Nyie kiherehere cha nini kutaka kulazimisha mungu wenu ndiye awe mungu wa watu wote duniani?? Wewe kama mungu wako ni Allah, Jehovah au Yesu usilazimishe ndiye awe mungu wa wote, kila mtu ana uhuru wa kuchagua mungu wake kwa hiyari yake mwenyewe.Huwez jiita Mungu tutakuchekea tuu
kabisa.., hata mahubiri yake yamepita vileeeh.. ... .Huyo ni 'Kibwetere mpya' lazima adhibitiwe kabla hajaharibu zaidi
Upo sahihiWaafrika hatupendi vya kwetu, badala ya kufurahi tumepata Mungu alie hai, Sisi tumekazana kumsurubisha😄😄
Watanzania Tuwe wazalendo na tuanze kupenda vya kwetu, nashangaa mtu anang'ang'ana na Mungu migeni. Hivi Mungu wa wayahudi au wa kiarabu wewe anakuhusu nini? Si afadhali huyu wetu wa kisukuma 😁😁😁Nimesoma taarifa ya polisi kuhusu kukamatwa kwa mfalme Zumaridi imenishangaza sana.
Lini polisi badala ya NEMC wameanza kushughulikia uchafuzi wa mazingira kwa kelele?
Lini katika nchi hii imekuwa kosa kisheria mtu kujisema yeye ni mungu?
Kwa muda mrefu sana polisi wamekuwa wakijishughulisha na Zumaridi inashangaza madai ya kwamba hajasajili kanisa lake, kama ni kweli kwa nini wasimasaidie kusajili kanisa lake ? Au anakwamishwa kwa makusudi??
Dola mwacheni mfalme Zumaridi afanye mambo yake kwa amani na uhuru bila usumbufu, mpeni uhuru wote wa kidini mnaowapa waumini wa dini nyingine zote.
Zile ni taasisi huyu ni mtu binafsiMadrasa kufundisha Mungu ni Allah, Wakristo na Sunday school zao kufundisha kuhusu Yesu na uungu wake.
Kwa nini iwe kwa mmoja na sio wote?
Kwa hiyo taasisi haifundishi mambo yanayo husu Mungu?Zile ni taasisi huyu ni mtu binafsi
Ukiona anasumbuliwa sana ujue sio chawa wa mamaNimesoma taarifa ya polisi kuhusu kukamatwa kwa mfalme Zumaridi imenishangaza sana.
Lini polisi badala ya NEMC wameanza kushughulikia uchafuzi wa mazingira kwa kelele?
Lini katika nchi hii imekuwa kosa kisheria mtu kujisema yeye ni mungu?
Kwa muda mrefu sana polisi wamekuwa wakijishughulisha na Zumaridi inashangaza madai ya kwamba hajasajili kanisa lake, kama ni kweli kwa nini wasimasaidie kusajili kanisa lake ? Au anakwamishwa kwa makusudi??
Dola mwacheni mfalme Zumaridi afanye mambo yake kwa amani na uhuru bila usumbufu, mpeni uhuru wote wa kidini mnaowapa waumini wa dini nyingine zote.
Huyo bibie anatatizo la akili.Nimesoma taarifa ya polisi kuhusu kukamatwa kwa mfalme Zumaridi imenishangaza sana.
Lini polisi badala ya NEMC wameanza kushughulikia uchafuzi wa mazingira kwa kelele?
Lini katika nchi hii imekuwa kosa kisheria mtu kujisema yeye ni mungu?
Kwa muda mrefu sana polisi wamekuwa wakijishughulisha na Zumaridi inashangaza madai ya kwamba hajasajili kanisa lake, kama ni kweli kwa nini wasimasaidie kusajili kanisa lake ? Au anakwamishwa kwa makusudi??
Dola mwacheni mfalme Zumaridi afanye mambo yake kwa amani na uhuru bila usumbufu, mpeni uhuru wote wa kidini mnaowapa waumini wa dini nyingine zote.
Huyu mama nimewahi kumuona live akihubiri kama mara mbili hiviNimesoma taarifa ya polisi kuhusu kukamatwa kwa mfalme Zumaridi imenishangaza sana.
Lini polisi badala ya NEMC wameanza kushughulikia uchafuzi wa mazingira kwa kelele?
Lini katika nchi hii imekuwa kosa kisheria mtu kujisema yeye ni mungu?
Kwa muda mrefu sana polisi wamekuwa wakijishughulisha na Zumaridi inashangaza madai ya kwamba hajasajili kanisa lake, kama ni kweli kwa nini wasimasaidie kusajili kanisa lake ? Au anakwamishwa kwa makusudi??
Dola mwacheni mfalme Zumaridi afanye mambo yake kwa amani na uhuru bila usumbufu, mpeni uhuru wote wa kidini mnaowapa waumini wa dini nyingine zote.
Ujue Polisi wamenyimwa sadaka na Zumaridi, kuna mauchafu mengi sana ya Polisi ukiyajua utashangaaNimesoma taarifa ya polisi kuhusu kukamatwa kwa mfalme Zumaridi imenishangaza sana.
Lini polisi badala ya NEMC wameanza kushughulikia uchafuzi wa mazingira kwa kelele?
Lini katika nchi hii imekuwa kosa kisheria mtu kujisema yeye ni mungu?
Kwa muda mrefu sana polisi wamekuwa wakijishughulisha na Zumaridi inashangaza madai ya kwamba hajasajili kanisa lake, kama ni kweli kwa nini wasimasaidie kusajili kanisa lake ? Au anakwamishwa kwa makusudi??
Dola mwacheni mfalme Zumaridi afanye mambo yake kwa amani na uhuru bila usumbufu, mpeni uhuru wote wa kidini mnaowapa waumini wa dini nyingine zote.
Upo sahihi
Mijinga inayosema huyo sio Mungu, imeshindwa kumleta huyo Mungu wamdhaniaye........
Ila ilivyo kuwa mijinga zaidi ilikubali mtu kupaa mawinguni kwa Siri na wanafunzi wake tu, Ili hali aliuwawa hadharani?
Ile mingine ilikubali jamaa alipanda punda mwenye mabawa kwenda huko 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 na ukifa mbunye 72 zinakusubiri.
Halafu wote wanaona Mungu wa usukumani hamnazo Ili hali ni kitu kinachojirudia baada ya kutenda Galilaya, Sasa kaja nchi ya Waswahili kwenye mshino
Yaani wamfungie Mungu? We jamaa ebu kuwa serious japo kidogo tuHuyu wangemfungia tu atafute kazi ingine ya kufanya
Usisahau Mariam alipigwa show na nani?Mungu zumarid ikifika night anapiga show km kawaida
Hahaha doh! Hakika nimecheka sana!mungu kakamatwa!
Vipi kuhusu mtu aliyesababisha maafa ya watu zaidi ya 20 kufa kwa kukanyagana kwenye nafuta yake na bado anadunda huru mtaani tena akiwa anakula meza moja na watawala??Huyu mama nimewahi kumuona live akihubiri kama mara mbili hivi
Itoshe tu kusema anamatatizo ya afya ya akili
Na akiachwa ipo siku yatatokea ya Kibwetere huko Uganda au ya Mackenzie huko Kenya
Ndio maana Kagame hata upuuzi kama huu wa mtu akilala na kuamka anajiita Nabii au mtu.... ni lazima uwe taalamu hiyo kisomi
Kama anajiita Mungu kweli basi awapige upofu hao polisi wanaomsumbuaHuwez jiita Mungu tutakuchekea tuu