Kwanini Mkuu wa Majeshi(JWTZ)anatokea Kamandi Moja tu, wakati tuna Kamandi Sita?

Alafu usiwe na gubu kama mdada aliyepigwa Bao moja na sharobaro ,hapo Kuna sehem mtu kajinasibu na mambo ya university? Ndomana watz wengi ni mbumbumbu vitu common kama hivi unataka kusema ni Siri eti nime disclose information,acha ujinga narudia Tena vitu kama hivi hata kwenye majarida ya jeshi yapo
 
Mkuu wa Bodi gani tena mara ya mwisho namskia alikua Balozi wa Tanzania nchini Urusi sijajua kwa sasa Mzee wangu yupo wapi?
Alivyotolewa Russia aliyemrithi alikuwa meja jenerali mstaafu Simon mumwi ,kisamba ni mwenyekiti ya bodi shirika la nyumbu ila kama atakuwa katolewa sawa ila hiyo ndo position ambayo naijua anayo mpaka sasa japo changes bongo zinatokea muda wwte
 
Kati yako na amiri jeshi ni nani anayelijua jeshi?
 
Nyadhifa kubwa ipi ambayo makonda aliwahi kupewa.?
 
 
Jeshi ni la wananchi. Sio dhambi wananchi kulijua jeshi lao. Ni muhimu sana.
 
Kupokezana kwa kamandi ni utaratibu wa hovyo. Kuna kamandi zina askari wengi zaidi hivyo kuna kuwa na maafisa wengi pia wa ngazi za juu humo ndipo tunapata CDF.

Tuendelee na utaratibu wetu.
 
Ule utaratibu kwa upande wangu sio mzuri kwa sababu unamlazimisha Rais kumteua mkuu wa majeshi hata asiyemtaka.
Pia ni rahisi sana watu kufanyiaba hujuma.
Vilevile unaweza sababisha mtu mzuri kukosa nafasi kwa sababu sio zamu ya kamandi yao kutoa CDF.
 
Usiwe mpumbavu hizi siyo Siri ni basic knowledge ambazo hata mtu mwenye passion anazijua ,jifunze kutafuta maarifa na usiwe mjinga wa kushindwa kutofautisha basic knowledge kama hizi
Kwa wewe ni basic knowledge. Halafu ukute wewe ni mtu na mavyeo yake kabisa
 
Ni kweli usemayo lakini mbona haijatokea nafasi hiyo ikamkuta akiwa katika Kamandi nyinginezo?
Nadhani Raisi ambaye ndio Jemedari Mkuu ndio mwenye maamuzi.
Kwa mfano kulikuwa na Kanali Abdallah Twalipo alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Ziwa Magharibi sasa inaitwa Kagera.
Mara tukasikia Kapandishwa VYEO kutoka Kanali kuwa Major General na kuhamishiwa makao makuu ya jeshi na kuwa CDF nafasi iliokuwa ikashikiliwa na Major General Sarakikya.
Major General Sarakikya akateuliwa kuwa waziri wa utamaduni na michezo.
Swali Kanali Twalipo hadi anakuwa CDF katokea kamandi ipi?
 
🫡🫡
 
Hata kama ni common, lakini una viashiria vya uropokaji na hutoshi kuaminiwa. Your mind is very limited. Wenye akili wameelewa. Bahati mbaya sana humu mnatumia fake name, nina uhakika wakubwa wako wangekufahamu wangekuweka mbali na nyaraka. Labda uwe tu msimamizi wa jiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…