Sahihi mkuu...ukiwa open....inakuwa Raha sanaTena me saa hz ndo nawakwepa kwenda kwao, walikuwa ni watu wazima wana kwao , kwahiyo niseme asanteni nawapenda sana sana,
Unajua ishu watu wengi wanaogp kuonekna life wanaloishi Ila ukiwa open utaishi kwa Raha,
Afu sio Kila mtu anapendelea kubanana au kulala anapoenda kusalimu wengine wanajikataa, kukupa uhuru, aliogopa hata ungelala kwamba unaish Hyatt regency kwamba ukifka kule ushangae mbona analala chini ? Au kitanda hakina foronya not ?
Naaam, hata hapa nasema sijifichi wala sina zile proud za kijinga wakati wote humu ndo wale wale tunaotokea mtaani
Hugu gu Laban og ni guongo sana ndiyo maana habari zake kuhusu timu yetu tusipende kulisoma kabisaLabani og ..ukitaka kuja tena nitafute mwaya uniletee mie io mikungu ya ndizi na viaziπππmaana sielewi uliachaje siku 3 vikaoza wakati ulikua unaenda "kwako"...ππ au kwako vimejaa hadi ukagawia majirani..?
Kabisa mkuu... always njia ya muongoo huwa ni fupiNaaam, hata hapa nasema sijifichi wala sina zile proud za kijinga wakati wote humu ndo wale wale tunaotokea mtaani
Hapana mkuu....Mimi ni mchambuzi [emoji23][emoji23]Hugu gu Laban og ni guongo sana ndiyo maana habari zake kuhusu timu yetu tusipende kulisoma kabisa
NaaamKabisa mkuu... always njia ya muongoo huwa ni fupi
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Lkn tunawaletea vyakulaKumbuka kule hawalimi, kila kitu ni hela
Kama utaenda na kuku wa tano mkononi, wataweza kukupokea; na kuku watakapoisha na wewe urudi ulipotoka.
Mji wa biashara huu watu wapo bize 24hrs we unataka kutembelea π katembee mbugani huko
ππππWanaishi stoo.
Chumba kimoja kimejaa mkaa, mchele, kitanda, jiko dogo la gas na sahani mbili
ππππMji wa biashara huu watu wapo bize 24hrs we unataka kutembelea π katembee mbugani huko
πππππAnakunywa chai saa nne, saa kumi ugali kwa tembele, siku imekatika. Utamharibia ratiba yake.
Wee acha uongo, sasa mikoa inazalisha chakula, afu tena kuna udumavu, kisa lishe duni? How?Mikoa mingi inayozalisha chakula inapata udumavu kwa sababu ya lishe duni mfano morogoro,njombe,ruvuma..