Sasa swali Nape na January wana ubavu gani wa kumtisha mtu wa aina hiyo?Magufuli aliwafukuza Jesca Msambatavangu na Sofia Simba kisa tu hawakukubaliana na kitendo cha CCM kumkata Lowassa, Magufuli aliagiza Tundu Lissu kupigwa risasi kisa alimuita dikteta uchwara,
Ukinda siyo vyeo. Ukinda ni umri.Januari alikuwa MSAIDIZI WA RAIS IKULU na Baadaye Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Katibu na Siasa Kimataifa wa CCM, Naibu Waziri wa Mawasiliano huo ukinda ndani ya CCM umeutoa wapi, Nape alikuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM huo ukinda umeutoa wapi.
ha.ha.ha...hapo umeniwezaUkinda siyo vyeo. Ukinda ni umri.
Ndio swali sasa hilo, ila kuna mtu kasema familia zao kuwa na majina makubwa CCMSasa swali Nape na January wana ubavu gani wa kumtisha mtu wa aina hiyo?
CCM ni mali ya watanzania wote wavuvi wa unguja walikuwa Afro Shirazi na Wakulima wafugaji na wafanyakazi wa Tanganyika African Union ndio waliounda CCM. hivyo CCM sio mali ya familia ya 'WAZURI HAWAFI'Ndio swali sasa hilo, ila kuna mtu kasema familia zao kuwa na majina makubwa CCM
Kupungua kabisa kwa wingi wa wabunge wa ccm na wabunge wa upinzani ndio kuwa wengi ni matumaini mazuri ambayo hata mimi nahitaji iwe hivyo ila halikuwa jambo la kutokea ghafla hiyo 2020.Wingi wa wabunge wa CCM ulikuwa ukienda ukipungua, fahamu msemo usemao bandubandu humaliza gogo. Nguvu ya wabunge wa CCM haikuwa kwenye hoja huko bungeni, bali kura. Na wananchi walikuwa wanazidi kuamka kwani walikuwa wanaangalia ubora na sio wingi.
Kwahiyo pamoja na hayo majina hakuogopa kuwarekodi na kuvujisha sauti zao?Ndio swali sasa hilo, ila kuna mtu kasema familia zao kuwa na majina makubwa CCM
Magufuli ni rahisi wa hovyo kuwai kutokea kwenye hii Nichi. Samia sio mzuri ila bora haui watu na kunyanganya watu pesa benkiMlishindwa mwelewa JPM, ni hili ndo kosa kubwa alilolifanya .
Kikawaida Adui, mtafune na ummalize jumla jumla.
Ila Kwakua JPM , mkiristo wa watu ,mahili asiyekua na makuu.
Yeye baada ya kuwashughuli awali kama funzo, na akawaona kama Vijana wake ambao walihitaji tu kuelekezwa, aliamua kuwasamehe.
Na aliwasamehe Kwa Moyo mweupe kabisaaa , akiombwa na kubembelezwa na wazee !!.
Mzee wa watu akawasamehee, na wao wakamuaminisha hawana kinyongo.!!.
Leo tunaambiwa "Watu wazuri hawafi"....
Kupungua kabisa kwa wingi wa wabunge wa ccm na wabunge wa upinzani ndio kuwa wengi ni matumaini mazuri ambayo hata mimi nahitaji iwe hivyo ila halikuwa jambo la kutokea ghafla hiyo 2020.
Walikuwa wakiogopana wote, katika ulimwengu kuna watu ambao huwaogopi kabisa wakikuletea kwere kidogo tu unawazibua, ila kuna ambao unawaogopa na wao pia wanakuogopa, ambao hupendi kuwa na vita nao ila wakikuanza utawajibuKwahiyo pamoja na hayo majina hakuogopa kuwarekodi na kuvujisha sauti zao?
Hayati Rais Magufuli yupo peponi!Mlishindwa mwelewa JPM, ni hili ndo kosa kubwa alilolifanya .
Kikawaida Adui, mtafune na ummalize jumla jumla.
Ila Kwakua JPM , mkiristo wa watu ,mahili asiyekua na makuu.
Yeye baada ya kuwashughuli awali kama funzo, na akawaona kama Vijana wake ambao walihitaji tu kuelekezwa, aliamua kuwasamehe.
Na aliwasamehe Kwa Moyo mweupe kabisaaa , akiombwa na kubembelezwa na wazee !!.
Mzee wa watu akawasamehee, na wao wakamuaminisha hawana kinyongo.!!.
Leo tunaambiwa "Watu wazuri hawafi"....
