Kwanini Mbezi beach imepoteza umaarufu wake iliyokuwa nao miaka ya nyuma?

Yale ya watumishi 😁😁😁 , anko magu alivyoingia aliyapiga stop kuendelea.

Halafu kama ulivyosema , wabongo wengi mfumo wa apartments hizo huwa wanaona kama hostel au kota 😁
Hamna ni muundo tu mbona zipo nyingine kama pale ananasif zimekaa poa watu wana gombania zile za morocco nazo πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Thread ya watoto wa mjini sio sisi tulioingia dar kikwete anaingia madarakani

Either ways, Ila Dar kuna sehemu unapita hadi unajiuliza hivi hawa waliojenga ni watanzania hawa hawa naopishana nao kuna wale watu wa nje ndio wanashusha haya matusi
Kama kunduchi huko hatari napo
Watu wana madude huko way back
Afadhali kunduchi ya sshv imechangamka zamani huko kulikuwa na uvamizi sana majumbani

Ova
 
Hivi na goba wizi umeisha maana nilimtembelea mtu kama mwaka na nusu uliopita. alikuwa analalamika sana
Utakuwa umepungua

Ule si ulikuwa makaz mapya,makaz mapya lazima watu wapigwe mshindo
Mbezi beach watu walivamiwa sana walipohamiaga
Kunduchi nayo ilikuwa worse maana nyumba zilikuwa za kuhesabu ...alafu kule kila mtu yuko kwake hakuna maduka
Ukienda kule ambapo sahv kna roodies kule ilikuwa poriiiii tupu shambaa
Mashuwa huko wazee sahv wanasema bora ilivyo sasa angalau kuna movement
Ukienda mitaa ya silversand huko kuna madon miaka hiyoo walikuwa wanaishi

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…