antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Kiongozi wa iSIS/al-Qaeda Syria alikuwa ni ustaadh Abu Bakr al-Baghdadi.Unamjua kiongozi wa Isis/Al Qaeda Syria?
Hawa wanaopenyezewa rupia wauane wao kwa wao hawana akili hivyo hawajitambui. kwa hiyo asilaumiwe marekani kwa mijitu ambayo haijitambui inaunda ugaidi kuua wenzao.Not only USA Mabeberu wote wana support watu ambao wanaona watakidhi agenda zao, ukiwa against nao watatoa msaada kwa walio against na wewe na opportunity iliyopo sehemu hizo ni hivyo vikundi tofauti....; kama sio kwa kutumia mabavu basi hata kupenyeza Rupia kwenye Udhia
Saddam against Iran; Mobuto against Lumumba; Blaise Compaoré against Sankara; Afghan Mujahideen against Soviet Union; Fulgencio Batista's regime against Castro Rebels
Mabeberu Interest yao ni Viongozi watakaowasaidia kwenye Maslahi yao (JK Nyerere)
Reminiscing from the Past; Hotuba ya Nyerere kuhusu Flip Flopping ya kina USA et al... https://youtu.be/lcu329NAWtM?si=me5_3i-aA6xcJ-Odwww.jamiiforums.com
PropagandaHuyo Hapo anasalimiana na Trump na washa ingia mikataba kibao, kaa hivyo hivyo kueneza propaganda zako. Unless Trump naye anatoka mskitini.
Baghdad alikua Global angalia madesa yako vizuri.Kiongozi wa iSIS/al-Qaeda Syria alikuwa ni ustaadh Abu Bakr al-Baghdadi.
Aliuawa na operation ya Marekani...
...................................................................................
U.S. President Donald Trump announces that Islamic State leader Abu Bakr al-Baghdadi was killed in U.S. special forces operation in Syria. According to Trump, the raid took place overnight at a compound in northwest Syria and lasted approximately two hours. He said al-Baghdadi was cornered by U.S. dogs in a dead-end tunnel.
Trump said it is there that he ignited a suicide vest, killing himself and three of his children.
Trump made the announcement from the White House on Sunday morning..
View: https://youtu.be/zdZ9C_IrAD8?si=pg9GcYMHqdhE2cEY
Proganda kwa maana hawasalimiana na kuingia mikataba ama propaganda huyo jamaa sio Isis/Al qaeda?Propaganda
Mbona mnawasupport mlio waumini wa kiislamu.Ni kwasababu uislamu unafuata sheria na ukristu unafuata demokrasia ( bora liende),, mfano katika suala la ushoga uislamu uko serious na unatoa adhabu kali kwa anayebainika,lkn ukiristu haujali unaona huo ni uhuru wa mtu binafsi,apaswi kuzuiwa..
Kwa hiyo nchi kama marekani inakuwa rahisi kutumia kigezo hicho dhidi ya baadhi ya mataifa ya kiislamu,lkn hao wanaotumiwa na marekani wanakuwa eidha si waislamu au waislamu wasiojitambua, maana yafaa ujue kuna muislamu na kuna muumini wa kiislamu,huyu muumini katu awezi kubali kufanya upuuzi huo, maana dini haijasema uende katikati ya watu ujilipue na kuua watu ambao hawana hatia.
Wafanyao hivyo wanakuwa na maslahi yao binafsi kwa kutumia mgongo wa dini tu.
Jibu lako ni la mtu mvivu wa kufikiri
Atawezaje hiyo lugha ya kiarabu na unajua kabisa sio lugha yetu?Sio Allah Akbar ni Allahu Akbar tatizo kenge kazoewa kuimba kanisani hawezi kutamka Allahu Akbar, ukiwa mkanisa huwezi kutamka sawa sawa lazima ukosee tu.
