Mkuu taasisi yeyote huanza hukua na kutanuka. Hivyo kukua huko lazima kuna muundo wa uongozi na taratibu za kumpata kiongozi huyo. Hivyo hata biblia inatuelekeza maswala ya mamlaka.Yesu hakuzungumzia vyeo kabisa, alizungumzia utumishi kwa wafuasi. Hivi vyeo mmevileta ninyi wenyewe kwa kufuata tamaduni na siasa za warumi, kina Calixtus.
Mnachokifanya wakatoliki hakina tofuati na kile wanafanya waislamu kulazimisha kwamba kila nabii wa agano la kale akiwemo Musa ni waislamu, huku ukweli tunafahamu Uislamu ulianzishwa na bwana Mohamed kule Mecca mwaka 610.
Kubwa katika kukua huko na utoaji wa vyeo mbalimbali kusiwatoe kwenye lengo la msingi, kuchunga kondoo na kanisa limedumu zaidi 2000yrs kufanya hivyo. Ni taasisi kongwe