Jamiitrailer
Senior Member
- Oct 20, 2019
- 190
- 452
Paschal, siyo jukumu la waziri na serikali kuboresha maisha ya watu kiroho ili kuifikia pepo.Msimpangie!, kama ni Muslim university, wamepewa majengo bure na serikali pale Moro, wameshindwa ku run, msikiti hauhitaji utaalam to run, unahitaji tuu jengo, watu waswali waingie peponi.
P
Walivyo na akili watakachagua MSIKITIWaislamu wachaguwe wanataka kujengewa nini ? Msikiti, kituo cha afya, chuo, shule au darubini ya kuona mwezi?
cocastic
THE BIG SHOW
ChoiceVariable
adriz
leo dada
Nyinyi mnavyuo zaidi ya 10, lkn kila siku mnalalamika humu hali ya nchi yetu.Makonda hana akili na anaowajengea synagogue hawana akili. Tangu uhuru hadi leo mna chuo kikuu kimoja tu, nacho mlipewa zawadi na Mkapa
Uislam huwezi kuuweka limit. Bibi zako wanasilimu na kufata hakiSio kwa ubaya ila kwa yanayo endelea huko mataifa ya ulaya kila mahali
tunaitaji kuweka limit ya uislam.
Ahsanteni
NdioPesa za msaada unaweza kuzipangia matumizi?
Na wewe kwa akili yako unaamini anaweza kujenga hata msikiti wa Milioni 500??Kama Mheshimiwa Makonda ameahidi kutumia takribani Sh zaidi bilioni 2 kujenga msikiti, hoja si kupinga umuhimu wa msikiti.
Msikiti ni muhimu katika ibada na maisha ya Kiislamu. Lakini swali la msingi ni: ni uwekezaji gani unaweza kuleta manufaa mapana na ya muda mrefu zaidi kwa jamii?
Sh bilioni 2 zinaweza kuwa mwanzo wa taasisi ya elimu yenye kizazi baada ya kizazi.
1. Chuo kinajenga watu, si jengo pekee.
Msikiti unatoa nafasi ya ibada, lakini chuo kinaweza kuzalisha madaktari, wahandisi, walimu, wanasheria, wataalamu wa TEHAMA, wachumi na watafiti.
2. Elimu ni msingi wa maendeleo ya jamii.
Waislamu Tanzania wanahitaji taasisi imara zinazowawezesha vijana kupata elimu ya juu yenye ubora huku wakihifadhi misingi ya maadili na elimu ya Kiislamu.
3. Chuo kinaweza kuwa urithi wa muda mrefu.
Jengo la msikiti linaweza kudumu kwa miaka mingi, lakini chuo kinaweza kuendelea kutoa maelfu ya wahitimu kila mwaka. Wahitimu hao nao wataendelea kutoa huduma kwa jamii.
Chuo kinaweza kuchanganya Dini na sayansi.
4. Badala ya kuwa chuo cha masomo ya dini pekee, kinaweza kuwa na Medicine, Engineering, ICT, Education, Law, Business, Agriculture, Marine Sciences na Islamic Studies. Hii inaweza kuonyesha kwamba Uislamu na elimu ya kisasa vinaweza kwenda pamoja.
Kinaweza kutatua tatizo la ajira na ujuzi.
5. Chuo kinahitaji wahadhiri, watafiti, watendaji na wataalamu mbalimbali, na baadaye wahitimu wake wataingia katika sekta mbalimbali za uchumi.
Kinaweza kuwa kituo cha utafiti wa matatizo ya Tanzania.
6. Chuo kinaweza kufanya tafiti kuhusu umaskini, afya, mazingira, kilimo, uvuvi, teknolojia, elimu na uchumi—na kutoa suluhisho linalotokana na mazingira ya Tanzania.
7. Msikiti unaweza kujengwa ndani ya chuo na ukawa unavutia watalii na wasomi mbali mbali
Malaria 2 ni zyapunga tangu zama zile za ID yake iliyokuwa ikifungiwa mara ka mara kwa sababu ya udini uliokithiri ya Malaria SuguNa wewe kwa akili yako unaamini anaweza kujenga hata msikiti wa Milioni 500??
