Kwanini madhehebu ya Mashahidi wa Jehova na Wasabato wanachukiwa sana na madhehebu mengine ya Kikristo na Uislamu?

Kwanini madhehebu ya Mashahidi wa Jehova na Wasabato wanachukiwa sana na madhehebu mengine ya Kikristo na Uislamu?

sababu ni moja tu 👇👇
Mathayo 24:9 “Kisha watu watawakabidhi kwenye dhiki na kuwaua ninyi, nanyi mtachukiwa na mataifa yote kwa sababu ya jina langu.
 
Sidhani maana mafundisho yao yapo karibu kuliko na madhehebu mengine. Mfano wasabato hawali nguruwe kama waislamu. Mashahidi wa Yehova hawaamini kuwa Yesu ni Mungu kama tu waislamu.
 
Quran 17:70 says it all.

Human dignity must be respected, regardless of his/her faith, race ethnic origin, gender or social status

Also 6:109

Do not abuse whom they worship other than Allah (SW).

In short Islam does not condemn other religions.
Na madhehebu ya mfalme Zumaridi nayo yanastahili ku-respectiwa?
 
Yaani Wasabato na Mashahidi wa Jehova wanachukiwa sana hapa duniani.

Mashahidi wa Jehova wanasali siku ya Jumanne na Wasabato wanasali siku ya Jumamosi.

Mashahidi wa Jehova wako tayari kufa lakini usiwaongezee damu, kwao damu ni Big issue
dunia hii hakanu anae piga vita ukirisito usiwe muongo dini iayo chukiwa ni 1 tu uisilamu basi
 
Badilisha kichwa Cha Uzi wako.....Waislamu hawana chuki na watu wa dini nyingine (waliopewa kitabu). SEMA madhehebu mengine ya kikristo. Hao mashaidi wa Jehova hawajulikani kabisa labda kwa mbali wasabato

Na chanzo ni ukosoaji wa wasabato wenyewe kwa madhehebu mengine kama vile wakatoliki wanaowasema kuwa wanaabudu sanamu na freemasons.
wanasemana tu lakini usabato ndio ukirisito wenywe sababu hili uwe mkiristo ukubali kuwa yesu ni mungu na alikufa msalabani mbona wasabato wanakubali tu
 
Sidhani kama waislam wana shida na wasabato, kwanza wote hawali nguruwe, so ukimwambia muislam mimi sili nguruwe anakuona ndugu yake.

Hata hivyo, chuki za kiimani ni za nini, kwa faida ya nani?
mimi najua hili uwe mkiristo ukubali kuwa yesu ni mungu hiyo ndio imani kuu ya wakirito wote,lakini bora ya wasabato kuliko waloma na walokole nilenda mara tarime nikafikia kwa mzee wa kikuriya msabato uwezi hona kichuli pale wala nyamafu wala kiti moto pia ni wasafi sana wasabato mm kama muisilam nawakubali sana waabato wa tarime wakina mulla
 
Mbona hao mashahidi hata siwafahamu wapo kwel hapa tz
 
Sidhani maana mafundisho yao yapo karibu kuliko na madhehebu mengine. Mfano wasabato hawali nguruwe kama waislamu. Mashahidi wa Yehova hawaamini kuwa Yesu ni Mungu kama tu waislamu.
Kwani wakatoliki wanaamini yesu ni mungu??
 
Unapotosha. Waislamu wengi tuu tunagonga nao chairfire mtaani na wakimaliza wanawahi sala ya maghrib
hukuona uisilamu na anakula nguluwe kunywa pombe kuzini hafungi ramadhani shoga haswali swala 5 kama ni mwanake anajiuza au kawekwa kimada hao wote ni mkafiri tu jina lisikutishe
 
Sidhani kama waislam wana shida na wasabato, kwanza wote hawali nguruwe, so ukimwambia muislam mimi sili nguruwe anakuona ndugu yake.

Hata hivyo, chuki za kiimani ni za nini, kwa faida ya nani?
Waislamu kibao wanakula kitimoto kimyakimya.. mwezi wa Ramadan mauzo ya kiti moto yanashuka dunia nzima
 
Kwani wakatoliki wanaamini yesu ni mungu??
Kumbe hata hilo hulijui! Inawezekana umekuwa unawaona wanakosea kumbe mnaongea lugha moja. By the way, mafundisho ya madhehebu karibu yote ya Kikristu yametoka katika Ukatoliki, kinachofanyika ni kutafutia kaishu ka kupigia propaganda ili dhehebu lihalalishe kujitenga.. Mchungaji anaweza akawaaminisha waumini wake kuwa Wakatoliki hawaamini kuwa Yesu ni Mungu, au wanamuabudu Maria, lakini lengo lake ni kuwakamata waumini wake waone wana haki ya kutowaunga mkono RC, bahati mbaya nao huwa wanabeba kama yalivyo!
 
Back
Top Bottom