Kwanini matamko ya Kanisa Katoliki kuhusu Serikali mienendo ya Serikali mbalimbali duniani huwa yanakuwa na nguvu zaidi na pengine tofauti na mengine

Huu ujinga wa kanisa kumiliki maamuzi ya taifa unafikia kikomo sasa.
Wameachiwa muda mrefu na wamezidisha. Isitoshe walivyo weka mtandao wa kudhibiti fursa za elimu na nyadhifa serikalini na kibaya zaidi kuwa upande wa wakoloni wakati wa harakati za kugombea uhuru.
Enough is enough
 
Ni sawa na kuuliza Yusufu alikuwa Waziri Mkuu wa Misri lini kwani! Yawezekana kwa wakati ule jina la Papa halikutumika ila alifanya majukumu kama yalivyorithiwa na wengine waliokuja baadaye kuitwa Papa
Petro alipewa hicho cheo cha upapa na nani ?
 
Petro alipewa hicho cheo cha upapa na nani ?
na Yesu Kristu.
Mathayo 16:15-19

15 Akawaambia, Nanyi mwaninena mimi kuwa ni nani?

16 Simoni Petro akajibu akasema, Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai.

17 Yesu akajibu, akamwambia, Heri wewe Simoni Bar-yona; kwa kuwa mwili na damu havikukufunulia hili, bali Baba yangu aliye mbinguni.

18 Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.

19 Nami nitakupa wewe funguo za ufalme wa mbinguni; na lo lote utakalolifunga duniani, litakuwa limefungwa mbinguni; na lo lote utakalolifungua duniani, litakuwa limefunguliwa mbinguni.
 
Wapi amesema Petro utakuwa Papa ?
 
Wapi amesema Petro utakuwa Papa ?
Mbona kama unapenda ligi mkuu maelezo uliyotolewa huko juu angekuwa mtu anayejielewa alafu ni mstaarabu Wala usingeuliza swali hili,acha kujichoresha

Umeshaambiwa neno papa limekuja baada ya Petro kuondoka kwahiyo Harifa wa Petro Kwa Sasa hivi anaitwa papa ila Petro akuitwa papa ila alikuwa ndio msimamizi mkuu wa kanisa sawasawa na afanyavyo papa(askofu mkuu wa maaskofu wote duniani) Kwa nyakati hizi.

Kiti Cha Petro kimerithiwa na papa
 
Usitake kunibaka kimawazo na usinipangie cha kuandika. Unaponilazimisha nikubali kwamba Petro alikuwa ni Papa wa kwanza halafu wakati huohuo unaniambia kwamba hiyo nafasi ilianza baada ya Petro kuondoka huoni kwamba unazidi kujichanganya ?

Uzushi unaotaka kuulazimisha hapa hauna utofauti wowote ule na uzushi wa waislamu kusema kwamba manabii wote wa agano la kale akiwemo Musa walikuwa ni Waislamu, huku tunafahamu fika kwamba Uislamu umeanzishwa na bwana Mohammed mwaka 610 kule Mecca.
 
Vatcan ndiyo inayo control dunia, ni kwamba roma empire inatawala dunia kupitia katoliki hakuna mtawa yoyote katika dunia hii anaweza kushindana nao. kupitia jesuit wameweza kuidhibiti dunia yote.
Sio kweli hizi ni hadithi za uongo🤡
 
Wana nguvu kwenye nchi dhaifu tu ila sio kwa wengine. Tanzania ni miongoni mwa hizo nchi dhaifu.
 
Kanisa la Roman Catholic ndio mbuyu na waanzilishi wa siasa na ushawishi, hata kabla ya kuanza kwa ugawanywaji wa nchi na Serikali za Dunia hii. Unaweza usiwasikilize na kuwapotezea kwa sasa lakini habari ndiyo hiyo!.
Siasa gani walizo anzisha RC duniani wakati RC yenyewe imechipukia chini ya Roman Empire dunia haikua ulaya magharibi pekee wamisri wapo toka kitambo, wachina na wengine wengi.
 
Sasa RC si ni serikali kanisa kina kushangaza nini sasa maana mpaka nchi yao wanayo.
 
Hawana nguvu hiyo bwana acheni kuwapa sifa nyingi kupitiliza wao wanatimiza wajibu wao kukosoa panapo stahili kukosolewa na kusifia panapo stahili
 
Mwekezaji ndio atafanikiwa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…