Kwanini mgogoro wa Loliondo haukuibuka wakati Magufuli yupo hai? Hawa OBC ni akina nani? Kwanini Loliondo Gate? Mbona wanasiasa wa Oman?

Kwanini mgogoro wa Loliondo haukuibuka wakati Magufuli yupo hai? Hawa OBC ni akina nani? Kwanini Loliondo Gate? Mbona wanasiasa wa Oman?

Oterlo business Corporation ni akina nani? Na kwa nini wanalitaka hili eneo la Loliondo tokea miaka ya utawala wa Mwinyi?

Loliondo gate kuna nini? Kwa nini wakati wa hayati JPM haya masuala hayakuibuka?

Hawa OBC wana siri kubwa na nzito hawa sio watu wema.

Mkuu wa nchi anashiriki kutwanga vitu vizito raia maskini wasio na mbele wala nyuma.
wewe achana na hiyo kitu utawala wa sheria lazima uzingatiwe.hifadhi ya wanyama na binadamu wapi na wapi.tunazitaka hifadhi zetu zionekane kweli ni hifadhi kinyume na hapo ni kuua hifadhi zetu na wajukuu wetu watakuja kutulilia kuwa tulikuwa wazembe.
 
Job Ndugai alishasema toka mwanzo, kwamba nchi itapigwa mnada hii, tukamsulubu, haya oneni sasa. Tunauzwa mchana kweupe kama mbuzi

hebu fikiria 2025 uone hili kwenye mabango!!

NDUGAI FOR PRESIDENT
CHAGUA, Tuondoke kwenye Minada.
Aisee
Umoja mpo?
CCM-N mpo? (N-dugai)

wacha niote, ukweli mwingine ni mgumu
 
Huyu mmakunduchi hadi amalize muda wake Nchi itakuwa imeuzwa kabisa. Sasa hivi wamesaini mkataba wa LNG usio na uwazi si kwa wananchi au wabunge. Wananchi wa kusini tujiandae kufukuzwa kwenye Nchi yetu kama wa Ngorongoro. Yeye haoni maumivu kwa kuwa yeye sio wa huku Tanganyika

Sent using Jamii Forums mobile app
Huna ufahamu wa Loliondo
Mkataba ulianza na Mwinyi kisha Mkapa, Kikwete,Magu, hawakuwa na tatizo nao
Kama unamchukia Samia tafuta sababu valid sio ubwabwaje wa kijinga na kishamba
 
Wacha wenye kuhuzunika na wafu.
Wamponde, wambeze, wamkejeli, wamtukane.
Dada mtu anaendelea na wembe alioachiwa na Kaka
Bahati bei ya mafuta imepanda-tungeona Dada anaendesha BULUDOZA 😛

😛🤣🤣🤣🤪
 
Oterlo business Corporation ni akina nani? Na kwa nini wanalitaka hili eneo la Loliondo tokea miaka ya utawala wa Mwinyi?

Loliondo gate kuna nini? Kwa nini wakati wa hayati JPM haya masuala hayakuibuka?

Hawa OBC wana siri kubwa na nzito hawa sio watu wema.

Mkuu wa nchi anashiriki kutwanga vitu vizito raia maskini wasio na mbele wala nyuma.
Acha waliotuletea dini ya haki walambe asali ni wakati wao huu.
 
Huna ufahamu wa Loliondo
Mkataba ulianza na Mwinyi kisha Mkapa, Kikwete,Magu, hawakuwa na tatizo nao
Kama unamchukia Samia tafuta sababu valid sio ubwabwaje wa kijinga na kishamba
Kwa maneno yako hayo basi inamaana hata hivyo vipimo, maaskari kwenda huko walitumwa na Mkapa Kikwete...

Wacha hizo, ati sababu valid!
Toba yarabi!
 
Haya ndio baadhi ya matakataka ya Mzee Ruksa ambae kuna watu wanamuona wa maana sana!

Nimemsikia Lissu akisema Mwinyi aulizwe kuhusu jambo hili, maana yeye ndie aliyeanzisha kuwekwa mfukoni na Mwarabu kwa kuiuza Loliondo akiacha wananchi wakiteseka.

Huenda Mungu amemuweka hai ili aone mateso aliyoyaanzisha kwa wananchi wasio na hatia kwa uroho tu wa pesa za Mwarabu...ili akifika mbinguni nae aungue bila kulalamika, awe ashajua kosa lake.
Aiseee kwa hapa hapana, tumuache mzee wa watu aendelee kucheza vizuri na vitukuu vyake, kuanza kumuuliza kuhusu haya mambo kunaweza changia kumkosa sio muda.

Hii ngoma imevuma wakati huu wa utawala awamu ya 6, ichezwe makidamakida mukidemukide na aliyeko madarakani
 
Nilikuwa naangalia kati ya mambo kioaumbele kwa mama Hangaya naona hili ni mojawapo maana april 2021 akiwa mgeni kabisa alishatia mkono soo tutegemee nini
 
Tatizo hamkumpenda. Na kama mngempenda mngembia aache kutukana mkunga Angalia uzaz angalipo..unashindwaje kujua kuwa huwezi bila mabeberu. Nani hajui Hilo..

Mungu yupo, lkn ujue Siri ya Dunia. Tawala za siri duniani. Ukimpenda MTU just tell hem the truth.

Kanchi masking kama ketu, hutakiwi kujigamba gamba. Eti hauhitaji Msaada wa wazungu.

Isolation is impossible
Ndiomana mnashangilia hii mikopo anayochukua huyu hangaya wenu kila uchwao?!
Nikikuuliza mikopo tuliyochukua kwa ajili ya covid imefanya nini mpaka sasa sidhani kama utakuwa na majibu sababu hata hiyo chanjo sidhani kama ulichanjwa na bado mkopo utaulipa wewe. Africa kuzalisha viongozi wenye akili kama yako ni tatizo pia. Ukisema hatuwezi kuishi bila mabeberu, hao watanzania kabla ya ukoloni waliishije?!
 
Oterlo business Corporation ni akina nani? Na kwa nini wanalitaka hili eneo la Loliondo tokea miaka ya utawala wa Mwinyi?

Loliondo gate kuna nini? Kwa nini wakati wa hayati JPM haya masuala hayakuibuka?

Hawa OBC wana siri kubwa na nzito hawa sio watu wema.

Mkuu wa nchi anashiriki kutwanga vitu vizito raia maskini wasio na mbele wala nyuma.
Usikute JPM alisubiri uchaguzi upite awe na uwakika, na alikua anakamilisha kuhamisha wanyama mbuga yake ya Burigi-Chato kisha awakabizi warabu. MaCCM wote ni walewale LAANAKUM.! Kila kitu anachofanya Samia kakuta kipo Ikulu, kuharakisha Mauzo ya ngongoro ni anasukumwa na uarabu alionao, anauzia ndugu zake, anawahi chake mapema.
 
Back
Top Bottom