Waliomba msamaha kwa kutambaa
Kitendo cha Makamba kumchora Magufuli kwa vikatuni twitter kisa alikosa "shavu" alilotarajia kwa sababu anaamini alimuwezesha Magufuli kuingia ikulu, ule ulikuwa ni ubinafsi uliopitiliza.
Kwamba Jiwe alikuwa mtu mzuriMlishindwa mwelewa JPM, ni hili ndo kosa kubwa alilolifanya .
Kikawaida Adui, mtafune na ummalize jumla jumla.
Ila Kwakua JPM , mkiristo wa watu ,mahili asiyekua na makuu.
Yeye baada ya kuwashughuli awali kama funzo, na akawaona kama Vijana wake ambao walihitaji tu kuelekezwa, aliamua kuwasamehe.
Na aliwasamehe Kwa Moyo mweupe kabisaaa , akiombwa na kubembelezwa na wazee !!.
Mzee wa watu akawasamehee, na wao wakamuaminisha hawana kinyongo.!!.
Leo tunaambiwa "Watu wazuri hawafi"....
Mpinzani yupi aliyeuwawa?acha maneno ya vijiweni,mwisho wa siku mtasema hata Mahalimu Sefu aliuwawa na Magufuli, wakati akina Zitto walimtukana kila siku nabado wakaishi.Kwa nini alikuwa akiua wapinzani kama alikuwa na huruma kweli?
Wewe uko shimoni naona, ndio maana hukuona zile habari za viongozi wa Chadema wakikatwa mapanga na kuuawaMpinzani yupi aliyeuwawa?acha maneno ya vijiweni,mwisho wa siku mtasema hata Mahalimu Sefu aliuwawa na Magufuli, wakati akina Zitto walimtukana kila siku nabado wakaishi.
Kama Wapinzani walipata viti vingi kama unavyotuaminisha, mbona Lissu alivyowaita kuandamana kupinga ushindi wa Magufuli akuna aliyejitokeza? Wapinzani jilaumuni wenyewe wala Sio Magufuli,gia ya angani ya Mbowe ndio iliuwa nguvu za upinzani Tanzania hata mwenyewe alikili 2015 kuwa tukishindwa kungoa CCM 2015 itatuchua miaka 100 tena, Sasahivi ndio miaka 8,bado safari ndefu sana.Kwa taarifa yako, idadi ya wabunge wa upinzani hiyo 2020 ilizidi ya 2015, na kura za urais bado zilikuwa nyingi kwa wastani kuliko 2015. Ile kutangaza matokeo ambayo sio halisi ya vituoni haikuwa bahati mbaya, maana ilikuwa iwe aibu, jambo ambalo Magufuli hakulitaka, na hakulitegemea, kwani wañaccm waliokuwa na chuki naye wangembeza kwa kupoteza mvuto wa chama chao, na wapinzani ndio wangemkejeli jumla.
Kwa aibu baada ya matokeo yale hakutaka hata hao wañaccm wenzake washangilie, na yeye hakuwahi kuwa na furaha na matokeo yale hadi anaelekea motoni ile March 2021. Kibaya zaidi hata matokeo ya uchaguzi ule hayako hadi leo kwenye tovuti ya tume ya uchaguzi, kinyume kabisa na sheria inavyotaka.
Kama Wapinzani walipata viti vingi kama unavyotuaminisha, mbona Lissu alivyowaita kuandamana kupinga ushindi wa Magufuli akuna aliyejitokeza? Wapinzani jilaumuni wenyewe wala Sio Magufuli,gia ya angani ya Mbowe ndio iliuwa nguvu za upinzani Tanzania hata mwenyewe alikili 2015 kuwa tukishindwa kungoa CCM 2015 itatuchua miaka 100 tena, Sasahivi ndio miaka 8,bado safari ndefu sana.
Una akili timamu ?Alipigwa risasi na nani unayemjua wewe?
Tupe ushahidi
Nani alikuwa teyari kuandamana ila kaogopa polisi? Tusijifiche kwenye hicho kivuli cha polisi wakati watu hata hawakuwa na hiyo nia ya kutaka kuandamana.Hakuna aliyejitokeza maana maandamano yale hayakuwa yanazuiwa na CCM, bali vyombo vya dola. Na vyombo vya dola vingefanya mauaji. Inapokuja kwenye suala la mauji si kila mmoja ana ujasiri huo. Hilo suala la kukiri lina mahusiano gani na kilichotokea kwenye uchaguzi ule, ama unaongea kama bendera fuata upepo?