Kwanini matamko ya Kanisa Katoliki kuhusu Serikali mienendo ya Serikali mbalimbali duniani huwa yanakuwa na nguvu zaidi na pengine tofauti na mengine

Mkuu taasisi yeyote huanza hukua na kutanuka. Hivyo kukua huko lazima kuna muundo wa uongozi na taratibu za kumpata kiongozi huyo. Hivyo hata biblia inatuelekeza maswala ya mamlaka.

Kubwa katika kukua huko na utoaji wa vyeo mbalimbali kusiwatoe kwenye lengo la msingi, kuchunga kondoo na kanisa limedumu zaidi 2000yrs kufanya hivyo. Ni taasisi kongwe
 
Huijui DP World hivyo huna haki ya kufananisha ujinga wa miaka ya nyuma na uendeshaji wa bandari kisasa.

Usikariri maisha yaliyopita utaishia kuumiza tu nafsi yako.
... tutakuwa wajinga sana tusipojifunza kutokana na historia! Tuendelee kufanya majaribio kwa kuwa siijui DPW? Hata yanayoendelea kwingineko duniani kuhusiana na hii kampuni tujifanye hayajulikani wakati yako wazi?
 
Roman Empire si ilikuja kusambaratika?... Kinyume chake Roman Catholic kama kanisa si lipo hadi siku ya leo na lina makao yake Vatican? ...Si ndio lililorithi na kuhifadhi mila desturi ushawishi kwenye ulimwengu wa leo? ....
Tawi la Roman empire ndio hiyo RC nani alikumbia ili sambaratika yote ?
 
... tutakuwa wajinga sana tusipojifunza kutokana na historia! Tuendelee kufanya majaribio kwa kuwa siijui DPW? Hata yanayoendelea kwingineko duniani kuhusiana na hii kampuni tujifanye hayajulikani wakati yako wazi?
Yanayoendelea kuhusiana na DPW umeshayasikia yakitokea Ubelgiji au Uholanzi au China?. Kote huko yupo huyu mwendeshaji akifanya shughuli zake.
 
Yanayoendelea kuhusiana na DPW umeshayasikia yakitokea Ubelgiji au Uholanzi au China?. Kote huko yupo huyu mwendeshaji akifanya shughuli zake.
... mikataba ya huko umeisoma? Na wao wamekabidhi sovereignty zao kwa mwekezaji?
 
Hao ndio wenye nchi waliomfundisha Baba wa Taifa siasa na jinsi ya kusimamia Transition ya Tanganyika kuwa TANZANIA!

Waheshimiwe hivyo walivyo !!
 
... mikataba ya huko umeisoma? Na wao wamekabidhi sovereignty zao kwa mwekezaji?
Bull shit. Hakuna anayeweza kukabidhi sovereignty kwa mwekezaji. DP World ni mpangaji katika nyumba inayoitwa TPA pale bandarini.

Kumbuka watakuwepo wapangaji wengine chini ya uongozi wa TPA, ufanisi wao ndio unaowapa nafasi ya kuendesha bandarini.
 
hiyo ruzuku ikiondolewa hakuna atayeweza kuukemea ama waraka dhidi ya serikali nilazima wataisumbua serikali maana yenyewe ndio imewapa nguvu
Kanisa katoliki kwa mfumo wake ni vigumu kutikiswa na serikali, serikali inalihitaji zaidi ili kumsaidia kwenye huduma za jamii Kama afya au elimu. Hata walioondolewa ruzuku watakaoumia ni serikali na wananchi wa kawaida, kwani ruzuku inatolewa haiendi mfukoni mwa kanisa Bali inatumika kulipia mshahara ya watumishi walioajiliwa serikalini.
 
Elew kuwa roman catholic ndy iliyo shikilia dola kwa sas duniani ko ina nguvu zaid karika matamko yoyote yale, maana ndo thehebu lenye waumini wengi duniani linawez kuaminisha waumini na wakaamini kuwa mama samia siyo laisi wa kweli anawaalibia nchi watu wakaamn kabisa
 
Nimesema neno papa ndio limeanza kutumika baada ya Petro kuondoka Wala Petro hakuitwa papa.Na nadhani papa ni neno la kifaransa linalo maanisha Baba

Kazi aliyokuwa anajifanya Petro ni sawa na anayofanya papa na ndio maana tunasema Papa ni Halifa wa Petro (baada ya Petro aliyepewa mamlaka na Yesu kristo Sasa yupo Papa)
 
Ni kwa sababu katoliki wamefanikiwa kuunda tasisi imara na kujenga watu wanaojielewa
 
Bull shit. Hakuna anayeweza kukabidhi sovereignty kwa mwekezaji. DP World ni mpangaji katika nyumba inayoitwa TPA pale bandarini.

Kumbuka watakuwepo wapangaji wengine chini ya uongozi wa TPA, ufanisi wao ndio unaowapa nafasi ya kuendesha bandarini.
... kasome vipengele vya mkataba uone upuuzi uliofanyika.
 
hakuna kitu kama hiyo maana huduma zao gharama ni kubwa mahospitalini mashuleni watu wanaenda huko kutibiwa ila ni kama hospitali zingine
 
Neno Papa ni la lilatini, siyo kifaransa. Limeanza kutumika karne ya tatu na askofu wa Roma bwana Calixtus.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…