Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,246
- 27,509
mungu Samia ndio sababu hawataki kauli za huyu KE.Wao polisi wanamjua Mungu?
Sasa kama kweli yeye Mungu?Ningekua serikali huyo mama mfalme ningempoteza kabisa.anatumia Uhuru wa kuabudu vibaya unakusanya watoto unaeaambia wewe ndio Mungu na unaweza kuzuia wasife huyu si anaharibu jamii huyu. Kagame alikua sahihi sana Kufunga haya makanisa ya kitapeli kule rwanda
Huyu ni MJINGA PRO MAX 🤣 😂Nimesoma taarifa ya polisi kuhusu kukamatwa kwa mfalme Zumaridi imenishangaza sana.
Lini polisi badala ya NEMC wameanza kushughulikia uchafuzi wa mazingira kwa kelele?
Lini katika nchi hii imekuwa kosa kisheria mtu kujisema yeye ni mungu?
Kwa muda mrefu sana polisi wamekuwa wakijishughulisha na Zumaridi inashangaza madai ya kwamba hajasajili kanisa lake, kama ni kweli kwa nini wasimasaidie kusajili kanisa lake ? Au anakwamishwa kwa makusudi??
Dola mwacheni mfalme Zumaridi afanye mambo yake kwa amani na uhuru bila usumbufu, mpeni uhuru wote wa kidini mnaowapa waumini wa dini nyingine zote.
Sasa unapomwambia mtoto unategemea kwenye akili yake ataacha kuamini kuwa zumaridi siyo Mungu?Sasa kama kweli yeye Mungu?
Sasa ubaya uko wapi ? Mbona huko madrasa na Sunday school wanafundishwa kuhusu Mungu ?Sasa unapomwambia mtoto unategemea kwenye akili yake ataacha kuamini kuwa zumaridi siyo Mungu?
Apate wakili mmoja matata halafu nae awafungulie kesi ya madai, aombe fidia kama Bn moja hivi ndio watakoma kumsumbua Mungu wa watu 😁😁Zumaridi akipata mwanasheria wakili msomi anayejua pia masuala ya imani anashinda kesi mapema tu. Kesi ya kujiita mungu ni nyepesi mno hapo anachomoka
Sawa mfalme zumaridi ni mungu. Case closedSasa ubaya uko wapi ? Mbona huko madrasa na Sunday school wanafundishwa kuhusu Mungu ?
Huyu mpumbavu mnuka mkojo anajiita nan???Nimesoma taarifa ya polisi kuhusu kukamatwa kwa mfalme Zumaridi imenishangaza sana.
Lini polisi badala ya NEMC wameanza kushughulikia uchafuzi wa mazingira kwa kelele?
Lini katika nchi hii imekuwa kosa kisheria mtu kujisema yeye ni mungu?
Kwa muda mrefu sana polisi wamekuwa wakijishughulisha na Zumaridi inashangaza madai ya kwamba hajasajili kanisa lake, kama ni kweli kwa nini wasimasaidie kusajili kanisa lake ? Au anakwamishwa kwa makusudi??
Dola mwacheni mfalme Zumaridi afanye mambo yake kwa amani na uhuru bila usumbufu, mpeni uhuru wote wa kidini mnaowapa waumini wa dini nyingine zote.
Huwez jiita Mungu tutakuchekea tuuHuyu bonge anateseka sana aise Kila baada ya muda vyombo vya dola vinamuweka korokoroni
Hao watoto kawateka?Uhuru wa kidini kukusanya watoto nakuwakisha uongo?!
Kila mtu ana uhuruSawa mfalme zumaridi ni mungu. Case closed
Hata kama huyo siyo Mungu, mlete Mungu wa kweliHuwez jiita Mungu tutakuchekea tuu
Basi nyie muonesheni huyo Mungu?Huwez jiita Mungu tutakuchekea tuu
Madrasa kufundisha Mungu ni Allah, Wakristo na Sunday school zao kufundisha kuhusu Yesu na uungu wake.Kosa lake kuwaambia watoto ye ni mungu hapa anakosea ilitakiwa awasubirie wakue
kwa standard zake anaweza kujiona ni mungu na akaabudiwa, hamjawahi kusikia miungu watu? Hakuna kesi hapo zumaridi ni mungu mtu kwa imani yake!Sasa kama kweli yeye Mungu?
Nimekubali zumaridi ni mungu. Case closedUnaweza kuthibitishwa mungu wako ndiye mungu na sio Zumaridi??
Waafrika hatupendi vya kwetu, badala ya kufurahi tumepata Mungu alie hai, Sisi tumekazana kumsurubisha😄😄Madrasa kufundisha Mungu ni Allah, Wakristo na Sunday school zao kufundisha kuhusu Yesu na uungu wake.
Kwa nini iwe kwa mmoja na sio wote?
Wewe na Zumaridi akili zenu sawa sawaNimesoma taarifa ya polisi kuhusu kukamatwa kwa mfalme Zumaridi imenishangaza sana.