Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 18,046
- 38,598
Unadhani alitenda kosa?Yupo jela muda huu, ni mdau wa biashara za bandarini. Hakuna mkataba mwingine utakaovuja kuanzia sasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unadhani alitenda kosa?Yupo jela muda huu, ni mdau wa biashara za bandarini. Hakuna mkataba mwingine utakaovuja kuanzia sasa.
Petro alipewa hicho cheo cha upapa na nani ?Ni sawa na kuuliza Yusufu alikuwa Waziri Mkuu wa Misri lini kwani! Yawezekana kwa wakati ule jina la Papa halikutumika ila alifanya majukumu kama yalivyorithiwa na wengine waliokuja baadaye kuitwa Papa
Ni sehemu gani imeandikwa Mtume Petro ndiye alikuwa papa wa kwanza ?Alopewa na aliyepewa na papa Petro
na Yesu Kristu.Petro alipewa hicho cheo cha upapa na nani ?
Wapi amesema Petro utakuwa Papa ?na Yesu Kristu.
Mathayo 16:15-19
15 Akawaambia, Nanyi mwaninena mimi kuwa ni nani?
16 Simoni Petro akajibu akasema, Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai.
17 Yesu akajibu, akamwambia, Heri wewe Simoni Bar-yona; kwa kuwa mwili na damu havikukufunulia hili, bali Baba yangu aliye mbinguni.
18 Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.
19 Nami nitakupa wewe funguo za ufalme wa mbinguni; na lo lote utakalolifunga duniani, litakuwa limefungwa mbinguni; na lo lote utakalolifungua duniani, litakuwa limefunguliwa mbinguni.
Messianic blessingsHuo upapa alipewa na nani ?
Hebu dadavua, Messianic blessings ni kitu gani wote tujue ?Messianic blessings
Mbona kama unapenda ligi mkuu maelezo uliyotolewa huko juu angekuwa mtu anayejielewa alafu ni mstaarabu Wala usingeuliza swali hili,acha kujichoreshaWapi amesema Petro utakuwa Papa ?
Usitake kunibaka kimawazo na usinipangie cha kuandika. Unaponilazimisha nikubali kwamba Petro alikuwa ni Papa wa kwanza halafu wakati huohuo unaniambia kwamba hiyo nafasi ilianza baada ya Petro kuondoka huoni kwamba unazidi kujichanganya ?Mbona kama unapenda ligi mkuu maelezo uliyotolewa huko juu angekuwa mtu anayejielewa alafu ni mstaarabu Wala usingeuliza swali hili,acha kujichoresha
Umeshaambiwa neno papa limekuja baada ya Petro kuondoka kwahiyo Harifa wa Petro Kwa Sasa hivi anaitwa papa ila Petro akuitwa papa ila alikuwa ndio msimamizi mkuu wa kanisa sawasawa na afanyavyo papa(askofu mkuu wa maaskofu wote duniani) Kwa nyakati hizi.
Kiti Cha Petro kimerithiwa na papa
Hebu dadavua, Messianic blessings ni kitu gani wote tujue ?
Sio kweli hizi ni hadithi za uongo🤡Vatcan ndiyo inayo control dunia, ni kwamba roma empire inatawala dunia kupitia katoliki hakuna mtawa yoyote katika dunia hii anaweza kushindana nao. kupitia jesuit wameweza kuidhibiti dunia yote.
Wana nguvu kwenye nchi dhaifu tu ila sio kwa wengine. Tanzania ni miongoni mwa hizo nchi dhaifu.Wajuzi mnijuze kwanini kanisa katoliki likitoa matamko yake juu ya Serikali huwa yanakuwa na nguvu zaidi kuliko madhehebu mengine?
Mfano tangu sakata la bandari liibuke waraka wa kanisa katoliki ndio ulipata mileage na attention kubwa tofauti na madhehebu mengine ambayo pamoja na kutoa pia matamko hayakutiliwa maanani sana?
Je ni kweli RC Wana nguvu sana kuliko mengine? Na kama ni hivyo hiyo nguvu ilitokana na nini?
Siasa gani walizo anzisha RC duniani wakati RC yenyewe imechipukia chini ya Roman Empire dunia haikua ulaya magharibi pekee wamisri wapo toka kitambo, wachina na wengine wengi.Kanisa la Roman Catholic ndio mbuyu na waanzilishi wa siasa na ushawishi, hata kabla ya kuanza kwa ugawanywaji wa nchi na Serikali za Dunia hii. Unaweza usiwasikilize na kuwapotezea kwa sasa lakini habari ndiyo hiyo!.
Sasa RC si ni serikali kanisa kina kushangaza nini sasa maana mpaka nchi yao wanayo.Hao watu achana nao kabisa hawafai. Mapadre wao wote ni wasomi wabobevu kwenye kila fani. Na akili zao hazijavurugwa na mambo ya ndoa kwahiyo inakuwa balaa zaidi. Pia Roma Catholic wana mifumo yao kama serikali. TISS yao inaitwa Jesuit. RC ni viwango vingine kabisa huwezi fananisha na KKKT, TAG au madhehebu mengine.
Hawana nguvu hiyo bwana acheni kuwapa sifa nyingi kupitiliza wao wanatimiza wajibu wao kukosoa panapo stahili kukosolewa na kusifia panapo stahiliKama serikali itakaza shingo ikaruhusu hao Dp world ccm au Samia mmoja wao lazima aende na maji. Wenyewe wanasubiri kuona kile serikali inataka kufanya soon watakuja na waraka mwingine wa kutaka katiba mpya kabla ya uchaguzi 2025. Hapo ndipo utakapoona nguvu yao.
Mwekezaji ndio atafanikiwa ?Mkuu mimi nimejibu tu swali kwanini RC ni tishio. Kuhusu bandari ni kuwa hawana hoja yoyote zaidi ya kutetea maslahi yao. Hao ni wanufaika wakubwa wa kupitisha vitu bandarini hivyo wanaona kabisa dili zitaharibiwa. Hoja ya kuwapa wazawa bandari ni ya kipumbavu mno kwasababu wazawa kama wameshindwa tu mradi wa mabasi ya mwendokasi wataweza bandari? Miradi karibu yote inayosimamiwa na wazawa huwa inakufa. Bandari lazima apewe mwekezaji toka nje kuiendesha.
Milele AminaNdilo dhehebu pekee duniani linalomiliki nchi ............na wasomi wa kutosha ......achana na rasimali watu na vitu........tumsifu yesu kristu.............wanaume katoriki.