Kwanini mtu wa Dar anachanganyikiwa ukimwambia unaenda kumtembelea?

Labani og ..ukitaka kuja tena nitafute mwaya uniletee mie io mikungu ya ndizi na viazi😆😆😆maana sielewi uliachaje siku 3 vikaoza wakati ulikua unaenda "kwako"...😆😆 au kwako vimejaa hadi ukagawia majirani..?
 

Maisha magumu awajiamini
 
Baadhi ya mambo hapo ni kweli kabisa[emoji23]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Ye mwenyewe hana sehemu nzuri ya kulala , mvua ikinyesha anapanda juu ya bati kukwepa maji, akienda mikoani anajidai Daslam kayapatia maisha siku akiskia unaenda kumsalimia kwanini asikose furaha wakati anajua kaumbuka.

Wale waliyo yapatia maisha ya Daslam ki kweli kweli huwa wanapenda wageni huwa hawana noma
 
Labani og ..ukitaka kuja tena nitafute mwaya uniletee mie io mikungu ya ndizi na viazi[emoji38][emoji38][emoji38]maana sielewi uliachaje siku 3 vikaoza wakati ulikua unaenda "kwako"...[emoji38][emoji38] au kwako vimejaa hadi ukagawia majirani..?
MKuu Sasa mi nipo single ....kigeto geto .....ntapata wapi muda wa kupika viaz...na ndizi

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Tuna misongo ya mawazo, hasa kwasababu za kiuchumi. Don't surprise us like that please. We don't like it. Toa taarifa a week before otherwise hatupo! !
 
Basi walikuwa na roho nzr[emoji23]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Tena me saa hz ndo nawakwepa kwenda kwao, walikuwa ni watu wazima wana kwao , kwahiyo niseme asanteni nawapenda sana sana,

Unajua ishu watu wengi wanaogp kuonekna life wanaloishi Ila ukiwa open utaishi kwa Raha,

Afu sio Kila mtu anapendelea kubanana au kulala anapoenda kusalimu wengine wanajikataa, kukupa uhuru, aliogopa hata ungelala kwamba unaish Hyatt regency kwamba ukifka kule ushangae mbona analala chini ? Au kitanda hakina foronya not ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…