Coach Slamah Hamad
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 3,740
- 4,938
Kwa maeneo ya jesho, wajenge hata residential complex na watapata hela nyingi sana.
Ama wawape NHC ama TBA hayo maeneo waingie ubia na watu wajenge residential complex zenye maduka na recreational centers za kueleweka kuliko hizi bar na frames.
Kwahiyo kwenye hizo fremu wanauza silaha za kivita?
Hivi Suma JKT ipo chini ya JWTZ au JKT?
Si Tz hata mbele ni hivyo baadhi ya kambi ziko katika mijiOfcourse zilitangulia na miaka hiyo zilikuwa ziko nje ya jiji. Lakini bila shaka kutangulia siyo kigezo cha kuziacha ziendelee kukaa wakati mazingira yamebadilika.
Unajua zilipo Dar ni ngapi? Unajua ukubwa wa kambi zote? Kuna umuhimu gani wa kuziweka zote mjini?Si Tz hata mbele ni hivyo baadhi ya kambi ziko katika miji
Kwahiyo bandari ikivamiwa tusubiri jeshi toka Morogoro sio?Jeshi linatakiwa liondoke maeneo ya mjini yabaki kujengwa majengo ya kiraia. Kama upo umuhimu, basi mjini yabaki maeneo machache na madogo tu kwa ajili yao. Nashangaa jiji kama Dar wamejaza mi-kambi mi-kukubwa ya jeshi. Ya kazi gani?
Hii tabia ya kujenga fremu kila sehemu nani alianzisha? inachafua miji yetuUbungo external jeshi limewapa ubungo manispaa sehemu ya eneo lake. Ubungo manispaa ndio wamepima viwanja na kuuza kwa wananchi. Ambao wamejenga ma fremu
Ni eneo la kawaida sanaUnajua zilipo Dar ni ngapi? Unajua ukubwa wa kambi zote? Kuna umuhimu gani wa kuziweka zote mjini?
Mazee mbona una mikakati na mawazo ya kizamani sana? Yale mawazo ya eti kuweka mji mkuu katikakati ya nchi kwa sababu za kiusalama! Hivi tukiwa na kambi moja ndogo tu na nyingine zikahamishiwa pembezoni mwa jiji je? Nikuambie? Kambi kuwa ndani ya jiji kama ilivyo sasa ni hatari zaidi kuliko kuwa nje.Kwahiyo bandari ikivamiwa tusubiri jeshi toka Morogoro sio?
Taja ukubwa wake!Ni eneo la kawaida sana
Uwekezaji huu wa hovyo katka maeneo ya jeshi kwangu mimi naona ni hatari sana kwa mustakabali wa usalama jeshini.Wakuu ikipita barabara ya external kwenda maji chumvi unapita eneo la jeshi, limejaa bar na frame.
Hali iko hivyo ukipita Lugalo, kumefunguliwa frames nyingi sana kwenye eneo la jeshi.
Swali, je, jeshi letu limeona uwekezaji pekee wanaweza kufanya kwenye maeneo yao ni kufungua bar na frame tu?
Jeshi letu lina maeneo potential sana, mazuri ambayo wangeweza kualika wawekezaji wakubwa wa kujenga shopping centres ama malls, recreational centers, na uwekezaji mkubwa kuliko huu wa bar na frame.
Je jeshi letu limekosa washauri wazuri wa uwekezaji wa ndani ama hata wa nje hadi kuwekeza kwenye bar na frame?
Miradi ya hovyo hovyo isiyokuwa na tija . Kama uhamini, Wape 3.5 yrs utakuwa mradi huo ushajifia zakeLugalo naona wanasafisha upande wa pili, sijui ni nini wanaweka pale
Umeshauri vizuri mkuu. Hopefully wataufanyia kazi ushauri wako.Kwa maeneo ya jesho, wajenge hata residential complex na watapata hela nyingi sana.
Ama wawape NHC ama TBA hayo maeneo waingie ubia na watu wajenge residential complex zenye maduka na recreational centers za kueleweka kuliko hizi bar na frames.
Tunaomba picha ndio tujadili vizur wengine sio wakazi wa Daslam.Wakuu ikipita barabara ya external kwenda maji chumvi unapita eneo la jeshi, limejaa bar na frame.
Hali iko hivyo ukipita Lugalo, kumefunguliwa frames nyingi sana kwenye eneo la jeshi.
Swali, je, jeshi letu limeona uwekezaji pekee wanaweza kufanya kwenye maeneo yao ni kufungua bar na frame tu?
Jeshi letu lina maeneo potential sana, mazuri ambayo wangeweza kualika wawekezaji wakubwa wa kujenga shopping centres ama malls, recreational centers, na uwekezaji mkubwa kuliko huu wa bar na frame.
Je jeshi letu limekosa washauri wazuri wa uwekezaji wa ndani ama hata wa nje hadi kuwekeza kwenye bar na frame?
Kwenye ile Kambi ya Nyegezi, Mwanza wao wameweka parking ya Magari, Mradi wa kufyatua matofari pamoja na Baa na vimaduka. Kiufupi hii nchi ni ya hovyo sana.Jeshi linatakiwa liondoke maeneo ya mjini yabaki kujengwa majengo ya kiraia. Kama upo umuhimu, basi mjini yabaki maeneo machache na madogo tu kwa ajili yao. Nashangaa jiji kama Dar wamejaza mi-kambi mi-kukubwa ya jeshi. Ya kazi gani?