Uongo ?Uhuru wa kidini kukusanya watoto nakuwakisha uongo?!
Huyu huyu mgonjwa wa akili...Yupo mbali kumfikia kumfikia Kibwetere
Nimejifunza kuheshimu imani ya mtu kwasababu ya zuma,nani ana uhakika wa kua anachoamini ndicho sahihi?watu wenye pesa zao na wenye uelewa ni waumini wake,wagonjwa wanapona kwake pia.tuheshimu kile ambacho mwenzako amependa kuamini,sote tunakufa sawa sawa,tukifa tutajua ukweli labda huko tunapoendaJirani yangu amekamatwa ila nimejua kupitia mtandao
Amevunja katiba...?Huyu maza anazingua, anajiitaje Sir god?
Huo unaoleta ni utoto na upumbavuMbona wakristo wanamuita fundi seremala Mungu!?..
Na wewe unaamini kwamba ni Mungu? Serikali haiwezi kuachia dini ya kipumbavu kama hiyo! Unataka yaje yatokee ya Kibwetele?Nimesoma taarifa ya polisi kuhusu kukamatwa kwa mfalme Zumaridi imenishangaza sana.
Lini polisi badala ya NEMC wameanza kushughulikia uchafuzi wa mazingira kwa kelele?
Lini katika nchi hii imekuwa kosa kisheria mtu kujisema yeye ni mungu?
Kwa muda mrefu sana polisi wamekuwa wakijishughulisha na Zumaridi inashangaza madai ya kwamba hajasajili kanisa lake, kama ni kweli kwa nini wasimasaidie kusajili kanisa lake ? Au anakwamishwa kwa makusudi??
Dola mwacheni mfalme Zumaridi afanye mambo yake kwa amani na uhuru bila usumbufu, mpeni uhuru wote wa kidini mnaowapa waumini wa dini nyingine zote.
Kipi haswa kimekukwaza,kuwa fundi seremala au msela kuitwa Mungu!?Huo unaoleta ni utoto na upumbavu
Hata YESU ambae ni Mungu alikamatwa na kuuwawa, Hivyo si ajabu!mungu kakamatwa!
Huyu bidada anaakili mara Saba zaidi yako! Na ndio maana ni influential kuzidi wewe na possibly amekuacha mbali kimaisha!....huyo bi mdada ana changamoto ya AFYA ya akili..wangempelela MiLEMBE kwanza
Inawezakana ni Mungu kweli halafu Sisi tunamchukulia poa 😁😁😁Nimesoma taarifa ya polisi kuhusu kukamatwa kwa mfalme Zumaridi imenishangaza sana.
Lini polisi badala ya NEMC wameanza kushughulikia uchafuzi wa mazingira kwa kelele?
Lini katika nchi hii imekuwa kosa kisheria mtu kujisema yeye ni mungu?
Kwa muda mrefu sana polisi wamekuwa wakijishughulisha na Zumaridi inashangaza madai ya kwamba hajasajili kanisa lake, kama ni kweli kwa nini wasimasaidie kusajili kanisa lake ? Au anakwamishwa kwa makusudi??
Dola mwacheni mfalme Zumaridi afanye mambo yake kwa amani na uhuru bila usumbufu, mpeni uhuru wote wa kidini mnaowapa waumini wa dini nyingine zote.
Madrasa wapo sahihiMbona madrasa na Sunday School hawasubiriwi wakue kufundishwa mungu ni yupi??
Hauna akili timamu mirembe iko kwa ajili ya watu kama wewe🚮Kipi haswa kimekukwaza,kuwa fundi seremala au msela kuitwa Mungu!?