumini wake kuwa Wakatoliki hawaamini kuwa Yesu ni Mungu, au wanamuabudu Maria, lakini lengo lake ni kuwakamata waumini wake waone wana haki ya kutowaunga mkono RC, bahati mbaya nao huwa wanabeba kama yalivyo!Kwani wakatoliki wanaamini yesu ni mungu??
Usipotoshe ndugu, kumbuka kusema uongo ni dhambiLimeshajijibu kama wanaamini BM zaidi ya YESHUA wataamini vipi kama yeye ni Mwanzo na mwisho