ISIS, al-Qaeda, Hamas, Houthi, Boko Haram, al-Shabaab, Janjaweed, na magenge mengine ya magaidi ni miradi na mali za misikitini na inafadhiliwa na kuendeshwa na ma ustaadh...Proganda kwa maana hawasalimiana na kuingia mikataba ama propaganda huyo jamaa sio Isis/Al qaeda?
Nimekuuliza swali jengine unanipa jibu jengine, hao Boko Haram si Usa wenyewe wamekiri wana wa fund? Na makundi ya Kigaidi yote ni Is ama Al Qaeda, hizo branch zinapewa hela na hao hao wakubwa.ISIS, al-Qaeda, Hamas, Houthi, Boko Haram, al-Shabaab, Janjaweed, na magenge mengine ya magaidi ni miradi na mali za misikitini na inafadhiliwa na kuendeshwa na ma ustaadh...
👇Al Shabab imewaua watu 147 nchini Kenya
Takriban watu 147 wameuwawa na wengine 70 kujeruhiwa Alhamisi (02.04.2015) wakati watu wenye silaha walipovamia kitivo cha chuo kikuu karibu na mpaka wa Kenya na Somalia na kuwashikilia mateka wanafunzi kadhaa.www.dw.com
al-SHABAAB LADAI KUHUSIKA
Kundi la al Shabab limedai kuhusika na shambulio hilo ambapo msemaji wa operesheni za kijeshi wa kundi hilo Sheikh Abdiasis Abu Musab amekaririwa akisema kwamba waliwapambanuwa watu waliokuwa wakiwashikilia na kuwachilia huru wale walio Waislamu....
Uzushi...Na hakuna Ustadh mwenye hela ambaye anaweza Fund Jeshi, Jeshi halilimi, linataka silaha, nguo, kula, kutibiwa etc ni matrilioni ya hela hayo, ni Serikali kubwa tu Duniani pekee zina uwezo wa kufadhili vikundi kama hivyo kwa miaka nenda rudi.
Hayo sio makundi ya Kigaidi, na Asante kwa kuprove point yangu, Iran ana fund Hezbollah, Hamas na HouthUzushi...
Kwa hiyo kwa mfano hujui kuwa Iran/Ayatollah ndo wafadhili wa makundi ya magaidi ya Hezbollah, Hamas, Houthi, nk?!
Kwa mfano ni nani anafadhili al-Shabaab na ISIS Somalia?Nani Ana fund Isis ana Al Qaeda usiniambie Maustadh maana hawana hela ya kufund hayo makundi ambayo yana silaha za kisasa kushinda Nchi zote za Africa na wana silaha mpya ambazo hata Usa wenyewe hawaja anza kuziuza.
Zimbabwe ni nchi namba tatu duniani kwa kuwa na reserves kubwa ya platinum duniani.Ila Nchi masikini zote utakuta hayo makundi popote kwenye Mali,
Pia unatakiwa jambo moja ulijue Usa hasuport makundi sababu Nchi ni rafiki ama sio rafiki, bali a natafuta Mali za Kuiba, Zimbabwe akaibe nini? Congo kuna Madini, Msumbiji mafuta etc ina make sense wao kusupport vikundi, Cuba huko kuna Cigar tu,
Leta ushahidi kwa hayo 👆🏽 maneno yakoHata mtume Mohamad alifundishwa ushoga na Allah
Angalia Kundi linajihusisha na nani? According to Serikali ya Marekani ni Al Qaeda,Kwa mfano ni nani anafadhili al-Shabaab?
Mbona unakwepa kujibu swali?Angalia Kundi linajihusisha na nani? According to Serikali ya Marekani ni Al Qaeda
Zimbabwe ana Asilimia 1.7 ya Platinum, Reserve yao ni ndogo sana na nchi nzima ina Tani 1200 tu, for comparison South Africa ana Asilimia zaidi ya 80 ya Platinum yote Duniani na malaki ya Tani ya Platinum.Zimbabwe ni nchi namba tatu duniani kwa kuwa na reserves kubwa ya platinum duniani.