Kwa taarifa yako, idadi ya wabunge wa upinzani hiyo 2020 ilizidi ya 2015, na kura za urais bado zilikuwa nyingi kwa wastani kuliko 2015. Ile kutangaza matokeo ambayo sio halisi ya vituoni haikuwa bahati mbaya, maana ilikuwa iwe aibu, jambo ambalo Magufuli hakulitaka, na hakulitegemea, kwani wañaccm waliokuwa na chuki naye wangembeza kwa kupoteza mvuto wa chama chao, na wapinzani ndio wangemkejeli jumla.
Kwa aibu baada ya matokeo yale hakutaka hata hao wañaccm wenzake washangilie, na yeye hakuwahi kuwa na furaha na matokeo yale hadi anaelekea motoni ile March 2021. Kibaya zaidi hata matokeo ya uchaguzi ule hayako hadi leo kwenye tovuti ya tume ya uchaguzi, kinyume kabisa na sheria inavyotaka.