Kwanini maeneo ya jeshi kama Lugalo na External kumejengwa bar na frame nyingi sana?

Tukivamiwa tusubiri kambi kubwa waje au sio? Kuweka mji kati ni ili kufikisha huduma kwa usawa wa umbali kwa wananchi wote
 
Vita ya Idd Amin ilianzia bar baada ya askari wa Uganda na Tanzania kugombea Binti muuza bar.😁
 
Ndipo uwezo wa kufikiri ulipoishia tuachanane nayo hayo.
 
Kuna watu ndani ya jeshi walipaswa kuliona hili kwenye mtazamo wa kiintelejensia zaidi.

Jeshi halina hub za tafiti na majaribio, wao wanawaza maokoto tu....
 
Tukivamiwa tusubiri kambi kubwa waje au sio? Kuweka mji kati ni ili kufikisha huduma kwa usawa wa umbali kwa wananchi wote
Unajua mambo ya kijeshi? Hujui kuwa ulinzi wa bandari unakuwa ndani kabisa baharini? Huyo adui akifika bandarini hujui anakuwa tayari ameshateka hata kambi za jeshi zilizopo karibu? Kufikisha huduma kwa wananchi kunarahisishwa miundo mbinu ya mawasiano mizuri. Nimetembea nchi nyingi na huu ujinga wa kusema kuweka makao makuu katikati ya nchi ni kuwafikia wananchi kwa urahisi sikuona kwa sababu wanachojali ni usafiri wa haraka na uhakika.
 

Kichocheo cha ushindi vitani soma 👇

 
Hapo mwisho najua umeishi eneo hilo,nini kinaendelea hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…