Udini maana yake nini?Malaria 2 ni zyapunga tangu zama zile za ID yake iliyokuwa ikifungiwa mara ka mara kwa sababu ya udini uliokithiri ya Malaria Sugu
Huyu ni mpakwa wa Bwana, afanya kazi ya Bwana kuokoa watu waswali wafike peponi.
Hakuna thawabu kubwa au baraka kubwa kama kujenga kanisa, msikiti au nyumba ya ibada.
P
Kwa mujibu wa mzee Mohamed Said sasa hivi waislam waliosoma wapo wengi sana nchi hii kwanini wasitafutwe walipo wakachukua jukumu la kuyafanya haya yote?Bakwata ndio mzigo
Wao wanajua msikiti gharama sio kubwa kama vyuo
Wao wanajua sadaka za masjid tu ila vyuo nani ataongoza?
Kuendeleza shule inataka uangalizi mkubwa sana na management ya uhakika
Kweli wanafunzi watalipa Ada lakini …
Pamoja na kuwa na wasomi wengi lakini wenye majukumu haya hawataki waingiliwe mambo yaoKwa mujibu wa mzee Mohamed Said sasa hivi waislam waliosoma wapo wengi sana nchi hii kwanini wasitafutwe walipo wakachukua jukumu la kuyafanya haya yote?
Ila muslims wanapenda sana kujengewa jengewe.Kama Mheshimiwa Makonda ameahidi kutumia takribani Sh zaidi bilioni 2 kujenga msikiti, hoja si kupinga umuhimu wa msikiti.
Msikiti ni muhimu katika ibada na maisha ya Kiislamu. Lakini swali la msingi ni: ni uwekezaji gani unaweza kuleta manufaa mapana na ya muda mrefu zaidi kwa jamii?
Sh bilioni 2 zinaweza kuwa mwanzo wa taasisi ya elimu yenye kizazi baada ya kizazi.
1. Chuo kinajenga watu, si jengo pekee.
Msikiti unatoa nafasi ya ibada, lakini chuo kinaweza kuzalisha madaktari, wahandisi, walimu, wanasheria, wataalamu wa TEHAMA, wachumi na watafiti.
2. Elimu ni msingi wa maendeleo ya jamii.
Waislamu Tanzania wanahitaji taasisi imara zinazowawezesha vijana kupata elimu ya juu yenye ubora huku wakihifadhi misingi ya maadili na elimu ya Kiislamu.
3. Chuo kinaweza kuwa urithi wa muda mrefu.
Jengo la msikiti linaweza kudumu kwa miaka mingi, lakini chuo kinaweza kuendelea kutoa maelfu ya wahitimu kila mwaka. Wahitimu hao nao wataendelea kutoa huduma kwa jamii.
Chuo kinaweza kuchanganya Dini na sayansi.
4. Badala ya kuwa chuo cha masomo ya dini pekee, kinaweza kuwa na Medicine, Engineering, ICT, Education, Law, Business, Agriculture, Marine Sciences na Islamic Studies. Hii inaweza kuonyesha kwamba Uislamu na elimu ya kisasa vinaweza kwenda pamoja.
Kinaweza kutatua tatizo la ajira na ujuzi.
5. Chuo kinahitaji wahadhiri, watafiti, watendaji na wataalamu mbalimbali, na baadaye wahitimu wake wataingia katika sekta mbalimbali za uchumi.
Kinaweza kuwa kituo cha utafiti wa matatizo ya Tanzania.
6. Chuo kinaweza kufanya tafiti kuhusu umaskini, afya, mazingira, kilimo, uvuvi, teknolojia, elimu na uchumi—na kutoa suluhisho linalotokana na mazingira ya Tanzania.
7. Msikiti unaweza kujengwa ndani ya chuo na ukawa unavutia watalii na wasomi mbali mbali
bado ipo? sijawahi kukutana na graduate kutoka hiko chuo, wala sisikiagi mijadala au midahalo ,ama wakishirikiI
Ila muslims wanapenda sana kujengewa jengewe.
Mmepewa Muslim University pale Msamvu, haiwatoshi tuuuu?