Kwanini Mkuu wa nchi anajificha (katua Private Aiport huko Dubai) ndege ATC B737 with registration number 5H-TCQ. Flight number TC 4401


labda boeing kuipiga missile ni ngumu klk gulf stream, boeing ni kampuni kubwa ukiidungua na kuanguka itakuwa ni ishu kubwa sana na itatrend dunia nzima hata kuathiri soko la boeing labda lkn gulfstream unaweza ishusha tu na isiwe ishu kiihivyo labda ndiyo logic yao, just thinking …
 
Mkuu,wauliza masuali ambayo majibu unayo?

Ile hazina itabebwa vipi kuelekea kule?

Na ule mzigo kutoka kule utaja vipi bongo si wahitaji pipa kubwa?

Kuna ule msemo wa kiingereza usemao "this is desperate measures in desperate time" watoa maana yake hapa.

Pia naona mzee wa MSG kaamua huyo jamaa "tall" nae aongeze nguvu kwenye msafara.
 
Kwanini siku hizi kuna kijificha ficha sana na shughuli za rais inabidi ziwe wazi
Oya huyajui mambo ya wanawake yanavyofanyika sometimes km ameenda kuupeleka mzigo ili apelekewe moto, wewe unataka kila kitu ukijue vingine anafanya kwa siri maana na yeye anataka maisha ya faragha sometimes unajua sometimes inabidi iwe hivyo ila ndio basi tu imeshakua hivyo bahati mbaya imemuangukia
 
Nadhani ni matokeo ya ''WHO ARE YOU?!"
Bimaza kaenda kuchezea miti kidogo Dubai nyinyi mnataka kumchungulia kila sehemu siku kuchungulia huku mtakuta yupo uchi wacheni hizo kidogo ndio maana aliumbwa mwanamke kuvaa dela kwake sio jambo la kushangaza
 
Kwanini siku hizi kuna kijificha ficha sana na shughuli za rais inabidi ziwe wazi

02 February 2026
Dubai, UAE

Rais John Mahama wa Ghana alivyowasili kwa protokali zote


View: https://m.youtube.com/watch?v=fh8xvN3zAgk
President John Dramani Mahama has arrived in Dubai to participate in the 2026 World Governments Summit, a high-level global forum bringing together leaders to shape the future of governance.

President Mahama departed Accra aboard an aircraft provided by the President of the United Arab Emirates and Ruler of Abu Dhabi, His Highness Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan, which conveyed the President of Ghana from Accra to Dubai and onward to Lusaka after the World Governments Summit.


President Mahama arrived in Dubai in the early hours of Monday February 2, 2026 and was welcomed by His Excellency Sheikh Shakhboot bin Nahyan Al Nahyan, Minister of State of the United Arab Emirates.


The 2026 World Governments Summit, themed “Shaping Future Governments,” convenes governments, international organisations, thought leaders, and private sector executives from across the world. It serves as a platform to strengthen international cooperation, explore innovative solutions to global challenges, and inspire the next generation of governments.

The 2026 Summit agenda is structured around five core pillars aimed at building a better future for humanity:
• Global Governance and Effective Leadership
• Societal Wellbeing and Capacity Building
• Economic Prosperity and Emerging Opportunities
• Urban Futures and Evolving Demographics
• Future Realities and Next Frontiers

Scheduled to take place at Madinat Jumeirah, Dubai, the World Governments Summit brings together leaders from government, business, and science to exchange ideas on governance, innovation, and forward-looking public policies.

Notable participants: include
  • H.E. Julius Maada Bio, President of the Republic of Sierra Leone;
  • H.E. John Dramani Mahama, President of the Republic of Ghana;
  • H.E. Daniel Noboa, President of the Republic of Ecuador;
  • H.E. Guy Parmelin, President of the Swiss Confederation;
  • H.E. Pedro Sánchez, Prime Minister of Spain of the Government of Spain;
  • H.E. Kristalina Georgieva, Managing Director of the International Monetary Fund (IMF);
  • H.E. Jasem Al Budaiwi, Secretary-General of the Gulf Cooperation Council (GCC), among other global leaders.


The Summit is expected to shape critical conversations on the policies and innovations that will define future societies.
 

Hizi ni 'cheap politics'... hata wewe mkuu?
Safari yake hii mbona ilikua wazi kabisa. Bahati mbaya kila baya mnalomuombea linabuma...
 
31 January 2026
Dubai, UAE
H.E. Julius Maada Bio, President of the Republic of Sierra Leone arrives in Dubai for World Goverment Summit 2026

 
Pumbavu, takataka
 
Chadomo tumieni akili,anaejificha hatangazi hadharani
 
s sio kabeba dhahabu iwe rahisi kuzishusha kupeleka kwenye mansión yake ya dubei.
 
Huwezi kuwa muuaji wa watu wako, halafu ukaweka wazi mambo yako kwa watu unaowaua na kuwadhulumu haki zako.

Huyu atabakia hivyo hivyo, mtu wa kujifichaficha. Hata aendako, usitarajie atakuwa kwenye mazingira wazi, atajificha kwa kila anayefikiria atamwuliza, kwa nini unaua watu wako. Shetani siku zote hufanya kazi katika uficho, ndiyo maana anaitwa mfalme wa giza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…