SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Kuna tatizo Kwa jina hili?Hivi Member na ww kumbe upo jamiii forum kwa jina hili?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna tatizo Kwa jina hili?Hivi Member na ww kumbe upo jamiii forum kwa jina hili?
wewe achana na hiyo kitu utawala wa sheria lazima uzingatiwe.hifadhi ya wanyama na binadamu wapi na wapi.tunazitaka hifadhi zetu zionekane kweli ni hifadhi kinyume na hapo ni kuua hifadhi zetu na wajukuu wetu watakuja kutulilia kuwa tulikuwa wazembe.Oterlo business Corporation ni akina nani? Na kwa nini wanalitaka hili eneo la Loliondo tokea miaka ya utawala wa Mwinyi?
Loliondo gate kuna nini? Kwa nini wakati wa hayati JPM haya masuala hayakuibuka?
Hawa OBC wana siri kubwa na nzito hawa sio watu wema.
Mkuu wa nchi anashiriki kutwanga vitu vizito raia maskini wasio na mbele wala nyuma.
Job Ndugai alishasema toka mwanzo, kwamba nchi itapigwa mnada hii, tukamsulubu, haya oneni sasa. Tunauzwa mchana kweupe kama mbuzi
Ashakufa tayariWikipedia wanasema[emoji116]
View attachment 2258857
Hivyo wachawi ni wewe na hao unao watetea.Hakika kivuli chake kitawafuata mpaka mtakaporudi nanyi mavumbini.
KwiiishaaaaaaUnakuta hata we mwenyewe huna kitu zaidi ya uchawa na kuita wenzako sukuma gang sijui wewe unaitwa nani au ni matako gang
Huna ufahamu wa LoliondoHuyu mmakunduchi hadi amalize muda wake Nchi itakuwa imeuzwa kabisa. Sasa hivi wamesaini mkataba wa LNG usio na uwazi si kwa wananchi au wabunge. Wananchi wa kusini tujiandae kufukuzwa kwenye Nchi yetu kama wa Ngorongoro. Yeye haoni maumivu kwa kuwa yeye sio wa huku Tanganyika
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuondokane na mikopo ya kupigwa minada 😂😂😂hebu fikiria 2025 uone hili kwenye mabango!!
NDUGAI FOR PRESIDENT
CHAGUA, Tuondoke kwenye Minada.
Aisee
Umoja mpo?
CCM-N mpo? (N-dugai)
wacha niote, ukweli mwingine ni mgumu
Acha waliotuletea dini ya haki walambe asali ni wakati wao huu.Oterlo business Corporation ni akina nani? Na kwa nini wanalitaka hili eneo la Loliondo tokea miaka ya utawala wa Mwinyi?
Loliondo gate kuna nini? Kwa nini wakati wa hayati JPM haya masuala hayakuibuka?
Hawa OBC wana siri kubwa na nzito hawa sio watu wema.
Mkuu wa nchi anashiriki kutwanga vitu vizito raia maskini wasio na mbele wala nyuma.
Kwa maneno yako hayo basi inamaana hata hivyo vipimo, maaskari kwenda huko walitumwa na Mkapa Kikwete...Huna ufahamu wa Loliondo
Mkataba ulianza na Mwinyi kisha Mkapa, Kikwete,Magu, hawakuwa na tatizo nao
Kama unamchukia Samia tafuta sababu valid sio ubwabwaje wa kijinga na kishamba
Aiseee kwa hapa hapana, tumuache mzee wa watu aendelee kucheza vizuri na vitukuu vyake, kuanza kumuuliza kuhusu haya mambo kunaweza changia kumkosa sio muda.Haya ndio baadhi ya matakataka ya Mzee Ruksa ambae kuna watu wanamuona wa maana sana!
Nimemsikia Lissu akisema Mwinyi aulizwe kuhusu jambo hili, maana yeye ndie aliyeanzisha kuwekwa mfukoni na Mwarabu kwa kuiuza Loliondo akiacha wananchi wakiteseka.
Huenda Mungu amemuweka hai ili aone mateso aliyoyaanzisha kwa wananchi wasio na hatia kwa uroho tu wa pesa za Mwarabu...ili akifika mbinguni nae aungue bila kulalamika, awe ashajua kosa lake.
Kuna mtu aliyesema kuwa hajafa?Ashakufa tayari
Tumia tu akili, utaweza kuona au wewe unataka mpaka wajitangaze? tumia akili.Toka dhalimu kafariki umeona mtu akiunga juhudi?
This condition may have no symptoms, but when symptoms do appear they include palpitations, shortness of breath and fatigueWikipedia wanasema👇
View attachment 2258857
Hivyo wachawi ni wewe na hao unao watetea.Hakika kivuli chake kitawafuata mpaka mtakaporudi nanyi mavumbini.
Ndiomana mnashangilia hii mikopo anayochukua huyu hangaya wenu kila uchwao?!Tatizo hamkumpenda. Na kama mngempenda mngembia aache kutukana mkunga Angalia uzaz angalipo..unashindwaje kujua kuwa huwezi bila mabeberu. Nani hajui Hilo..
Mungu yupo, lkn ujue Siri ya Dunia. Tawala za siri duniani. Ukimpenda MTU just tell hem the truth.
Kanchi masking kama ketu, hutakiwi kujigamba gamba. Eti hauhitaji Msaada wa wazungu.
Isolation is impossible
Usikute JPM alisubiri uchaguzi upite awe na uwakika, na alikua anakamilisha kuhamisha wanyama mbuga yake ya Burigi-Chato kisha awakabizi warabu. MaCCM wote ni walewale LAANAKUM.! Kila kitu anachofanya Samia kakuta kipo Ikulu, kuharakisha Mauzo ya ngongoro ni anasukumwa na uarabu alionao, anauzia ndugu zake, anawahi chake mapema.Oterlo business Corporation ni akina nani? Na kwa nini wanalitaka hili eneo la Loliondo tokea miaka ya utawala wa Mwinyi?
Loliondo gate kuna nini? Kwa nini wakati wa hayati JPM haya masuala hayakuibuka?
Hawa OBC wana siri kubwa na nzito hawa sio watu wema.
Mkuu wa nchi anashiriki kutwanga vitu vizito raia maskini wasio na mbele wala nyuma.
Kuna tatizo Kwa jina hili?
Hii inaweza kukuletea shida ujueNilitaka kusema membe sio member....Wewe Membe kumbe na ww upo jamii forum?